Hesbollah hii ndo ile tulio hadithiwa ama tutarajie nyingine?

Ukiambiwa huna akili utasema unatukanwa Marekani ambae haendeshwi kidini mbona hajawapa msaada makafiri wenzake wahaiti anawaacha wanakufa njaa nakuuana
 
Vipi mzee bado unaendelea na kauli yako au tuongeze dozi?
 
Mapenda Bandera Yao ya njano.....Jangwani Oyeee!
 
Sishabikii ila tambua viongozi wa Hezbollah wamekufa , wamepigwa na shambulio la pagers ..Yote hayo hao jamaa hawajarudi nyuma 😀 😀 😀 , wanapiga kambi za jeshi sio wananchi .
 
Kwaiyo wameingia au hawajaingia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…