Hesbollah hii ndo ile tulio hadithiwa ama tutarajie nyingine?

Huwezi kushinda vota kwa kurusha mabomu hovyo na kubomoa majengo lazima ushuke chini hapa ndiyo pagumu kwa Israel, umeishajiulza leo zaidi ya mwaka wanahangaika na Gaza tu Gaza yenyewe Kigamboni kubwa.
Vita ya kisasa ni high technology inahusika, ni mbinu, hata hao Hezbollah's wangekuwa na technology ya vifaa/Zana basi ingekuwa ngumu pia kwa vita, hapo unalegezwa kwa kupigwa target zako then ndo infantry wanaingia, vita ni mbinu mdogo wangu acha Mihemuko ya Kufuga Ndevu na kuvaa KOBAZI.
 

View: https://x.com/Osint613/status/1845369399890358771
 
Huwezi kushinda vota kwa kurusha mabomu hovyo na kubomoa majengo lazima ushuke chini hapa ndiyo pagumu kwa Israel, umeishajiulza leo zaidi ya mwaka wanahangaika na Gaza tu Gaza yenyewe Kigamboni kubwa.
Tofauti ya Gaza na Lebanon Raia wanaweza kukimbilia hata Uturuki wakiwemo Hezbollah, Gaza Raia hawatoki humo, wanazungushwa
 
Ndugu zetu katika Mungu mmoja, mjue mnafanya makosa sana kuuumbua na kuunanga uwekezaji mkubwa kabisa wa ndugu yetu tunayemtegemea kuleta nafuu kwa mataifa yetu ya kiarabu dhidi ya Netanyahu jamani

Jamani tutajificha wapi sisi tunaoitegemea Iran kupitia vikundi hivi vinavyogalagazwa na watoto wa mtoto wa Maryam

Mbona mnafanya hivi lakini?
 
hii vita inaenda hadi kwenye saikrojia zaidi.. Eneo lililokaliwa na IDF kwa zaidi ya mwezi mmoja adui Adui atafikiria mara mbili kurudi kuweka kambi yake hapo unless Raia wa kawaida.huwezi jua wakati wametoka wameachapo nini hapo.
 
Mkuu hivi kumbe jeshi la Israel halijakanyaga ardhi ya Lebanon mpaka Leo????
Kuna tofouti ya kukanyaga na kuingia ndani hata wakifika border wakienda hata meter 50 sio kwamba wameingia wanakwenda lakini wanapigwa na wanauliwa afu wanakimbia. Wakiweza kutuonyesha wako Lebanon kama nusu kilometer au kilometer nawakabaki hap, ndio tutasema wameingia Lebanon. Ile ya selfie kwa kupitia upande wa UNIFIL haha hio ya kitoto sana
 
Hezibollah bado iko imara hata kama imepoteza makamanda wake!
Bado ni tishio kwa Usalama wa Israel,maeneo ya Kaskazini mwa Israel yanaendelea kushambuliwa.
 
Yule jamaa sijui kwa nini hupewa mic yaani anamapenzi kwa waarabu kwenye uchambuzi kibaya zaidi kila analotabiri kuhusu Israel huenda kinyume na matarajio yake 🤣🤣
Sema kobazi huwa wako vizuri sana kwa propaganda. Hakuna vita wamewai shindwa, ikitokea wakapigwa watakwambia alikuwa marekani yule Israel hawezi, but Iran akifanya tukio hatusikii wakisema mrusi kasaidia🤣
 
Hawa watu ni vichwa maji, hata sasa unasikia wanasema Hamas kashinda vita. Hawa kushindwa vita ni labda wafe waish

Hawa watu ni vichwa maji, hata sasa unasikia wanasema Hamas kashinda vita. Hawa kushindwa vita ni labda wafe waishe.
Inawezekana Kinjektile ngwale alikuwa kobazi, make imani ile naiona leo.. 🤣
 
Sasa mkuu unapiga mabomu kwa wanajeshi wanaoishi kwenye mahandaki unawaathili vipi?. Tukiuliza watu Israel inashikiria Lebanon eneo gani hamtwambii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…