Hezbollah wanapigana kwa maslahi ya Nani? Mbona wanawaumiza raia wa Lebanon

Msikitini wamemwambia kuwa Hezbullah atamdunda myahudi
 
Usizunguke zunguke mgogoro wa sasa unasababishwa na kile Hezbollah anachosema anawapigania Hamas. Kwani gaza ikichukuliwa na Israel Misri atakuwa salama? Mbona Misri hahangaiki mnahangaika nyingi na baba yenu Iran? Mbona jordan,Syria,Iraq, Saudia hawahangaiki maisha yanaendelea? Iran anatumia hivi vikundi ili kupigana na Israel indirect kwa kile kilichoandikwa kwenye kitabu(Quran) kuifuta Israel
 
Kwa nini Hamas hawakai kambini wanakaa uraiani?
 
Mkuu bana unakua kama huwajui Israel!!?
Hizo ni justifications tu kutafuta uhalali wa kuua.
Ila Hizbollah haihifadhi silaha uraiani kaka bali ina kambi yake katika miinuko ya mpakani.
Embu nikutolee mfano.

Nakuomba soma hiyo habari hapo chini.
 
Waislam wameiharibu Lebanon na kuisababishia vita
Hujui lolote na hujui historia ya mashariki ya kati.
Kama hujui kaa kimya.
Crisis zote hizo ni Israel na washirika wake ndio chanzo.
Na hapo hadi wakristo wenzako wanakufa wewe unashadadia waislam waislam.
We nani kakwambia hii vita ya kidini!??
Mbona mnakua kama walevi na WAPUMBAVU msiotumia akili kutafakari!??
 
Mbona kama unataka kutulazimisha tufikiri kama wewe mzee?
Kwamba wewe peke yako ndiye unayejua?Kwa nini tunyamaze?
Hao ni BBC.
Huna ushahidi usiongee.
It is TRUE YOU KNOW NOTHING hivyo kama hujui kitu usiongee unajiaibisha.
 
Ona sasa ulivyo unaropoka!
Mkiambiwa kama hamjui kitu kaeni kimya mnaendelea kuropoka.
Nani kakwambia Syria,Iraq na Saudi Arabia hawahangaiki!?
*Command centre ya axis of resistance ni Syria,silaha hadi wanamgambo wanatunzwa na kuwa trained pale.
*Iraq inahifadhi wapiganaji wa Alquds na tukio la jumapili Iraq ilihusika.
*Hamas wanapokea fedha na silaha kutoka Qatar na Saudi Arabia.
*Unakijua kitu kinaitwa Damascus crisis cha 1958!??

Israel ilhusika.
*Egypt ndio inahusika kidiplomasia kuiandama Israel.Unadhani dunia ilijuaje uovu wa Israel hadi ikaamua kupiga kura kwa kuisapoti Palestina kama sio vikao vya Elsisi vya Cairo summit!??

Unadhani waarabu hawajui kama nguvu za Israel na ushawishi wa USA mashariki ya kati unawanyima nguvu na uhuru!??
Bro hujui kitu wewe kaa tu kimya ujifunze.
 
Wew hayumo middle East hayo ya waarabu wa huko yanakuhusu nn? Jikite kuombea amani ya Sudan na Congo
 
KWa nini nchi ya lebanon isiwaamuru Hezbollar waondoke ?? Au jeshi la nchi liwape kichapo heavy
 
Ndio maana nilisema mabwana wakubwa wanam favor sana huyu jamaa.
Ndio maana nikasema kama ingetokea wameachwa mtu bee aisee nyani angetema bungo muda sana.
It's true Israel ime advance tena sana tuu.
Ila Hizbollah ya 2006 si sawa na ya sasa.
Wataisha, safy ya uongozi wao wamebaki watatu
 
Bila hiyo hizbollah sasa hivi Lebanon ingekua imemegwa kama ilivyomegwa Syria.
People are fleeing Southern Lebanon in large numbers.

Meanwhile, Christians in Beirut say, "Displaced muslims from southern Lebanon are not welcome here!"

Clashes occured in the Ain al-Ramanah area, a Christian suburb of Beirut.

The reason: the residents of the Christian suburb refuse to accept in their territory, Nasrallah's Shia Muslims who fled from southern Lebanon.

The Lebanese army was called in to restore order.

No hospitality!
 
Divide and rule.
Israel ana akili sana.
Israel expected all these to happen.
Hizbollah achague kurudisha utulivu eidha kwa gharama kubwa ya vita ama kwa gharama ya kawaida ya kusarenda.
 
Ila Hizbollah haihifadhi silaha uraiani kaka bali ina kambi yake katika miinuko ya mpakani.
Hezbollah is deliberately placing its military infrastructure within civilian areas.

A Photos of a missile being held in the attic of a home in Houmine El Tahta, Lebanon 🇱🇧 where a Lebanese civilian family was also living, serving as real life Human Shields. This is part of Hezbollah's policy of "renting" a room in homes to hide weapons.

This Zelzal style of long range rocket 🚀 is mounted on a hydraulic system for launch. This is one reason why IDF Spokesman Daniel Hagari emphasized the threat that this poses to Israeli civilians and Israel’s obligation to neutralize them.
 
Bro you have seen a picture just inside a building.
How are you sure that picture is not a tunnel but is a civilian building!??
Sasa nani atathibitisha wakati kika mtu anatafuta cha kumpondea mwenzake.
Hezbollah na Israel wote hatuna ushahidi wa madai yao kama ni kweli au wanatudanganya. Ndio maana unaona sources nyingi humu ni za kiarabu.
 
Sasa nani atathibitisha wakati kika mtu anatafuta cha kumpondea mwenzake.
Hezbollah na Israel wote hatuna ushahidi wa madai yao kama ni kweli au wanatudanganya. Ndio maana unaona sources nyingi humu ni za kiarabu.
Israel aliwahi kukamatwa uongo ndio maana yule jamaa kuaminika ngumu.
Kwasababu hapo ni kombora tu linaonekana kwa ndani.
Je kama hilo ni handaki!?
Maana hata ukitizama inaonekana ni eneo la maficho kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…