Hezbollah yajeruhi zaidi ya wanajeshi 40 kwenye mesi nchini Israel wakati wanakula

Hezbollah yajeruhi zaidi ya wanajeshi 40 kwenye mesi nchini Israel wakati wanakula

Jana Hezbollah walifanya shambulio la ndege isiyotumia rubani (drone) huko kwenye kambi ya jeshi la Israel (IDF) na kufanikiwa kuuwa askari kadhaa!

Tetesi zinasema walikuwemo watu wazito humo wakipanga mikakati! Jeshi la Israel limekiri askari wake kuuwa kwenye shambulio hilo! Swali: Hii drone ni ya aina gani mpaka imeweza kupenye mitambo yote ya kutungulia??

Drone attack kills four Israeli soldiers and injures 58​

Israel says 4 soldiers killed in Hezbollah drone attack​

1 hour ago1 hour ago

Four soldiers killed in Hezbollah drone attack on Israeli military site​

Israeli soldiers killed in drone strike on army base – IDF​

Majibu yameanza kupatikana!

Hezbollah was either lucky or knew how to inflict maximum damage - either way it's deeply worrying for Israel​

The drone strike deep into Israel marks a major security failure for Prime Minister Benjamin Netanyahu - and a sign of the enemy raising its game.

Somehow Hezbollah's drone penetrated Israel's defences without warning and hit the building when it would have been at its busiest. That will be deeply worrying for Israelis.

Monday 14 October 2024 07:08, UK

Nb: Muda utaamua!
Israel hawafanyi kitu ikiwa hawana sababu ya hilo, amini nakuambia inawezekana kuna sababu ya hilo kutokea ili kuidhinisha mashambulizi ya kule ambako hizo UAV zinatokea kwenda kwa Hezobollah ambako ni Iran, kumbe j1 nuclear zilishambuliwa.kule Iran kupitia cyber attack.
 
Air defence system ya Israel ina uwezo mdogo sana, wao Israel hawakulifahamu hilo hadi waliposhambuliwa na Iran mara mbili na juzi hapa Airbase yao ya Nevatim iliposhambuliwa na kuharibiwa vibaya kwa zile ndege vita zao zote za F-35 FJ ndo wamethibitishiwa kuwa hawana ulinzi wa anga imara kama wanavyodhani.
Hiki kitendo cha Hezbollah kupitisha drone na kushambulia ni surprise nyingine kwao.

Netanyahu ule ujeuri wake wa kuongea ongea hovyo umepungua baada ya kutumiwa hizo message
😁😁😁😆
 
Hii vita, israel hapigani tu na Kamas na Hezbu Allah bali pia anapigana na Iran na Askari Mchongo wa UN pia. Ona hapa chini mahandaki ya Hezbu Allah yakiwa karibu sana na Kambi ya Askari wa UN huko Lebanon
 
Wanajeshi wa Israel hawajifichi kwa akina mama na watoto kama wafanyavyo magaidi.

Hilo shambulizi ni kwamba hao magaidi wamekojolea upele na kinachofuata ni safari kwenda akhera kwa mabikra 72 wenye macho kama mayai. Wasubiri mziki.

Uongo mbaya, umeloa na umeumia kuliko huko Israel kwenyewe.
 
Endelea kuimba taarab
Israel hawafanyi kitu ikiwa hawana sababu ya hilo, amini nakuambia inawezekana kuna sababu ya hilo kutokea ili kuidhinisha mashambulizi ya kule ambako hizo UAV zinatokea kwenda kwa Hezobollah ambako ni Iran, kumbe j1 nuclear zilishambuliwa.kule Iran kupitia cyber attack.
Naona mmeamua kujifariji achana na zilipotokea drone Iran si ili rusha makombora kabisa kutokea Iran kwenda kwa hao wazayuni au Ile haikua sababu israhell itachakazwa na Iran na hivyo ilivyo jaza machoko jeshini
 
Yaani waruhu kambi ya jeshi kushambuliwa, maafisa wafe na wengine wajeruhiwe Ili ku-justify kuishambulia Iran?

We mjinga sana, unadhani hao wayahudi siyo binadamu.

Acheni kulishana ujinga usio na logic. Iran ni technological powerhouse ya middle East.
 
Endelea kuimba taarab

Naona mmeamua kujifariji achana na zilipotokea drone Iran si ili rusha makombora kabisa kutokea Iran kwenda kwa hao wazayuni au Ile haikua sababu israhell itachakazwa na Iran na hivyo ilivyo jaza machoko jeshini
Mjinga sana huyu jamaa, wayahudi hofu imetanda na wanakimbizana hospitalini yeye anaamini wameruhusu makusudi. Jinga sana hili jamaa
 
Usiseme uongo ni amri ya Mungu.

Namna gani basi taifa teule hapo?

Mbona Hezbollah na wenzake huthibitisha bila kuchelewa yakiwakuta?
Vyombq vya habari vikubwa ulimwenguni vinamilikiwa moja kwa moja au kinyumenyume na Israel au wat wenye uhusiano wa karibu n maslahi ya israel.

Wanaweza kutangqza wao kafa alafu haohao wakakqnusha kama picha zinazosambaa akikqgua sehemu palipolipuliwa na drone hiyo
 
Back
Top Bottom