😄Kwani kobazi huwa wana akili unadhani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄Kwani kobazi huwa wana akili unadhani?
Maana ya kudhoofisha kundi ni kitendo ambacho kundi haliwezi kufanya oparation zake kwa wakati na kuishiwa man power na weapons lakini mpaka siku ya mwisho nusu saa kabla ya sizi faya hizb kalipua Zaid ya rockets 200 kaktk nusu kabla ya sizi faya na kalipua wanamgambo wa Israel waliokua wana retreat kurudi nyuma na zisi faya isingekuwa serikali ya Lebanon msingefikia makubaliano nao never! Ipo siku hzb wataifurusha serikali ya Lebanon ndio inawaletea usikuMtu muoga na asiye na mbinu wala uwezo wa kivita, ndivyo alivyo
Huo ushindi Hizibolla anaousema hapa ni upi?
Maana tageti na lengo la Israel tayari limeshatimia
Kula vichwa vyote vya viongozi wa Hizibolla na kudhofisha kabisa uwezo wa kundi hilo, ndilo limefanikiwa sana kwa upande wa Israel
Kwani hao Israel hujui walichoahidi au unajitoa fahamu? mbona wameuchomoa underground iliishia wapi?Hezbolaha waongo,waliahidi kipigana mpaka Israeli iondoke Gaza,Israeli bado ipo Gaza na inaendeleza kipondo
Israeli ili waonya waache kuingilia ugomvi wake na Hamasi wakagoma Sasa Leo wapondwa na wamekubali hawataingilia Tena kuwasaidia Hamasi
Israeli pia opareshi yake ilikuwa kuwaondoa Hezbollah kwenye mpaka wake Ili raia warudi na Hilo lengo limetimia
Wenye akili hatudanganyiki na na uongo wa kitoto
Soma vizuri nimeandika hapo Malengo ya Israeli kwa HezbolahKwani hao Israel hujui walichoahidi au unajitoa fahamu? mbona wameuchomoa underground iliishia wapi?
Aaagh tusidanganyane mkuu HAKUNA PRESSURE YA NJE ILIYOTOKA JUU YA LEBANON.Inashangaza sana kusema israel wameshindwa, wakati we all know sababu ya kusitisha ni kutokana na pressure ya mataifa ya nje juu ya anachofanya.
So kama kusingekwua na malalamiko kutoka nje? Angesimamisha operation?
Muulize Israel imefanikiwa kurudisha raia wake Kaskazini?Kwani hao Israel hujui walichoahidi au unajitoa fahamu? mbona wameuchomoa underground iliishia wapi?
Uachage uongo na hangover zako.Yani waanzishe upumbavu/uchokozi wao wadundwe na kuomba cease-fire ambayo wamepewa masharti magumu na Israel ndiyo waseme wameshinda?Bloody fools!
Israel ilikua ikifanya airstrike maeneo ya raia.Un hawana nguvu kwa israel but US and the west, hao ndio walikuwa key players kwneye kusitisha haya else angeendelea na operation
So kusema hezbollah ameshinda , not even close, matter of fact walikuwa outgunned maeneo mengi
Wahuni tu bao Hezbulah...viongozi wao wengi wa juu wamelambishwa udongo huku miji yao hasa kusini ya Lebanon imeharibiwa vibaya majengo na miundombonu muhimu ya maji na umeme.Mbona taarifa ni ya upande mmoja?
Je, kwa upande wao Hezbollah wamepoteza nini?
Kwa kuanzia, inajulikana kiongozi wao aliliwa kichwa mapema tu
Israel kashindwa vita kwasababu netanyahu mwenyewe alishasema kusimamisha vita ni sawa na kukubali kusarenda kitu ambacho yeye haiwezi kufanya na Leo amefanya maana yake ni kakubali kusarendaInashangaza sana kusema israel wameshindwa, wakati we all know sababu ya kusitisha ni kutokana na pressure ya mataifa ya nje juu ya anachofanya.
So kama kusingekwua na malalamiko kutoka nje? Angesimamisha operation?
Wapi and when amesema?Israel kashindwa vita kwasababu netanyahu mwenyewe alishasema kusimamisha vita ni sawa na kukubali kusarenda kitu ambacho yeye haiwezi kufanya na Leo amefanya maana yake ni kakubali kusarenda
Haha based on what ? Hezbolla outsmart IDF kwenye ground battle? Zile site IDF alikuwa anazikuta ni za nani?Israel ilikua ikifanya airstrike maeneo ya raia.
Ila ukisema mipakani Israel Kwa ground battle walikua outsmarted na Hizbollah.
Walishindwa Israel Kila Kona,ikafika hatua hata baadhi ya wanajeshi wa akiba waliandika barua ya kugoma kwenda kupigana mpakani mwa Lebanon.
Na waliotaka ceasefire sio Hizbollah.
Pima uwezo wa kijeshi. Hezbollah wanarusha makombora toka mbali, Israel wameingiza jeshi mpaka Lebanon ndani. Askari wa Israel 130 wamekufa, raia 3800 na Viongozi wote wa Hezbollah wamekufa. Majengo yote ya jeshi la Hezbollah na majengo makubwa yamevunjwa. Tuambie tena nani mshindi nani ameshindwa.mbona mayahudi wamechomoa bas
Yameua wangapi?Kwa hiyo pressure ya mataifa ya nje kuhusu Gaza yenyewe haioni? ukweli ni kwamba makombora yaliyotua Tel Aviv yamemshtua sana
imekuwaje ICC wakatoa hati ya kukamatwa kwa waziri mkuu wa israel kama si kelele za nje?Aaagh tusidanganyane mkuu HAKUNA PRESSURE YA NJE ILIYOTOKA JUU YA LEBANON.
Dunia nzima ipo Gaza sio Lebanon.
Licha ya pressure za Gaza hiyo Israel imekataa kuheshimu ICJ na vyombo vingine vya kimataifa sembuse ije iheshimu msukumo juu ya Lebanon!?
Ukweli mchungu na uhalisia Israel imeshindwa vita Lebanon.
Maana baada ya kuanza kushambulia Lebanon Hizbollah waliongeza mashambulizi ndani ya Israel kiasi raia walikua wanahama kuelekea Kanda ya kati .
Hii ndio sababu kuu iliyomfanya akubali kusitisha mapigano.
Ingekua Israel inasikiliza kelele za nje basi leo hii Gaza isingekua inalipuliwa.
Gaza hadi kufikia wiki hii imelipuliwa ilhali dunia nzima inapiga kelele kuhusu Gaza.
Uzuri ni kwamba hizbullah watachokoza muda si mrefu na kipigo kitarudi palepale.Mark my words.Wapi and when amesema?
You do realize IDF ni full fledged army, sio kikundi?
Kwao kusimamisha ni tatizo sababu walisha gain momentum, walikwua wanakaribia kufikia malengo yao mapema sana, hivyo kusimamisha ni kama ku right off juhudi zote. Haimaanishi walikuwa wanapoteza
Wangekuwa wamepigwa na kurudishwa nyuma sawa, lakini walikuwa wakisonga mbele, huko si kupoteza vita. Shukuru international pressure
Kimeshaanza tena, halaf waanze kupiga kelele kwa international community kuwa wanaonewaUzuri ni kwamba hizbullah watachokoza muda si mrefu na kipigo kitarudi palepale.Mark my words.
Hahaaaa yaan watetez wa hao magaid sjui huwa wana uelewa gan kwakweliii !umemuliza swami gum hawez kukujibu hahaaSasa uanbisha Nini na unakataa Nini?