Mbinu inayotakiwa kutumika sasa, Hamas watakwisha na Hezbollah watakwisha.
Tangu mwaka jana Israeli ilipoanzisha mashambulizi Gaza imekua ikitangaza raia kuhama, inashambulia litakaowakuta, jeshi likiona limemaliza linaondoka na kuhamia eneo jingune.
Mbinu hii inawapa afueni maadui kurudi kujichimbia tena kwenye viunga vya zamani,walikopita na kuondoka askari wa Israel.
Sasa nimesikia jana toka Bbc kuwa, raia wanatangaziwa kuhama maeneo yanayotakiwa kushambuliwa, atakayekaidi atahesabika ni adui.
Na baada ya mashambulizi, maeneo hayo yatakaliwa na jeshi na hakuna atakayeruhusiwa kuingia ama kutoka, misaada haitaingia na maadui waliokimbia hawatarudi, aliyekaidi kuondoka atakufa kwa njaa na kukosa mahitaji muhimu.
Mbinu hii mpya ikitumika, mateka watapatikana wakiwa hai au wamekufa na ushindi utapatikana.