Hesbollah hii ndo ile tulio hadithiwa ama tutarajie nyingine?

Hesbollah hii ndo ile tulio hadithiwa ama tutarajie nyingine?

Iran anaongozwa na hisia za kidini na si ubonadamu.Hebu cikidia kama angewekeza kuwawezesha wapalestina na hao waislam wenzake kiuchumi hayo maeneo yangekuwa zaidi ya dubai.Lakini kwa kuwa anaongozwa na mihemko ya uislam kutawala dunia anawekeza kwenye kununua silaha na kujenga mahandaki huku anaowapa hiyo misaada wakiteseka kwa njaa, umasikini na ujinga
Ukiambiwa huna akili utasema unatukanwa Marekani ambae haendeshwi kidini mbona hajawapa msaada makafiri wenzake wahaiti anawaacha wanakufa njaa nakuuana
 
Vilisikika vitisho vingi sana mara ooh, Hesbollah sio gaza, mara ooh kumbuka 2006, n. K.

Tulivyokwenda kwenye uhalisia kumbe hedbollah ni wachumba tuu, na ni mara 100 Hamas.

Hao jamaa yahudi anajipigia mpaka kuna muda unawaonea huruma wanaume wazima na vilemba na midevu wakikaa mashimoni.
Vipi mzee bado unaendelea na kauli yako au tuongeze dozi?
 
Mapenda Bandera Yao ya njano.....Jangwani Oyeee!
 
Sishabikii ila tambua viongozi wa Hezbollah wamekufa , wamepigwa na shambulio la pagers ..Yote hayo hao jamaa hawajarudi nyuma 😀 😀 😀 , wanapiga kambi za jeshi sio wananchi .
 
Kuna tofouti ya kukanyaga na kuingia ndani hata wakifika border wakienda hata meter 50 sio kwamba wameingia wanakwenda lakini wanapigwa na wanauliwa afu wanakimbia. Wakiweza kutuonyesha wako Lebanon kama nusu kilometer au kilometer nawakabaki hap, ndio tutasema wameingia Lebanon. Ile ya selfie kwa kupitia upande wa UNIFIL haha hio ya kitoto sana
Kwaiyo wameingia au hawajaingia?
 
Back
Top Bottom