Duh! Ndio maana kuna kipindi nilisikia watu wanaobet inabidi wajulikane kabisa. Mkeka ukitiki unakutana na rungu la HESLB washakata juu kwa juu *****.Wana mpango wa kuunganisha na account za Benki na Simu! Wakitoka NIDA watahamia MPESA
Hilo hawezi limaliza kulipa na kwa kuwa wanakata mpunga mrefu, ina maana litaji compound kana kwamba sheria isipobadilishwa na kiongozi ajaye watu watafikia miaka 60 na pensheni hupewi ili kufidia deni lako πππHakika ndugu ,mambo mangine Ni kujiendekeza tu ,chuo kikuu unasoma fresh tu bila hiyo loan yao .
Kuna mwamba baba ake alimwambia hakuna kuappy loan mm ntakusomesha mwanzo mwisho.jamaa akamzunguka baba ake aka apply loan ,so akawa anapiga pesa za mshua huku loan wanamlipia Ada na kupata boom Kama kawaida.
Mzee wa watu yeye anatoa tu pesa kwa mwanae na hakuwa na haja ya kumfuatilia Sana ,so kila kitu alikuwa amemwachia jamaa ,mzee Ni kusikiliza tu inahitajika ngapi anatoa tu. Nakumbuka tulikula Sana bata club Ambassador pale posta na kwa dj Mbowe club billcanas coz jamaa alikuwa anasoma Ifm mm jalalani huko mlimani, Basi navutiwa tu waya njoo tuburudike mwamba.
Mungu si juma bwana saiz yupo serikalin lakin had leo anajuta kwann alifanya ule ujinga maana salary slip yake inasoma den la haja na sidhan km atalimaliza Leo na baba ake hajui kitu so ibak Siri yake yeye na mm tu.
Ila maumiv alio nayo Ni hatar ,na baba ake saiz ashajitoa kumsapot coz tayal nae ana Kaz yake
Lazima pension yote wachuku e na deni halitaisha watakuja kwenye mazishi tukifa wachukue na pesa za michango ya rambi rambiMzee nyie si watachukua mpaka pensheni
Waunganishe mpaka na gridi ya taifa, kuna raia zikiamua kutokulipa hazitalipa πWana mpango wa kuunganisha na account za Benki na Simu! Wakitoka NIDA watahamia MPESA
Hutatumia benki wewe au MPESA?Waunganishe mpaka na gridi ya taifa, kuna raia zikiamua kutokulipa hazitalipa π
Sasa mkuu huoni ukitumia TIN yako watakuotea?Naona wamekaribia kunidaka. Na watakaponipata na kuanza kunikata mkwanja mrefu kama sehemu ya marejesho ya mkopo wao NITAACHA KAZI MARA MOJA.
Nasisitiza:BORA NIACHE KAZI YA KUAJIRIWA.Na nitakapoingia uraiani nimeshabuni njia nitakazotumia kuwakwepa hata wasinibaini huko.
Lipa Deni mjomba!Sasa mfano mtu hajaajiriwa hiyo laki moja anatoa wapi?? Hiki kiwango sidhani kama kinalipika kwa mtu ambaye hana ajira, mfano kuna mtu baada ya kuhitimu kakaa more than 3 years hana ajira atalipaje??
Na jambo jingine hapa naona kama vile mawakili wamekuwa victimized tu sio kweli kwamba kila wakili anapesa, kuwadai loan board payments wakati wa kurenew certificates huo ni ukandamizaji uliopitiliza.
Wakati mwingine tusitumie mamlaka yetu kuonea wengine simply because we are in better positions than them.
Kwa mwendo huu kuna raia zitaanza kuficha hela kwenye mabegi ndani ya nyumbaNoma sana, wanaweza wakachukua vocha ya kujiunga kifurushi.
Kwa pesa wanayonidai saizi nikipiga deiwaka sitaki habari za kutumiana M-Pesa wala Tigo Pesa.
Hahahah kmmmk, Tanzania ya uchumi wa kati hioLazima pension yote wachuku e na deni halitaisha watakuja kwenye mazishi tukifa wachukue na pesa za michango ya rambi rambi
Makato ya asilimia 15 yalikuwa kwenye mkataba upi??
Hatari unanunua umeme wa elfu 5000/= unapokea sms ya HELSB asante Kwa kulipa deni lako.Kwa mwendo huu kuna raia zitaanza kuficha hela kwenye mabegi ndani ya nyumba
Wakinunua umeme wa 10,000 wakatwe elfu 8,000 au mnasema je wajameni!Waunganishe mpaka na gridi ya taifa, kuna raia zikiamua kutokulipa hazitalipa π
Mimi sitalipa mpak deni liwe linalipika.Waunganishe mpaka na gridi ya taifa, kuna raia zikiamua kutokulipa hazitalipa π
Wakate 9,500Wakinunua umeme wa 10,000 wakatwe elfu 8,000 au mnasema je wajameni!
kwa kuwa tunawafahamu awa tupi tabu kabisa tunafanya kuwasikiliza tuNdio maana yake na so kuku block tu deni lako linapelekwa credit reference bureau huwezi kopesheka na combo chochote cha fedha wote wanakuwa na taarifa zako kuwa ni mdaiwa sugu
Wakikudaka una kesi ya uhujumu uchumi na haina dhamanaπKwa mwendo huu kuna raia zitaanza kuficha hela kwenye mabegi ndani ya nyumba
hakika itapendeza waweke mfumo kabisa na TCRA ukitumiwa tu ata salio au buku kumi ije tu msg ya tunashukuru kwa kuwa mzalendo pesa yako imelipa DeniWakate 9,500
Hahahahah hii ni sawa na kukanyaga chumba chenye floor ya maji yaliowekewa umeme na pembeni kuta imezungushiwa vipande vya chupa.Wakikudaka una kesi ya uhujumu uchumi na haina dhamanaπ
Ndio mana hata wanalazimisha mabasi yote tiketi zote ziwe za electronic.hakika itapendeza waweke mfumo kabisa na TCRA ukitumiwa tu ata salio au buku kumi ije tu msg ya tunashukuru kwa kuwa mzalendo pesa yako imelipa Deni
Hahahahahaha aah, nimewaza nimejikuta nacheka tu yan badala ya kusikitika. πππhakika itapendeza waweke mfumo kabisa na TCRA ukitumiwa tu ata salio au buku kumi ije tu msg ya tunashukuru kwa kuwa mzalendo pesa yako imelipa Deni