Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Inasikitisha kwakweli.Wakati wanawake na watoto wanauwawa kwenye majumba yao wanaume wanakuwa wapi, yaani wanaume wanajificha chini ya mahandaki Kama panya buku mnawaacha mama na binti zenu majumbani ili wauwawe, halafu asubuhi mnatoka mashimoni, mnabeba maiti kuonyesha waandishi wa habari
Kwa nini msiwafiche mama zetu kwenye hayo mahandaki? Nyie ndio mbaki majumbani kupambana na wanaume wenzenu
Bora hata Hamasi ni pitbull aking'ata haachii lakini Hizboollah ni mbwaa Koko kabisaaaa linabwekea ndani ya geti, nyambaf sana....Itakua kuna mtu kamtonya kiongozi wa Hezbollah kwamba kwa sasa Israel wana hasira isiyo na kifani na kujaribu ugomvi nao ni kujitakia kipigo cha mbwa, walisubiriwa watangaze vita, nyuzi zikaanzishwa humu, mzee wa watu alipopewa mic atangaze vita, akabwatuka mikwara kisha muda wa kulala ulipofika akaenda zake.
Ifahamike kwa sasa hakuna taifa au kundi lolote linalotaka kujiingiza kwenye huu ugomvi, hata kubwa la magaidi ya dini, Iran, limeogopa na kukaa pembeni, kwa sasa HAMAS wako wenyewe na picha za satellite zinaonyeshwa Gaza imezingirwa kote.....
Hivi waarabu wa Bongo waliandamana jana?
For weeks, Lebanon was preparing for war. People spoke about their backup plans in hushed tones. The government said it was putting together contingency supplies for the publicβs basic necessities.
It all hinged on Hezbollah Secretary General Hassan Nasrallahβs thinking about the Hamas-Israel war, which he kept close to his chest before breaking his nearly month-long silence about October 7 on Friday.
In a fiery speech from an undisclosed location, the reclusive head of the Iran-backed Lebanese militant group heaped praise on Hamas and hailed the war as a βturning pointβ in the Arab-Israeli conflict. He extolled the virtues of the weekslong cross-fire with Israel on Lebanonβs southern border, which he described as an βunprecedented battle.β
He also said Hezbollah would be "prepared for all scenarios,β and that any escalation by the Israeli army at the border would be a "historic folly" that would prompt a major response.
Yet for all the tough talk, Nasrallah was not banging war drums. He said Hezbollahβs βprimary goalβ was to achieve a ceasefire in Gaza, and said it was incumbent on the US β which he held directly responsible for the bloodshed in the Palestinian enclave β to implement the cessation of hostilities.
What this tells us is that Nasrallahβs immediate plans do not include a broader conflict.
This may come as a disappointment to many in the Arab street. When the pro-Palestinian demonstrations washed over much of the region in recent weeks, many of the chants called on Nasrallah to go to war.
But it will be a relief to Israelβs Western allies, who fear a wider regional conflict and have repeatedly warned Nasrallah not to enter the fray. Two US aircraft carriers β including the nuclear-power USS Gerald Ford β were dispatched to the Mediterranean in an apparent bid to deter Hezbollah.
That relief will be shared by many in Lebanon. The tiny eastern Mediterranean country has barely recovered from the devastating economic crisis of 2019, and much of the population β while horrified by the soaring death toll and widespread destruction wrought by Israelβs offensive in Gaza β has been worn down by decades of war and crises.
Nasrallah may have been restrained by that popular sentiment, or he may have concluded, after weeks of deliberation, that his powerful paramilitary has too much to lose in a war with Israel.
Israeli forces closing in on Gaza City, satellite imagery shows
US Secretary of State Antony Blinken meets with Israeli leaders, as Israel's military says it is surrounding Gaza City amid an intensifying bombardment of the strip.edition.cnn.com
Hujui kwamba netanyahu kahama nyumba ?nyumba yako mwenyewe unaikimbiaKwani watu hapa wanaongelea dini na idadi ya waumini shekhe?π€£π€£π€£π€£π€£
Nasrallah katoa hotuba akiwa shimoni kama nguchiroπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ kimsboy ndio yuko nje kwasababu alikimbilia Tanzania, naye sahivi angekuwa shimoniπ€£π€£π€£π€£
ELimu ndio tatizo lako hata hujui kama mayahudi hawautaki ukristo na israel siyo nchi ya kikristo mmeshadanganywa na maaskofu wenu mnaenda tu kama vipofu , kumbe kitu kidogo kama hiki hujuiMagaidi huwa mnadanganyana sana.
Toa data acha porojo acheni kujidanganya israel haijawahi kuwa nchi ya kikristo na haina wakristo ila kuna waislamu wengi full stop,Tunajua yote na tunajua ni kwanini Iko hivyo, usitufundishe labda kama unahitaji kufahamishwa useme...
Unayajua makabila 12 ya Israel na unajua kitabu Cha Ufunuo wa Yohana kinasemaje kuwahusu?
Nimekwambia hivi, tunajua Ina waislamu wengi kuliko wakristo na tunajua kwanini waIsrael sio wakristo, na nikarejea BIBLIA TAKATIFU....Toa data acha porojo acheni kujidanganya israel haijawahi kuwa nchi ya kikristo na haina wakristo ila kuna waislamu wengi full stop,
Niliwauliza swali hawakunijibu mtume wao Paulo alipo andika hi bibilia Israel ilikuwa wapi? HawakunijibuWapo wengi Waisrael weusi wanakesha JF wengi wanaishi Kimara Temboni wengine Kibosho wengine Makete na Kashai Bukoba.. hawa jamaa wapo radhi hata akija Musrael makwao wawape wake zaoπ.
Ujinga ni mzigo pole sanaMagaidi huwa mnadanganyana sana.
Israel kupigana na hamas ni zuga tu malengo ni marekani kutengeneza taifa la wazungu middle east kwa sababu za kiuchumi hakuna chochote kipya its a long term plan hata yzark rabin alipotaka kuwe na amani walimuua right away, kukiwa na amani lengo la kujipanua na kucontrol middle east halitawezekana , angalia speech ya biden 1986 akiliambia bunge la marekani ,"we have to create a nation in middle east whether israel or artificial israel "Nimekwambia hivi, tunajua Ina waislamu wengi kuliko wakristo na tunajua kwanini waIsrael sio wakristo, na nikarejea BIBLIA TAKATIFU....
Sasa unataka data Gani???
Kama ni kuhusu wingi wa Uislamu kuwazidi waKristo, nchini Israel, ingetosha kuwa kigezo Cha kuacha kuwapiga Hamas Kwa maana Hamas ni Waislamu...
Sasa hata huelewi ni kwanini Israel inapigana na Hamas...!!!
Hili ndio lengo mkuu achan kudanganywa kuhusu taifa teule na upuuzi kama huo lengo ni kutengeneza taifa la wazungu kulinda maslahi ya marekani na westerners, ndio maana wazungu watatumia gharama yoyote kulitengeneza na ni jukumu lao wote kulilinda maana linalinda maslahi yao middle east, kama walivyoibomoa libya kwa pamoja na iraq, wazungu wanalinda maslahi yao ya kiuchumi kwa gharama yoyoteNimekwambia hivi, tunajua Ina waislamu wengi kuliko wakristo na tunajua kwanini waIsrael sio wakristo, na nikarejea BIBLIA TAKATIFU....
Sasa unataka data Gani???
Kama ni kuhusu wingi wa Uislamu kuwazidi waKristo, nchini Israel, ingetosha kuwa kigezo Cha kuacha kuwapiga Hamas Kwa maana Hamas ni Waislamu...
Sasa hata huelewi ni kwanini Israel inapigana na Hamas...!!!
π we jifurahishe tu lazima ufahamu Hezbullah hamuogopi Israel na America, pili Hezbullah jana kampa warning Us na Israel kuwa hawapi guarantee π― hata ingia total war.
Unafahamu sababu gani? Kwanza America kawapa guarantee kuwa atawakataza Israel wasiuwe civilian, pili hataki vita kwakuwambia serekali ya Lebanon wamtie pressure Hezbullah asingie hi total war.
Kitu kingine Hezbullah wamesema hawataki kwa sasa kuingia total war na Israel sababu wanamini Israel hawezi kumshinda vita Hamasi na hawezi kurudisha hao matekwa hata afanye vipi.
Wataingia total war kama Israel ataendelea kuwapiga civilian wasio na hatia.
Hezbullah leader kauliza maswali mawili muhimu sana Je Israel kapata kitu gani katika hi vita.
Cha kwanza Hamasi bado wanamrushia missiles kama kawaida kwa hio kwenye mambo ya askari hakuna alichofanya.
PILI hao matekwa karudisha hata mmoja? Hakuna.
Gaza kaingia hajaingia sasa hi vita kapata nini zaidi ya kuwapiga watoto, wanawake na kuvunja majumba na magari hata ambulance huyu ndio super power π
Israel kupigana na hamas ni zuga tu malengo ni marekani kutengeneza taifa la wazungu middle east kwa sababu za kiuchumi hakuna chochote kipya its a long term plan hata yzark rabin alipotaka kuwe na amani walimuua right away, kukiwa na amani lengo la kujipanua na kucontrol middle east halitawezekana , angalia speech ya biden 1986 akiliambia bunge la marekani ,"we have to create a nation in middle east whether israel or artificial israel "
SIsi tunafurahia waislam hamas wanavyopigika.. issues ya kuwepo wakristo hatujali.....Usichokijua israel hakuna wakristo na waislamu wapo 20% huku wakristo hata 2% hawafiki
Walishaungana mara kibao wakachukua kipigo cha mbwa mwizi. Hawana hamu tena. We unadhani kuanzisha vita ni kiti rahisi?!Tatizo la waarabu ni waoga. Matamko mengi kujificha kwingi. Matendo sifuri.
Tunasubiri Hao Hezibola waingie naamini nao watafurahishwa tena ndani ya nchi ya Lebanon. Hesabu za Wayahudi zinajulikana.
Kisasi chao kinafahamika.
Kwa hiyo wanakaribishwa kuonja Sumu.
Badala Waarabu waungane kupambana na dhalimu Israel yao yenyewe yanakalia kubweka kama mbwa Koko. Upuuzi tuu