stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Hakuna hata dron, sijui ballestic ya Yemen iliyotua ktk ardhi ya Israel ustaadh ok
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna hata dron, sijui ballestic ya Yemen iliyotua ktk ardhi ya Israel ustaadh ok
Hiki Ni kisingizio Cha ajabu kabisaHezbollah leader amesema all possibilities still open in hostilities with Israel.
Kwanza lazima ufahamu Hezbullah huwa haingi tu total war sababu wao si kama Hamasi wapo wanawatu wao katika parlment ya Lebanin.
Saud Arabia, Qatar, UAE, Jordan na America wamewatia pressure serekali ya Lebanon wasimruhusu Hezbullah aingie vita kwa kuwapa guarantee 💯 America hataki vita iendelee na Natanyahau ataondoka kwenye kiti.
Lazima ufahamu Hezbullah pia huyu Rais aliyopa madarakani Lebanon kwa sasa ni mtu wao, hawataki kumkera, pili Saud Arabiana Qatar na UAE wemewambia serekali ya Lebanon watawapa pesa wahakikishe wanamtia pressure Hezbollah asingie hi vita.
Alicho wambia atasubiri aone kama Israel na America wanaendelea na hi vita kuwauwa watoto na wanawake basi hana guarantee ya kuwapa hata ingia hi total war.
Lazima ujuwe nyuma ya pazia America alikuwa anabembeleza nchi za kiarabu ziwasemeshe Lebanon wamtie pressure Hezbullah asingie hi total war na Israel sababu America hataki vita
Haya umeyatoa wapi mfuasi wa muddy(56) mme wa Bi. Aisha(9)? Wacha uongo dogo.Kwani ukristo na uyahudi ni tofauti hao wanamini Yesu ni Mungu na Myahudi anamgojea Dijal the deceiving Messia ndio mungu wao 😄
Mkuu ukiamka kamuone daktari upate tiba maana ubongo unaharibika kwa kasi ya ajabuWenzako wameisha rudi mpakani kama huna habari mtasikia wanakubali kurudisha matekwa kwa amri ya Super Power wa Middle East Al Qasam brugedies [ Hamasi]
Watu wakanisani lazima wawe wanapenda mchezo wao.
Huyo jamaa amechanganyikiwa kabsa. Akili zimeaacha mwiliHaya umeyatoa wapi mfuasi wa muddy(56) mme wa Bi. Aisha(9)? Wacha uongo dogo.
Njaa,giza,hakuna maji kumeshawapiga wanatoka shimoni mmoja mmoja saivGaza wanaume tu ndio wako nje, wewe uko Gaza sehemu gani mwanamke we, wanawake wote wa Gaza wako shimoni toka 7 oktoba, jamani kumbe binadamu anaweza kuishi chini ya ardhi kama nguchiro🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ustaadh wewe unabwabwaja ujinga hapa coz ulikimbilia Tanzania, but ungebaki kwenu huko sahivi ungekuwa chini ya ardhi kama Hassan Nasrallah kiongozi wenu ametoa mahubiri yake kwenu akiwa chini ardhi kama panya ubatwambia nini hapa🤣🤣🤣
Watakuelewa sasa hawa wana mnyaaziKatika maisha yangu nilijua uislamu na unafiki ni adui, lakini kwa sasa naona tofauti sana.
Huyo muezbulah nimemsikia akisifu Hamas kwa kuishambulia Israel,kuua na kuteka watu, lakini akailaumu Israel kwa kuwapiga Hamas hata wakiwa ndani ya mashimo! Huu ndiyo uislamu? Au ni ulebanon.
" Imeandikwa waueni hata kama wakiwa wamejificha chini ya mawe"
Sasa wayahudi wao wamekuja na hili" waueni hata kama watakuwa wamejificha chini ya ardhi"
Kwanza we muimba kwaya mimi sipo Gaza pili nani kakuambia wanaume wako chini ya ardhi kwa sababu wanamuogopa Israel? Hio tack tick n kamji hata km 80 hakafiki kamewekea blocked kila kitu kuanzia chakula, mafuta, dawa, silaha, na kanachangiwa na madui kila sehemu kuanzia Egypt, Jordan kasingize hata silaha na bado kunawapiga nyie waisrael, America, uingereza. Italy. France,Germany, Ukraine, United Arab Emirates, Jordan na bado hamjarudisha hata matekwa mmoja.Gaza wanaume tu ndio wako nje, wewe uko Gaza sehemu gani mwanamke we, wanawake wote wa Gaza wako shimoni toka 7 oktoba, jamani kumbe binadamu anaweza kuishi chini ya ardhi kama nguchiro🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ustaadh wewe unabwabwaja ujinga hapa coz ulikimbilia Tanzania, but ungebaki kwenu huko sahivi ungekuwa chini ya ardhi kama Hassan Nasrallah kiongozi wenu ametoa mahubiri yake kwenu akiwa chini ardhi kama panya ubatwambia nini hapa🤣🤣🤣
Hahahaha😂😂😂Hebu wambie Israel watuonyeshe basi wamefika Gaza na wameisha warudisha matekwa?
Yani kama si usenge hu ni kitu gani una jeshi karibu watu 350,000 una vifaru ambavyo vina cost kimoja zaid ya mamillion, air force za kila aina, Navy na support kutoka America, Europe na nchi za Kiarabu Egypt, Jordan, UAE na bado hata matekwa mmoja hamjamrudisha kwa kutumia ule mnauita u super power wenu 😄
Tunacho ona watoto wengine hata hawafiki siku 10 wameuliwa na boom lina cost mamillion kweli akili Mali afu wengine mnaona Hamasi wamejificha nyuma ya mtoto 😄 Ukristo kweli ni ujinga nyie na baniani hamna tofauti wale wanabudu ngombe nyie binadamu
Yesu kachukua dhambi zako au ✨
Mulize Israel ndio ana habari ya Yemen we unadhani Yemen ana silaha kama tumizinga twa JWTZ 😄kumbe hadi kilema Yemen kaipiga Israeli. Hivi ni nini maana ya kupiga.
Hamasi anachakula kinamtosha miaka dalili yule matekwa ki mama kilisema uislam kweli dini ikabidi Israel waseme kimama kile kichaa 😄 Nasikia kaingia Uislam takibiriii Allah AkbarNjaa,giza,hakuna maji kumeshawapiga wanatoka shimoni mmoja mmoja saiv
hamas hawakupiga vizuri hesabu
Yani watu wanakimbia Israel Irone dome iko wapi, hivi hawa wafuasi wa taifa teule bado wapo mpagala na kigamboni lini watatua Tela AvivHahahaha😂😂😂
Nimesikitika sana jamaa anahutubia wafuasi wake alafu hajulikani sehemu alipo Kisha likizuka timbwili yy anakula zake tende na halua raia huku wanakufaItakua kuna mtu kamtonya kiongozi wa Hezbollah kwamba kwa sasa Israel wana hasira isiyo na kifani na kujaribu ugomvi nao ni kujitakia kipigo cha mbwa, walisubiriwa watangaze vita, nyuzi zikaanzishwa humu, mzee wa watu alipopewa mic atangaze vita, akabwatuka mikwara kisha muda wa kulala ulipofika akaenda zake.
Ifahamike kwa sasa hakuna taifa au kundi lolote linalotaka kujiingiza kwenye huu ugomvi, hata kubwa la magaidi ya dini, Iran, limeogopa na kukaa pembeni, kwa sasa HAMAS wako wenyewe na picha za satellite zinaonyeshwa Gaza imezingirwa kote.....
Hivi waarabu wa Bongo waliandamana jana?
![]()
For weeks, Lebanon was preparing for war. People spoke about their backup plans in hushed tones. The government said it was putting together contingency supplies for the public’s basic necessities.
It all hinged on Hezbollah Secretary General Hassan Nasrallah’s thinking about the Hamas-Israel war, which he kept close to his chest before breaking his nearly month-long silence about October 7 on Friday.
In a fiery speech from an undisclosed location, the reclusive head of the Iran-backed Lebanese militant group heaped praise on Hamas and hailed the war as a “turning point” in the Arab-Israeli conflict. He extolled the virtues of the weekslong cross-fire with Israel on Lebanon’s southern border, which he described as an “unprecedented battle.”
He also said Hezbollah would be "prepared for all scenarios,” and that any escalation by the Israeli army at the border would be a "historic folly" that would prompt a major response.
Yet for all the tough talk, Nasrallah was not banging war drums. He said Hezbollah’s “primary goal” was to achieve a ceasefire in Gaza, and said it was incumbent on the US — which he held directly responsible for the bloodshed in the Palestinian enclave — to implement the cessation of hostilities.
What this tells us is that Nasrallah’s immediate plans do not include a broader conflict.
This may come as a disappointment to many in the Arab street. When the pro-Palestinian demonstrations washed over much of the region in recent weeks, many of the chants called on Nasrallah to go to war.
But it will be a relief to Israel’s Western allies, who fear a wider regional conflict and have repeatedly warned Nasrallah not to enter the fray. Two US aircraft carriers — including the nuclear-power USS Gerald Ford — were dispatched to the Mediterranean in an apparent bid to deter Hezbollah.
That relief will be shared by many in Lebanon. The tiny eastern Mediterranean country has barely recovered from the devastating economic crisis of 2019, and much of the population — while horrified by the soaring death toll and widespread destruction wrought by Israel’s offensive in Gaza — has been worn down by decades of war and crises.
Nasrallah may have been restrained by that popular sentiment, or he may have concluded, after weeks of deliberation, that his powerful paramilitary has too much to lose in a war with Israel.
![]()
Israeli forces closing in on Gaza City, satellite imagery shows
US Secretary of State Antony Blinken meets with Israeli leaders, as Israel's military says it is surrounding Gaza City amid an intensifying bombardment of the strip.edition.cnn.com
Yani watu wanakimbia Israel Irone dome iko wapi, hivi hawa wafuasi wa taifa teule bado wapo mpagala na kigamboni lini watatua Tela Aviv
View: https://youtu.be/vZ-URo0QspY?si=eZyG2dkRVplA3r-K
Wambie majumba ya Israel mengi yapo tupu waende wakaishi kule ni taifa teule huyu aliye tunga bibilia angekuwa hai angejitia kitanzi kwa hi aibu ya kusema Israel ni taifa teule, angesema taifa la kishetani labda tungekubaliana naye sababu action za Israel ni za kishetani kabisa We unapigwa na Hamasi afu unaenda piga hospital, watoto na wanawake hawana hata risasi wacha bunduki
View: https://youtu.be/T_fC5J-qvqU?si=MxBZnU5Wy8LIVnOB
Yule wazir wa mambo ya nje wa Iran wiki 2 zilizopita alitweet kwenye account yake " The TIME IS OVER" nikajua mtifuano unaanza kumbe mkwara tu wanajidhalilisha kwakweli Bora wangekaa kimya tu huku wakifanya harakati zao chini kwa chini.Wameufyata pamoja na bwana wao irani alitishia kwamba israel wakiingia gaza wataingilia lakini mpaka sasa hakuna dalili,hii ni fefhea bora wangekaa kimya kuliko kutoa vitisho wasivyoweza kutmiza
Siyo hiyo tu wayahudi wamekuja na mpya yaueni hata kama yamejificha nyuma ya mitoto na miwanawake msiysonee huruma yaueni yote tu.Katika maisha yangu nilijua uislamu na unafiki ni adui, lakini kwa sasa naona tofauti sana.
Huyo muezbulah nimemsikia akisifu Hamas kwa kuishambulia Israel,kuua na kuteka watu, lakini akailaumu Israel kwa kuwapiga Hamas hata wakiwa ndani ya mashimo! Huu ndiyo uislamu? Au ni ulebanon.
" Imeandikwa waueni hata kama wakiwa wamejificha chini ya mawe"
Sasa wayahudi wao wamekuja na hili" waueni hata kama watakuwa wamejificha chini ya ardhi"
ISRAEL HAS PASSED THE RED LINE. Nikikumbuka hule mkwara.Yule wazir wa mambo ya nje wa Iran wiki 2 zilizopita alitweet kwenye account yake " The TIME IS OVER" nikajua mtifuano unaanza kumbe mkwara tu wanajidhalilisha kwakweli Bora wangekaa kimya tu huku wakifanya harakati zao chini kwa chini.
Ila wewe jamaa una vituko sana.Wwpo wengi Waisrael weusi wanakesha JF wengi wanaishi Kimara Temboni wengi Kibosho wengine Makete na Kashai Bukoba..