LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Ulianza vizuri
Ingawaje siungi mkono vita hii ila umeandika kishabiki unadhani watu wote humu ni wajinga au hawafuatilii hii vita. Myahudi wala haui rai kwa makusudi na ndio maana kabla ya uvamizi waziri mkuu hua anatoa tangazo raia wahame waachane na hao wanamgambo sababu wamejenga kabi zao kwenye makazi ya raia wakiwatumia kama human shield sasa raia atakayegoma kujitenga na hao watu wewe unategemea asikumbwe na dhahama? Unaposema hawashambulii raia hao waliouwawa October 7 wakiwemo watanzania hawakuwa raia? Wao ikiwa wanawatumia raia kama ngao zao hili waendelee kuexist unategemea Israel watafanyaje ili kuwamaliza? Na Netanyahu kesha apa kuwa vita haitaisha hadi ahakikishe kawatokomeza au kawapunguza nguvu. Ukae ukijua vita haina dini ila kuna watu wanatumia dini kama ngao.