msimamia kucha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 683
- 551
Jamaa Mungo muonga sana yule wahabi! huwa simtilii maanani, muinho sana.Ukisikiliza propaganda za yule Ibrahim Rahbi supporter wa magaidi unaweza kudhani Israel inaenda kufutwa na Hezbollah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa Mungo muonga sana yule wahabi! huwa simtilii maanani, muinho sana.Ukisikiliza propaganda za yule Ibrahim Rahbi supporter wa magaidi unaweza kudhani Israel inaenda kufutwa na Hezbollah
Vita ya kisasa ni high technology inahusika, ni mbinu, hata hao Hezbollah's wangekuwa na technology ya vifaa/Zana basi ingekuwa ngumu pia kwa vita, hapo unalegezwa kwa kupigwa target zako then ndo infantry wanaingia, vita ni mbinu mdogo wangu acha Mihemuko ya Kufuga Ndevu na kuvaa KOBAZI.Huwezi kushinda vota kwa kurusha mabomu hovyo na kubomoa majengo lazima ushuke chini hapa ndiyo pagumu kwa Israel, umeishajiulza leo zaidi ya mwaka wanahangaika na Gaza tu Gaza yenyewe Kigamboni kubwa.
Udini umempofuaYule jamaa sijui kwa nini hupewa mic yaani anamapenzi kwa waarabu kwenye uchambuzi kibaya zaidi kila analotabiri kuhusu Israel huenda kinyume na matarajio yake 🤣🤣
Wafuasi wa mkosa nyumba akili zenu kama vile ziko njia panda hamjui wapi muende Damascus au Jerusalem, bora mlale chini ya mkunazi mumuote shetani ndio Yesu.
Israel mwambieni atuonyeshe yuko Lebanon leo week tatu ana pokea maiti kugusa ardhi ya Lebanon kashindwa.
Hilo jeshi la Pampers likingia Lebanon ndio tutasema wameisha wacha jinyea. Israel ataishia rusha maboom mwanaume ni yule anapigana vita ya chini face to face.
Tofauti ya Gaza na Lebanon Raia wanaweza kukimbilia hata Uturuki wakiwemo Hezbollah, Gaza Raia hawatoki humo, wanazungushwaHuwezi kushinda vota kwa kurusha mabomu hovyo na kubomoa majengo lazima ushuke chini hapa ndiyo pagumu kwa Israel, umeishajiulza leo zaidi ya mwaka wanahangaika na Gaza tu Gaza yenyewe Kigamboni kubwa.
hii vita inaenda hadi kwenye saikrojia zaidi.. Eneo lililokaliwa na IDF kwa zaidi ya mwezi mmoja adui Adui atafikiria mara mbili kurudi kuweka kambi yake hapo unless Raia wa kawaida.huwezi jua wakati wametoka wameachapo nini hapo.Mbinu inayotakiwa kutumika sasa, Hamas watakwisha na Hezbollah watakwisha.
Tangu mwaka jana Israeli ilipoanzisha mashambulizi Gaza imekua ikitangaza raia kuhama, inashambulia litakaowakuta, jeshi likiona limemaliza linaondoka na kuhamia eneo jingune.
Mbinu hii inawapa afueni maadui kurudi kujichimbia tena kwenye viunga vya zamani,walikopita na kuondoka askari wa Usrael.
Sasa nimesikia jana toka Bbc kuwa, raia wanatangaziwa kuhama maeneo yanayotakiwa kushambuliwa, atakayekaidi atahesabika ni adui.
Na baada ya mashambulizi, maeneo hayo yatakaliwa na jeshi na hakuna atakayeruhusiwa kuingia ama kutoka, misaada haitaingia na maadui waliokimbia hawatarudi, aliyekaidi kuondoka atakufa kwa njaa na kukosa mahitaji muhimu.
Mbinu hii mpya ikitumika, mateka watapatikana wakiwa hai au wamekufa na ushindi utapatikana.
Hamna lolote wambieni watuonyeshe commander walio sema wamemkanata wa Hezbullah au wanatafuta mtu wa mvishe magwanda 😄
Kuna tofouti ya kukanyaga na kuingia ndani hata wakifika border wakienda hata meter 50 sio kwamba wameingia wanakwenda lakini wanapigwa na wanauliwa afu wanakimbia. Wakiweza kutuonyesha wako Lebanon kama nusu kilometer au kilometer nawakabaki hap, ndio tutasema wameingia Lebanon. Ile ya selfie kwa kupitia upande wa UNIFIL haha hio ya kitoto sanaMkuu hivi kumbe jeshi la Israel halijakanyaga ardhi ya Lebanon mpaka Leo????
Sema kobazi huwa wako vizuri sana kwa propaganda. Hakuna vita wamewai shindwa, ikitokea wakapigwa watakwambia alikuwa marekani yule Israel hawezi, but Iran akifanya tukio hatusikii wakisema mrusi kasaidia🤣Yule jamaa sijui kwa nini hupewa mic yaani anamapenzi kwa waarabu kwenye uchambuzi kibaya zaidi kila analotabiri kuhusu Israel huenda kinyume na matarajio yake 🤣🤣
Hawa watu ni vichwa maji, hata sasa unasikia wanasema Hamas kashinda vita. Hawa kushindwa vita ni labda wafe waish
Inawezekana Kinjektile ngwale alikuwa kobazi, make imani ile naiona leo.. 🤣Hawa watu ni vichwa maji, hata sasa unasikia wanasema Hamas kashinda vita. Hawa kushindwa vita ni labda wafe waishe.
Sasa mkuu unapiga mabomu kwa wanajeshi wanaoishi kwenye mahandaki unawaathili vipi?. Tukiuliza watu Israel inashikiria Lebanon eneo gani hamtwambii.Vita ya kisasa ni high technology inahusika, ni mbinu, hata hao Hezbollah's wangekuwa na technology ya vifaa/Zana basi ingekuwa ngumu pia kwa vita, hapo unalegezwa kwa kupigwa target zako then ndo infantry wanaingia, vita ni mbinu mdogo wangu acha Mihemuko ya Kufuga Ndevu na kuvaa KOBAZI.
Kwani hao waliofokolewa kwenye mahandaki na sasa wapo Akhera huwajui....tulia dawa ikuingie.Sasa mkuu unapiga mabomu kwa wanajeshi wanaoishi kwenye mahandaki unawaathili vipi?. Tukiuliza watu Israel inashikiria Lebanon eneo gani hamtwambii.
Usiseme uasi sema ugaidiSo anapambana kubomoa miji na si kutokomeza uasi?