Hezbollah yajeruhi zaidi ya wanajeshi 40 kwenye mesi nchini Israel wakati wanakula

Hezbollah yajeruhi zaidi ya wanajeshi 40 kwenye mesi nchini Israel wakati wanakula

Unaposema israel inches kuuwa wakina mama na watoto inabidi kuwasema hamas na hezbolahh watches kuwatumia wakina mama na watoto kama ngao na kutumia miundo mbinu ya kiraia kama shule na hospital kwa ajili ya kutekeleza majukumu yao.
Tumia akili urusi anapigana na ukraine vita lakini hatujawahi sikia mauaji ya halaiki kama yanayotokea ghaza ilhal jamaa hawana vifaru wala air defence
 
Wanajeshi wa Israel hawajifichi kwa akina mama na watoto kama wafanyavyo magaidi.

Hilo shambulizi ni kwamba hao magaidi wamekojolea upele na kinachofuata ni safari kwenda akhera kwa mabikra 72 wenye macho kama mayai. Wasubiri mziki.
 
Hezbollah wamefanya shambulio la drone kutokea Lebanon na kupiga kambi ya jeshi ambapo wanajeshi zaidi ya 40 wamejeruhiwa na wengi wakiwa kwenye hali mbaya!!

Tofauti ya Israel na Hezbollah na HAMAS ni kua wao wanashambulia kambi za jeshi,miundo mbinu ya kijeshi na wanajeshi wenyewe wa Israel ilihali Israel yenyewe inafanya mauaji kwa kulenga wanawake na watoto, Hospital,kambi za wakimbizi na makazi ya watu ili kuwashinikiza HAMAS na Hezbollah wasitishe vita na kukubali matakwa ya Israel.

Soma Pia: Wanajeshi zaidi 300 wa Israel wamengamizwa na Hezbollah wiki hii pekee

View attachment 3124145View attachment 3124147View attachment 3124148

IMG_20241013_213305.jpg

Mtu anaweza cheka kama mazuri lakini Duuuh!
 
Hatari sana hii drone walizotumia ni kiboko, ADs za Israel zimeshindwa ku- detect.

Israel italipiza ila raia wa Lebanon ndio waathirika wakubwa wa hii vita
Mimi ninachoamini ghaza hawana cha kupoteza kwa sababu wamekuwa wakiishi maisha ya kiutumwa for long time na lebanon kwa kuwa wameamua kuwasapot wenzao wameamua kuadopt lifestyle
 
Wanajeshi wa Israel hawajifichi kwa akina mama na watoto kama wafanyavyo magaidi.

Hilo shambulizi ni kwamba hao magaidi wamekojolea upele na kinachofuata ni safari kwenda akhera kwa mabikra 72 wenye macho kama mayai. Wasubiri mziki.
Acha vitisho wewe kwenye vita Kuna kupiga na kupigwa .
 
Hezbollah wamefanya shambulio la drone kutokea Lebanon na kupiga kambi ya jeshi ambapo wanajeshi zaidi ya 40 wamejeruhiwa na wengi wakiwa kwenye hali mbaya!!

Tofauti ya Israel na Hezbollah na HAMAS ni kua wao wanashambulia kambi za jeshi,miundo mbinu ya kijeshi na wanajeshi wenyewe wa Israel ilihali Israel yenyewe inafanya mauaji kwa kulenga wanawake na watoto, Hospital,kambi za wakimbizi na makazi ya watu ili kuwashinikiza HAMAS na Hezbollah wasitishe vita na kukubali matakwa ya Israel.

Soma Pia: Wanajeshi zaidi 300 wa Israel wamengamizwa na Hezbollah wiki hii pekee

View attachment 3124145View attachment 3124147View attachment 3124148

IMG_20241013_213305.jpg

Mtu anaweza cheka kama mazuri lakini Duuuh!
 
Nashangaa kwanini iron dome na defensive systems zimeshindwa ku detect.

Air defense sirens hazikufanya kazi na kwahiyo ilikuwa shambulizi la kushtukiza.
Hizi ADs bado haiwezi kuwa 'perfect' kwa asilimia 100, ila hii ni onyo kwa Netanyau kuwa akiingia kwenye mzozo mkubwa na Iran hali itakuwa zaidi ya hii.
 
BREAKING: A “DIFFICULT SECURITY INCIDENT”

At least 25 Israeli soldiers are dead and wounded, including 5 in critical condition, after a drone fired from Lebanon by Hezbollah struck the dining hall of the "Golani Brigade" base in "Binyamina," south of Haifa, without the activation of missile sirens. Rambam hospital declared a state of emergency.

My take:Kazi imeanza, wataangamizwa mpaka wajutie lebanon sio Gaza

View: https://x.com/ShaykhSulaiman/status/1845512756453347668?t=tzFHR4Fbsoje8mbsnTXmNg&s=19
 
BREAKING:

🇮🇱🇱🇧 A very bad day for israel

Hezbollah struck an IDF gathering point in Binyamnina, South of Haifa, with a drone, causing more than 25 casualties

Israeli describes it as a 'mass casualty event', and says helicopters have been dispatched, and that 50 ambulances arrived at the scene of the incident south of Haifa.
 
Israeli ingeachana na hao jamaa, ingemalizana na hamasi kwanza.
mshika mawili moja humponyoka...ndio kinacho tokea.
Wale watazichapa nao hata miaka 10....halafu wale na Hawa walebanon wameungana chini ya mwamvuli wa Iran....Netapaka akubali ceasefire Ili ajipange upya kwa mtifuano wa baadae....ila akiendelea hivi na Hawa askari wake warembo wa kike na ma brazameni....hakyanani watafukiwa wengi sana.....hakuna watu wabishi kama waarabu tena wanaopigana kwa sababu Fulani maalum....amuulize mzee wa maandishi matatu alivyotoka nduki kule kwa wa Taliban....waarabu ni manunda in nature
 
Nashangaa kwanini iron dome na defensive systems zimeshindwa ku detect.

Air defense sirens hazikufanya kazi na kwahiyo ilikuwa shambulizi la kushtukiza.
Taarifa zinasema Hezbollah wamerusha drone aina mpya kabisa ambayo haijawahi kutambuliwa,mifumo ya anga imehadaiwa na kujikuta tayari kambi imetwangwa na direct kboom kwenye mesi ya wanajeshi wakati wanakula na kukiwa na kiongozi mkubwa wa jeshi
 
Wanajeshi wa Israel hawajifichi kwa akina mama na watoto kama wafanyavyo magaidi.

Hilo shambulizi ni kwamba hao magaidi wamekojolea upele na kinachofuata ni safari kwenda akhera kwa mabikra 72 wenye macho kama mayai. Wasubiri mziki.
Tafuta vyanzo vya habari mkuu....kuna videos zina circulate kwny social medias IDF walikuwa wanatumia makazi ya watu kama post zao za kijeshi kule kwny mpaka wao na Lebanon....Hawa Hezbollah wakatoa tangazo kwa raia wa Yale makazi waondoke maana rasmi Yale makazi yatakuwa ni military targets kwa kuwa wanajeshi wanajificha mule.....
 
Wamekariri hao, Israel anaficha kambi zake nyingi sana kwenye makazi ya watu,mfano Makao Makuu ya Mossad yapo katikati ya makazi ya watu, Hezbollah wametoa kweli tangazo la kuwataka raia kwenye miji yote iliyokaliwa kimabavu na Israel waondoke kwenye maeneo ambayo jeshi limejichomeka kwa makambi na miundo mbinu kwani kuanzia Sasa ni target halali
 
⚡️⚡️🇱🇧🇵🇸 Israeli media: The number of injuries due to the explosion of a drone in a military base south of Haifa has risen to 67

Tuseme hezbollah wangeamua kupiga makazi ya watu eangeua watu wangapi
Kuna raia karibu 67000 wakubwa evacuated kutoka northern Israel kwa akili Yako ndogo unahisi kwann wameondoka huko?
 
Back
Top Bottom