HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

Hakika ndugu ,mambo mangine Ni kujiendekeza tu ,chuo kikuu unasoma fresh tu bila hiyo loan yao .
Kuna mwamba baba ake alimwambia hakuna kuappy loan mm ntakusomesha mwanzo mwisho.jamaa akamzunguka baba ake aka apply loan ,so akawa anapiga pesa za mshua huku loan wanamlipia Ada na kupata boom Kama kawaida.

Mzee wa watu yeye anatoa tu pesa kwa mwanae na hakuwa na haja ya kumfuatilia Sana ,so kila kitu alikuwa amemwachia jamaa ,mzee Ni kusikiliza tu inahitajika ngapi anatoa tu. Nakumbuka tulikula Sana bata club Ambassador pale posta na kwa dj Mbowe club billcanas coz jamaa alikuwa anasoma Ifm mm jalalani huko mlimani, Basi navutiwa tu waya njoo tuburudike mwamba.

Mungu si juma bwana saiz yupo serikalin lakin had leo anajuta kwann alifanya ule ujinga maana salary slip yake inasoma den la haja na sidhan km atalimaliza Leo na baba ake hajui kitu so ibak Siri yake yeye na mm tu.

Ila maumiv alio nayo Ni hatar ,na baba ake saiz ashajitoa kumsapot coz tayal nae ana Kaz yake
Hilo hawezi limaliza kulipa na kwa kuwa wanakata mpunga mrefu, ina maana litaji compound kana kwamba sheria isipobadilishwa na kiongozi ajaye watu watafikia miaka 60 na pensheni hupewi ili kufidia deni lako 😂😂😂
 
Naona wamekaribia kunidaka. Na watakaponipata na kuanza kunikata mkwanja mrefu kama sehemu ya marejesho ya mkopo wao NITAACHA KAZI MARA MOJA.

Nasisitiza:BORA NIACHE KAZI YA KUAJIRIWA.Na nitakapoingia uraiani nimeshabuni njia nitakazotumia kuwakwepa hata wasinibaini huko.
Sasa mkuu huoni ukitumia TIN yako watakuotea?
 
Sasa mfano mtu hajaajiriwa hiyo laki moja anatoa wapi?? Hiki kiwango sidhani kama kinalipika kwa mtu ambaye hana ajira, mfano kuna mtu baada ya kuhitimu kakaa more than 3 years hana ajira atalipaje??

Na jambo jingine hapa naona kama vile mawakili wamekuwa victimized tu sio kweli kwamba kila wakili anapesa, kuwadai loan board payments wakati wa kurenew certificates huo ni ukandamizaji uliopitiliza.

Wakati mwingine tusitumie mamlaka yetu kuonea wengine simply because we are in better positions than them.
Lipa Deni mjomba!
Me ni nadaiwa na Mungu tu kumshukuru kwa kunipa uhai!
 
Waunganishe mpaka na gridi ya taifa, kuna raia zikiamua kutokulipa hazitalipa 😁
Mimi sitalipa mpak deni liwe linalipika.
Deni gani unalipa ila badala ya kupungua linaongezeka?
Labda wanipeleke jela
 
Ndio maana yake na so kuku block tu deni lako linapelekwa credit reference bureau huwezi kopesheka na combo chochote cha fedha wote wanakuwa na taarifa zako kuwa ni mdaiwa sugu
kwa kuwa tunawafahamu awa tupi tabu kabisa tunafanya kuwasikiliza tu
 
Wakikudaka una kesi ya uhujumu uchumi na haina dhamana😂
Hahahahah hii ni sawa na kukanyaga chumba chenye floor ya maji yaliowekewa umeme na pembeni kuta imezungushiwa vipande vya chupa.

Mateso yake hayaelezeki.
 
hakika itapendeza waweke mfumo kabisa na TCRA ukitumiwa tu ata salio au buku kumi ije tu msg ya tunashukuru kwa kuwa mzalendo pesa yako imelipa Deni
Ndio mana hata wanalazimisha mabasi yote tiketi zote ziwe za electronic.
Maana yake ukikata tiketi heslib wanakula chao kwannza.
Yaani ubaya ubaya tu.
Wanataka kama ukinunua umeme kuna makato ya rea, vat, heslib. Yaani heslib iwe kila sehemu hata ukinunua pipi.
Wanakuambia weka tin numba yako kwenye risiti.
Ukiweka heslib wanakula chao.

Ne meko haondoki leo wala kesho.
Hii ngoma hadi ishindwe kutembea kama Mugabe
 
hakika itapendeza waweke mfumo kabisa na TCRA ukitumiwa tu ata salio au buku kumi ije tu msg ya tunashukuru kwa kuwa mzalendo pesa yako imelipa Deni
Hahahahahaha aah, nimewaza nimejikuta nacheka tu yan badala ya kusikitika. 😂😂😂

Nikiwaza jinsi wanvyofyekaga kahela ka mkopo ukitia vocha tu imagine umepigika una njaa ramani hazisomi umetumiwa kahela tu ka kula, "Asante kwa kulipa deni lako la HESLB" na hapo ulikuwa hujui kama kuna mfumo huo..Sijui utalia 😂😂😂
 
Back
Top Bottom