HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

Inategemea na kozi mkuu....kozi zingine ada hadi 4m kwa mwaka
 
Raha ya magufuli ndio hii lazima upate chungu yake ata ukiwa mtoto wake ukiweza kumkwepa ata matone ya mvua utaweza kuyakwepa
 
Siku akikugeuka utaipata fresh,haina haja ya kukimbia lipa tu taratibu litaisha.Mimi nalipa laki 1 Kila mwezi na zimebaki milion 4,hivyo siishi Kwa wasiwasi na mikwara Yao.Ila Kwa mfumo waliouweka now hata ukimiliki nyumba 20 watajua tu hasa Kwa watumishi WA umma wanaofisadi unless uandikishe majina ya mke ili baadae akubadilikie upate kiharusi.
 
NIDA bado ipo? Kama bado ipo wanafanya shughuli gani?
Ni rahisi kupata passport kuliko kupata namba ya NIDA.
 
hata marekani na uchumi wote ule hakuna anaesoma bure chuo kikuu, sema hii bodi ilikua inatoa mikopo kiholela sana enzi hizo bila kujua itarudi vp, wanakumbuka shuka asubuhi
Acha upumbavu wewe , hebu nenda. Sweden , Denmark , Norway na Finland uone , Kule elimu ni bure sasa Sisi humu tunashindwa nini ? , As the matter of fact hizi ni Kodi za wananchi sio pesa za serikali ,
 
Acha upumbavu wewe , hebu nenda. Sweden , Denmark , Norway na Finland uone , Kule elimu ni bure sasa Sisi humu tunashindwa nini ? , As the matter of fact hizi ni Kodi za wananchi sio pesa za serikali ,
ni kila nchi na falsafa zake 🀣 🀣 🀣 , tunakula kutokana na urefu wa kamba zetu, hatukatai ni kodi wanachi lakini haimaanishi tupewe bure, basi kia kitu kiwe bure maana tunalipa kodi! au nasema uongo?
 
Yaani hapa bora kusomesha mwana tu.Kama una uwezo hakuna kumpa mtoto deni la kijinga.
Nilisomesha kijana wangu chuo cha mipango Dodoma (Diploma) then digrii UDOM kwa miaka 3. Kapata kazi kwenye Ka NGO flani maisha yanaenda, kwa kweli nikiangalia adha ya makato from hiyo body ya mikopo najisikia furaha sana pamoja na kwamba nilisota kweli kipindi cha hayo malipo kwani nilikuwa na wengine wawili wako sekondari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…