Heshima kitu cha bure. Rais Samia ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe

Naunga mkono hoja
P
 
Naunga mkono hoja
P
Asante Uncle Pascal Mayalla kama Taifa tumekosa kabisa nidhamu na utii kwa Mamlaka, kejeli, matusi na maneno yasiyo na staha ndio watu wengi hudhani kama yanaweza kubadilisha nyakati tulizo nazo sasa?

Kutilia mkazo maneno yasiyo na staha na adabu kwa viongozi hayaondoi hali iliyopo. Watu wameshindwa kutoa maoni mbadala wa kushauri wanadhani kutoa lugha za kejeli ndio suluhisho kumbe huko ni dalili ya ujinga na kukosa utulivu wa akili.
 
Akili za maharage hizi, na wenye akili hawawezi kuheshimu utekaji, uuaji na kesi fake , wanafiki mko wengi
 
Kichefuchefu 🤮🤮🤮
 
Wanabodi,.
Namalizia kwa msisitizo huu

Heshima Kitu cha Bure, Rais Samia, ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe!.​

Paskali
Kwangu, hii serikali, ndo serikali pekee ninayoweza kusema inaongozwa kwa kutumia akili ndogo sana.

Tuje kwenye siku ya jana ambapo Rais alipotengua uteuzi wa balozi ambaye alishaacha kazi 🤣.

... the idiot of all idiots.
the idiot of all idiots ..., msg sent & delivered!
P
 
Kichwa nazi kama yule anaweza kusomea PhD. Kichwa kimejaa urojo wa mchambawima
Heshima kitu cha bure!
Neno kichwa nazi sii neno la heshima!.
P
 
Heshima kitu cha bure!
Neno kichwa nazi sii neno la heshima!.
P
Mbona yeye haheshimu UTU wa binadamu. Yeye kwake watu kutekwa, kuuawa, kuwatesa na kusingizia kesi za kishenzi ni heshima, eti kifo ni kifo. Katiba yetu anaita kakijitabu anaheshima gani huyo. Binadamu mwenzake anamuita jina la mnyama (simba), Ndiyo maana na yeye watu wanamuita jina la mnyama Kenge.
 
Heshima kitu cha bure!, huwezi kumwita hivi kiongozi wa nchi hata kama humpendi vipi!.
P
✍️Wewe unataka tumuiteje kiongozi anayeteka, kutesa na/au kuua watu aliokabidhiwa kuwaongoza, wakikosoa utawala wake? Watu wakiuawa na majambazi wake anatuambia “kifo ni kifo tu”!
✍️Unataka tumuiteje kiongozi ambaye anaamini Katiba aliyoapa kuilinda ni kijitabu tu? Kwa maneno mengine, haamini katika rule of law.
✍️Unataka tumuiteje kiongozi ambaye kwa makusudi amechagua kupuuza sauti za watu aliokabidhiwa kuwaongoza? Anajiita Chura Kiziwi.
 
Respect mean: "honorability by virtue of having a good reputation and being respected"

In terms of handling corruption, wasteful expenditure, the rule of law, and respect for democracy, does she have a solid reputation?

In contrast to worship, honor is a two-way street; one side rises while the other falls. Respect is self-respect, and self-respect involves honoring social pillars such as the constitution and popular will.

Question: Does your buddy uphold the nation's and her party's constitutions?
How is it possible to have a son-in-law and a sizable number of wives and kids from the benefactors running for office along with your own child?
 
Heshima kitu cha bure!, huwezi kumwita hivi kiongozi wa nchi hata kama humpendi vipi!.
P
Respect is a fundamental aspect of human interaction, and it should never be taken for granted. It is important to understand that respect must be earned and cultivated through our actions and behaviors.

Heshima sio kitu cha bure.
 
TOP ya Maraisi kulingana na uwezo wao:
1. Nyerere (IQ: 90%)
6. Samia (IQ: 20%)
Nyingine ongezeni wenyewe.
Mkuu Pule, pulex
Hii si heshima!, huku ni kumtukana mtu matu.. ya rejareja kuashiria kama huyu
ni kila.. fulani hivi!, wakati ana fanya mengi, makubwa, mazuri na ana deliver!.
P
 
Mkuu Pule, pulex
Hii si heshima!, huku ni kumtukana mtu matu.. ya rejareja kuashiria kama huyu
ni kila.. fulani hivi!, wakati ana fanya mengi, makubwa, mazuri na ana deliver!.
P
Kaka paskali,
Nanukuu......

The phrase "respect is earned, not granted" suggests that true respect from others isn't automatic but must be gained through positive actions, character, and behavior, rather than being given freely or demanded. It implies that people who wish to receive respect should demonstrate traits like honesty, kindness, responsibility, and integrity to inspire trust and admiration.

Mwisho wa kunukuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…