Hezbollah ilisubiriwa kuingia kwenye vita, kiongozi wao kabwatuka mikwara kisha kaenda kulala zake

Hiki Ni kisingizio Cha ajabu kabisa
 
Wakati wanawake na watoto wanauwawa kwenye majumba yao wanaume wanakuwa wapi, yaani wanaume wanajificha chini ya mahandaki Kama panya buku mnawaacha mama na binti zenu majumbani ili wauwawe, halafu asubuhi mnatoka mashimoni, mnabeba maiti kuonyesha waandishi wa habari

Kwa nini msiwafiche mama zetu kwenye hayo mahandaki? Nyie ndio mbaki majumbani kupambana na wanaume wenzenu
 
Wenzako wameisha rudi mpakani kama huna habari mtasikia wanakubali kurudisha matekwa kwa amri ya Super Power wa Middle East Al Qasam brugedies [ Hamasi]

Watu wakanisani lazima wawe wanapenda mchezo wao.
Mkuu ukiamka kamuone daktari upate tiba maana ubongo unaharibika kwa kasi ya ajabu
 
Njaa,giza,hakuna maji kumeshawapiga wanatoka shimoni mmoja mmoja saiv

hamas hawakupiga vizuri hesabu
 
Watakuelewa sasa hawa wana mnyaazi
 
Kwanza we muimba kwaya mimi sipo Gaza pili nani kakuambia wanaume wako chini ya ardhi kwa sababu wanamuogopa Israel? Hio tack tick n kamji hata km 80 hakafiki kamewekea blocked kila kitu kuanzia chakula, mafuta, dawa, silaha, na kanachangiwa na madui kila sehemu kuanzia Egypt, Jordan kasingize hata silaha na bado kunawapiga nyie waisrael, America, uingereza. Italy. France,Germany, Ukraine, United Arab Emirates, Jordan na bado hamjarudisha hata matekwa mmoja.

Ingekuwa maneno yako ni kweli wanaume wapo chini ya ardhi basi wangeisha izunguka Gaza sa ivi hakingia kifaru hata km 5 kinarudishwa nyuma au kina ripuliwa je vifaru vinatembea chini 😄 nani anaye virudisha na kuvirupua kama si wanaume washoka.

We akili zako kuna mtu anaweza kupigana vita na jeshi linatumia kila aina ya silaha imeharamishwa kutumiwa na UN na wana ndege za kisasa F35 na F16 aende bila cover ya aina yoyote ile we kichaa nini.

Hivi Hamasi angepewa.msada tu wa silaha za kuangusha ndege basi wanaume wangeisha mzunguka Natanyahau Tela Aviv sio hao mashoga zenu mnajikusanya mpakani leo mwezi na bado mnaogopa hata kutembea km 5 mnaishia kuchukua Hollywood film kwenye majumba mlio wauwa watu wasio na hatia na hakuna mtu anaishi tena mgetuonyesha basi silaha mlizo vunja kwenye hayo majumba.

Mtu yeyote yule mwenye akili zake timamu anafahamu wazi Israel hawezi pigana vita na Hamasi ndio sababu anakimbilia kuwauwa watoto na wanawake anadhani kufanya hivyo Hamasi atasimamisha vita 😄

Rudi kanisani kaimbe zile nyimbo za Yesu kafa kwa ajili yenu
 
Hahahaha😂😂😂
 
Njaa,giza,hakuna maji kumeshawapiga wanatoka shimoni mmoja mmoja saiv

hamas hawakupiga vizuri hesabu
Hamasi anachakula kinamtosha miaka dalili yule matekwa ki mama kilisema uislam kweli dini ikabidi Israel waseme kimama kile kichaa 😄 Nasikia kaingia Uislam takibiriii Allah Akbar

Wao wanazuia chakula kwa wale watu hawahusiki na Hamasi na kuwafanyia vile wanadhani watasababisha wawachukie Hamasi lakini wengine ndio kwanza wanaenda jiunga ili wamtie adabu Israel
 
Israel is getting SMOKED by Hamas Guerilla warfare
 

Attachments

  • twidown.mp4
    374.5 KB
Hahahaha😂😂😂
Yani watu wanakimbia Israel Irone dome iko wapi, hivi hawa wafuasi wa taifa teule bado wapo mpagala na kigamboni lini watatua Tela Aviv


View: https://youtu.be/vZ-URo0QspY?si=eZyG2dkRVplA3r-K
Wambie majumba ya Israel mengi yapo tupu waende wakaishi kule ni taifa teule huyu aliye tunga bibilia angekuwa hai angejitia kitanzi kwa hi aibu ya kusema Israel ni taifa teule, angesema taifa la kishetani labda tungekubaliana naye sababu action za Israel ni za kishetani kabisa We unapigwa na Hamasi afu unaenda piga hospital, watoto na wanawake hawana hata risasi wacha bunduki


View: https://youtu.be/T_fC5J-qvqU?si=MxBZnU5Wy8LIVnOB
 
Nimesikitika sana jamaa anahutubia wafuasi wake alafu hajulikani sehemu alipo Kisha likizuka timbwili yy anakula zake tende na halua raia huku wanakufa
 
Wapo wengi Waisrael weusi wanakesha JF wengi wanaishi Kimara Temboni wengine Kibosho wengine Makete na Kashai Bukoba.. hawa jamaa wapo radhi hata akija Musrael makwao wawape wake zao😂.
 
Wameufyata pamoja na bwana wao irani alitishia kwamba israel wakiingia gaza wataingilia lakini mpaka sasa hakuna dalili,hii ni fefhea bora wangekaa kimya kuliko kutoa vitisho wasivyoweza kutmiza
Yule wazir wa mambo ya nje wa Iran wiki 2 zilizopita alitweet kwenye account yake " The TIME IS OVER" nikajua mtifuano unaanza kumbe mkwara tu wanajidhalilisha kwakweli Bora wangekaa kimya tu huku wakifanya harakati zao chini kwa chini.
 
Siyo hiyo tu wayahudi wamekuja na mpya yaueni hata kama yamejificha nyuma ya mitoto na miwanawake msiysonee huruma yaueni yote tu.
 
Yule wazir wa mambo ya nje wa Iran wiki 2 zilizopita alitweet kwenye account yake " The TIME IS OVER" nikajua mtifuano unaanza kumbe mkwara tu wanajidhalilisha kwakweli Bora wangekaa kimya tu huku wakifanya harakati zao chini kwa chini.
ISRAEL HAS PASSED THE RED LINE. Nikikumbuka hule mkwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…