Hezbollah yajeruhi zaidi ya wanajeshi 40 kwenye mesi nchini Israel wakati wanakula

Hezbollah yajeruhi zaidi ya wanajeshi 40 kwenye mesi nchini Israel wakati wanakula

Unaposema israel inches kuuwa wakina mama na watoto inabidi kuwasema hamas na hezbolahh watches kuwatumia wakina mama na watoto kama ngao na kutumia miundo mbinu ya kiraia kama shule na hospital kwa ajili ya kutekeleza majukumu yao.
Unajus kwamba jana israel alipelekewa moto hadi wakaenda kujificha kwenye kambi za united nations lebanon? Na vita ya hezbollah kama hujui ipo milimani wsla sio maeneo ya raia ila bado israel anashindwa kupigana
 
Wanajeshi wa Israel hawajifichi kwa akina mama na watoto kama wafanyavyo magaidi.

Hilo shambulizi ni kwamba hao magaidi wamekojolea upele na kinachofuata ni safari kwenda akhera kwa mabikra 72 wenye macho kama mayai. Wasubiri mziki.
Hujui kwamba israel walipigwa jana hadi wakakimbillia kambi za united nations lebanon ndio ikawa pona yao waliobakia wengi jana waliwahishwa kuzimu, idf wenye akili tunajua hawana ubavu wa kupigana na hezbollah wanaibika tu huko kila siku
 
Vyombq vya habari vikubwa ulimwenguni vinamilikiwa moja kwa moja au kinyumenyume na Israel au wat wenye uhusiano wa karibu n maslahi ya israel.

Wanaweza kutangqza wao kafa alafu haohao wakakqnusha kama picha zinazosambaa akikqgua sehemu palipolipuliwa na drone hiyo

Kwani neno la Mungu linasema je kuhusu kusema uongo?
 
Ikiwa Kwelii Hasan nasrrala na ismile haniye watakuwa wamepumzika Kwa Raha zote,inawezekanaje iron dome moja ya mfumo WA ulinzi unaosifiwa duniani ushindwe ku detect drone za Hezbollah? Au wayahudi wame be wamezidiwa?
 
Ingawaje siungi mkono vita hii ila umeandika kishabiki unadhani watu wote humu ni wajinga au hawafuatilii hii vita. Myahudi wala haui rai kwa makusudi na ndio maana kabla ya uvamizi waziri mkuu hua anatoa tangazo raia wahame waachane na hao wanamgambo sababu wamejenga kabi zao kwenye makazi ya raia wakiwatumia kama human shield sasa raia atakayegoma kujitenga na hao watu wewe unategemea asikumbwe na dhahama? Unaposema hawashambulii raia hao waliouwawa October 7 wakiwemo watanzania hawakuwa raia? Wao ikiwa wanawatumia raia kama ngao zao hili waendelee kuexist unategemea Israel watafanyaje ili kuwamaliza? Na Netanyahu kesha apa kuwa vita haitaisha hadi ahakikishe kawatokomeza au kawapunguza nguvu. Ukae ukijua vita haina dini ila kuna watu wanatumia dini kama ngao.
-Vipi Israel Kuna waislam wengi kuliko wakristo na huu ni ushabiki?😀😃
-Vipi kuhusu Iran,kuwasaidia Urusssi,ambapo Kuna wakristo wengi,Orthodox Christian?
Israel anaua raia ili kupunguza population,morale na numbers of palestians,.........kitu wasichokijua viet Cong laki 4 kule vietnmam,waliweza shinda vita juu ya U.S soldiers milioni 2
Hakuna vita ya dini ni U.S propaganda against kupigania ardhi/rasilimali
Sasa unakuta lipumbavu limoja kutoka Africa linatoa sadaka kwa nabii wake ili amuombee kwa mungu wa Israel,wanaopokea Trilloni 15 Tsh kama msaada kutoka U.S,😃😃😃,huu ni UFALA kiongozi
 
Hezbollah wamefanya shambulio la drone kutokea Lebanon na kupiga kambi ya jeshi ya Golan Brigade Base katika Jiji la Haifa ambapo wanajeshi zaidi ya 40 wamejeruhiwa na wengi wakiwa kwenye hali mbaya huku kukiripotiwa vifaa kadhaa pia.

Tofauti ya Israel na Hezbollah na HAMAS ni kua wao wanashambulia kambi za jeshi,miundo mbinu ya kijeshi na wanajeshi wenyewe wa Israel ilihali Israel yenyewe inafanya mauaji kwa kulenga wanawake na watoto, Hospital,kambi za wakimbizi na makazi ya watu ili kuwashinikiza HAMAS na Hezbollah wasitishe vita na kukubali matakwa ya Israel.

Soma Pia: Wanajeshi zaidi 300 wa Israel wamengamizwa na Hezbollah wiki hii pekee


Shirika la ujasusi la Israel nalo limethibitisha pigo hili
View attachment 3124145View attachment 3124147View attachment 3124148
Kama ni Hezbollah wamefanikiwa kujeruhi wanajeshi wa Israel wamejitahidi Sana

Hata Kama hawajafanikiwa death hata moja
Hapo wamebaalance ili kwamba Kibao kitapowageukiia Basi itakuwa stahiki yao kabisa
 
⚡️⚡️🇱🇧🇵🇸 Israeli media: The number of injuries due to the explosion of a drone in a military base south of Haifa has risen to 67



Tuseme hezbollah wangeamua kupiga makazi ya watu eangeua watu wangapi
dunia itawaelewa tu hawa hezbollah
 
kwa mujibu wa huyu jamaa pale insta

yerickonyerere


Taarifa za awali (hazijathibitishwa), ni kuwa, Mkuu wa Majeshi ya Israel Jenerali Herzi Halevi ameuawa na Hezbolah katika shambulizi la Droni leo mchana katika kambi ya jeshi ya Golani Brigade katika mji wa Binyamina, kusini mwa mkoa wa Haifa.

Ijapokuwa Mamlaka za Israel hazijathibitisha kifo cha mkuu huyo, lakini Habari za kijasusi zimethibitisha kwamba shambulizi hilo limeua wanajeshi wa Israel karibu 67 na majeruhi 118 hadi sasa!

WANAKIPATAPATA ILA WASIRI TU SASA WATUTANGAZIE KIFO CHA HUYO MKUU KAMA NI KWELI NAYE KALIWA KICHWA
 
Unaposema israel inches kuuwa wakina mama na watoto inabidi kuwasema hamas na hezbolahh watches kuwatumia wakina mama na watoto kama ngao na kutumia miundo mbinu ya kiraia kama shule na hospital kwa ajili ya kutekeleza majukumu yao.
Madai yako ni MFU.
Israel aliambiwa athibitishe ameshindwa.
Alimlipua hadi French Embassy Official,je naye huyo anaficha magaidi wa Hamas!??
Bro huna unalolijua.
 
Mbona na wewe umeandika kidini sana?

Sikia ewe kobaz, ile vita pale ni ya kidini full stop

Kama unasema hao Hezbolla wanaopigana hapo wana ndugu kule kwanini huwa wanaongea lugha ya kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia?

Hivi unajua kama Hezbollah, hamas, Iran na vikundi vingine vikipata nafasi vinaua raia wote wa israel? Unajua hilo?

Kwa taarifa yako tu kwamba hayo magaidi ikiwemo Iran wana chuki sana na wayahudi haijalishi kwamba ni muislamu au la, maadamu ni Myahudi anachukiwa tu.
Mhhhh naona wewe ndo mdini zadi, Ile sio vita ya kidini ni vita ya kisiasa Ni kazi ya marekani muisrael anatumika tu kama picha
 
Nasikia tayari yule Herzi Halevi chief of Staff kiuno hakifanyi kazi pia amejeruhiwa vibaya sana shingoni na usoni yupo ICU.
 
Hawa zionist walivyo washenzi watakwenda kupiga hospital na shule kama kisasi...
 
Back
Top Bottom