Hesbollah hii ndo ile tulio hadithiwa ama tutarajie nyingine?

Ina maana haujui kuwa nyuma ya israel kuna nani?waarabu wote wamekuwa wanafik unazan hvo vikund vitaweza vp kupgana na marekani,ugermany,engnland,poland n.k.
 
Hao ni hedhibollah,,,wanamgambo wenye uzoefu WA kupigana na watu WA kawaida ila sio jeshi imara...Hawana tofauti na boko haramu.Njaa,,nyege na ukatili ndio vinawaongoza.
Hedhibollah ni Kama panzi au panya wenye hedhibollah ya kufa kufa tu.
Hezbollah ni jeshi la mgambo sio jeshi la lebanon. Ila halina haraka na imani yao ya hali ya juu sio rahisi . Watapigana kadri ya nguvu yao ingawa mambo mengi ya kigaidi ysmefanywa na Israel kama vile kuweka bomu kwenye simu ambazo haijalishi hii inatumiwa na nani na inalipuka wapi.
Usisahau hii vita marekani imetoa billions 19 dollars (19,000,000,000) zaidi free silaha etc na baadhi ya nchi zingine za ulaya magharibi kama Uingereza, ujerumani nk.
Ugonjwa mkubwa uliopo ni hii kasumba ya kudanganywa wayahudi ni njia ya kuenda mbinguni wakati wao Wakiristo hawsutambui wala Yesu ambaye wanaumuona ni mwana haramu.
 
Ina maana haujui kuwa nyuma ya israel kuna nani?waarabu wote wamekuwa wanafik unazan hvo vikund vitaweza vp kupgana na marekani,ugermany,engnland,poland n.k.
Je mtu akisema “ waafrika wote ni wanafik “ utaikubali au itakupendeza?

Vita vya kupaginia hali havikuanza leo. Miaka tangu na tangu. Haina maana wakubali tu kuonewa. Palestine struggle inaingia mwaka wa 75 na Inshallah kuna siku watapata haki zao.
Hao Marekani ndio wanafiki wanauma na kipuliza lakini walio waumini wa kweli wanalifahamu hilo kwamba hao ni wamoja. Na hao watoto wateule soma historia yao na kila zamani wanapata pigo na kusambaratika kwa sababu ya ukaidi wao na ufisadi kwenye ardhi.
 
Akionesha mnaanza lia lia Dunia imewatenga
 
Palestine wakipewa uhuru mwaka1948 wao wanathamini udini kuliko hatima ya vizaz vyao
 
Watumzi huwa hamuishiwi visa😅. Hiwa mnaanza kidogo kidogo hala Israel akimaliza kazi yake na kuondoka mnarudi kwa nguvu kusema kapigwa hadi kakimbia, kumbe story zenu huwa mnaanza kuziunga kidogokidogo kama vile mnacheza kula tumbakishie baba. Mpaka leo hamjawahi Post kwamba Nasrallah na uongozi wote wamefyekwa.
 
Palestine wakipewa uhuru mwaka1948 wao wanathamini udini kuliko hatima ya vizaz vyao
Magazeti na maTV mengi ya magharibi yanamilikiwa na Mayahudi. Pesa yao inatawala Utawala wa marekani. Eli hali wao wanamapungufu mengi Myahudi anapewa billions za dollar free. Na magazeti ndio yanaandika propoganda potofu kama hizi. Palestina ilikuwa koloni la mwingereza kama ilivyokuwa Tanganyika. Mwingereza akawakabidhi Mayahudi.
Nahisi huu udini potofu wa Mapadre waliohongwa pesa umewapoyosha Wengi kuamini porojo potofu kama hizi.

Siku wazungu na wamarekani wakiamka usingizini ndio hii israel itakaa vizuri na kuheshimu wengine
 
Israel anashikilia eneo gani Lebanon?.
Latini, Lebanon
syria Golan.
Palestine - West bank na Gaza.
Jerusalem Mashariki.

Nimekumbuka mpendwa Magufuli alikadirishwa na katibu mmoja akamwambia “ mbona unaonekana mpumbavu sana wewe?”
 
Latini, Lebanon
syria Golan.
Palestine - West bank na Gaza.
Jerusalem Mashariki.

Nimekumbuka mpendwa Magufuli alikadirishwa na katibu mmoja akamwambia “ mbona unaonekana mpumbavu sana wewe?”
Basi kwa sababu umeweka hizo allama mbili ". Nimekusamahe ujinga wako. Endelea kua mjinga mjinga.
 
Moja ya kitu ungejiuliza ni Kwa nn Israel anasaidiwa silaha na mfumo ya ulinzi na mataifa ya magharibi?? Kwa nn Israel anacheza ligi ya ulaya badala ya Asia?? Halafu Kwa nini waarabu wanaikataa Israel na yenyewe inaendelea kuwa imara??
 
Hao wajinga kama wajinga wengine
 
Endeleeni kuota labda mshinde na njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…