Dhahabu kwenye shamba lako mali ya jamhuri ila bangi za kwako. Hii theory wanai apply kila sehemu.As much as I agree na wewe ila ungeanza kuwakumbusha kwanza hao kufanya wajibu wao. Comparison ya Mzazi na Rais doesn't hold water.
Mzazi sikumchagua. Rais anachaguliwa.
Mzazi hanilipishi kodi. Rais na serikali yake wanakula kodi zetu bila kutimiza wajibu wao.
Afu sifa zote mnampa rais ila lawama mna deflect. You seem to have selective competence.
Mbwa daima hujua mbwa wenzake.Mbona huyo Samia yeye anatukana watu kwa kuwaita mbwa?
Wewe mgeni na mimi umfahamu Ritz.Mzee we ungebaki na nyuzi za kina Hamas Hadi watu wapoe.
Usije kuangushiwa wewe hiyo mitusi.
vijana wanapaswa kuelewa kwamba harakati za haki na mabadiliko hazipatikani kwa kutukana viongozi kwenye mitandao.Kwahiyo umeanzisha Uzi watu wajadili matusi?
Nionavyo mimi matusi hayaelekezwi kwa Rais peke yake napendekeza tuwe na mjadala wa kitaifa kuhusu maadili kwa woteWanaukumbi.
Vijana wa Tanzania, taifa linalotilia mkazo maadili mazuri mnawezaje kumtukana Rais SuluhuSamia matusi mazito?
Kuna uhusiano gani kati ya kudai haki au kukosoa Utendaji wa Serikali na matusi? Kwani mama au baba zenu wakikosea huwa pia mnawatukana? Badilikeni, matusi sio uungwana.
Kundi la watu wanaojiita wanaharakati ("Team Space") wanatuumia
Nguvu kubwa kugawa watanzania "Divide and Rule" ili Watanzania wasiwe na sauti moja. Matokeo yake mnakuwa kama lugha gongana "mlima babeli"
Harakati hizi ni kwa manufaa ya wachache, haziwezi leta mabadiliko, kamwe!
Haki haipiganiwi kwa matusi au kutweza utu wa wengine. Ni muhimu kukumbusha vijana kwamba hakuna harakati za demokrasia na haki zilizowahi kushinda bila watu kupendana, kuwa wamoja na kuwa na sauti moja. Team Space inatengeneza "DIVIDE AND RULE" harakati za maslahi kupiga hela
PIA SOMA
- Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
Ambaye anatetea rais kwa sababu ni muislam. Wapuuzi kabisa nyieWewe mgeni na mimi umfahamu Ritz.
Hapa Hamas inaendelea, kinachotetewa hapa ni uislamu wala sio UraisMzee we ungebaki na nyuzi za kina Hamas Hadi watu wapoe.
Usije kuangushiwa wewe hiyo mitusi.
Nimecheka sana walah! πππDhahabu kwenye shamba lako mali ya jamhuri ila bangi za kwako. Hii theory wanai apply kila sehemu.
Sifa njema, mama kaupiga mwingi. Vikivurundwa basi 'mama' hausiki.
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, (matumizi mazuri ya tungo tata)Watanzania Wengi ni Wapumbavu mnooooo mnoooo! Ni Wapi ametukanwa? Lisu alishawahi kuitwa Shoga, je ni Wapi yeye alitusiwa? Tuache uchawa uliopitiliza..... mbona yeye kaita Watu "mbwa"??