Kitu kimoja ambacho hawakijui pro-Israel wa kiafrica,wanadhani hii vita inapigwana kati ya ukristo na uislam😀😃😄😆😅😅,MAJINGA NA MAPUMBAVU
Hii vita inapigwana kati ya east and west--------thus why Lebanon hawawezi shambulia raia hata iweje,why?,ingawa Wana huo uwezo------sababu kuna ndugu zao kule,Israel ina waislamu wengi mara 9 ya wakristo,............kwa nini Russia hawezi shambulia raia hata iweje,pale Ukraine,sababu Ukraine ni nchi imejitenga from Russia,Wana ndugu zao kule?
Ilichukua miaka 20,average kila mwezi Taliban waliua wanajeshi 10 wa U.S,.........iliwafanya vilema wanajeshi takriban 100 kila mwezi kwa miaka 20......gharama za vita sio mchezo,2010 Taliban iliua 14 SEAL TEAM at once,katika shambulio moja,inachukua $2 kutrain one SEAL SOLDIER,hapo unazungumzia Billion dollars of American Tax payerszinatembea fro no reasons,baada ya vita kuisha umeona Taliban imeenda shambulia nje ya Afghanistan?,kusambaza hio dini?😄😁,hakuna vita ya dini,Kuna vita ya rasilimali/ardhi.....watu wameona KAMIKAZE drones zinavoharibu vifaru kule Ukraine?,
----si tunaaminishwa waislamu mambumbumbu hawasomi?---iweje Iran irushe missiles thousands kilometers zihit target ndani ya Israel?,iweje Iran iisaidie Russia na shahed drones, ambapo 60% ya population yake ni orthodox Christians?😀😃,
---------Iweje Jana Hezbollah irushe drones,200Km ndani ya Israel hakuna technology iliyodetect hadi kuua wanajeshi ndani ya Kambi Yao?
Hii ni vita between U.S influences against non-U.S/non capitalists,ndio maana umeona U.S anaisaidia Israel the same as Ukraine,..kwa mwaka U.S anatoa $6 Billion kuiadia Israel kwenye military pekee,hapo unazungumzia trillion 15 Tsh,hio hela hasta wangepewa JWT,wangeacha kuvunjua matofali😀😁....,sasa lipambavu Limoja limetoka kuliwa sadaka na Nabii wake feki ,linakuja kusema mungu wa Israel ndio anafanya watu washinde vita😃