Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

Bwana mdogo naomba unifikishie ujumbe wangu kwa yule Mume wa Dada ako a.k.a Mzee Mgaya,

Naomba umtaarifu Mzee Mgaya kuwa lile ombi na ushauri wake wa kumuongeza Advocate Tundu Lissu kwenye jopo la mawakili wa Mbowe tumelifanyia kazi na hivi punde Lissu atakuwa mahakamani na kina Kibatala kwenye shauri la Mbowe.
Hahahaaaa........ukiona Lisu kaja mahakamani kumtetea Freeman ujue mwenyekiti atafungwa.
 
Ina maana rais hakuwa na idea ya foreign exchange reserve hadi aweze kusoma figure ambayo ni unrealistic?
 
Si kweli. Wamezoea kuongea uongo ndio maana tunapata shida kujua kama ni kuteleza au ni sehemu ya uongo ule ule.

inawezekana pia mnapenda kusikia uongo kuliko ukweli..
 
Umeshaambiwa tatizo ni ile comma badala ya nukta!
Kwani Rais si aliihariri hotuba yake kabla ya kuisoma?Alishindwa vipi kuiona hiyo koma?

Alipokuwa anasoma kuwa ni dollar za kimarekani billion elfu sita alishindwa vipi kushtuka kuwa hii siyo sahihi?
 
Binafsi naamini mheshimiwa Rais alighafirika tu kutamka kwamba tunayo akiba ya US $ 6253 Bl.

Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu vitu vinginevyo ni muhimu kuvisemea mapema ili kuondoa sintofahamu zisizo na mashiko.
Sijui mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu anafanya Kazi gani.

Pili kuna msemaji wa Serikali na Waziri wa habari halikadhalika Havana wa Benki kuu na Waziri wa fedha.
 
Hizo sio hela za umma tu ni pamoja na za sector bijafsi.

Stock ya dola ina maana wakichukua dola zote za serikali, na zile zinazomilikiwa na watu binafsi kwenye bank na bureau ndio unapata akiba ya fedha za kigeni. Kusema serikali ikazilipie deni sio sahihi maana sio hela zake
Lakini je, ni kweli, pamoja na sekta binafsi, nchi ina akiba ya$ +6,000 bilioni?

Tusubiri wadai kuja kwa nguvu.

UPUUZI wa kiwango cha kutisha
 
plz tell usikimblie kulinganisha na USA, lete hesabu/takwimu hapa kuivunja nguvu hoja ya mama, je tunazo?!? au hatuna?!?
Hizo pesa alizosema mama ni sawa na trillion 13800
Ni kweli hata US hana hizo pesa
 
Binafsi naamini mheshimiwa Rais alighafirika tu kutamka kwamba tunayo akiba ya US $ 6253 Bl.

Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu vitu vinginevyo ni muhimu kuvisemea mapema ili kuondoa sintofahamu zisizo na mashiko.
Sisi ni donor country.Taarifa ya IKURU huwa ina haririwa mara kadhaa na wataalamu kabla ya kutolewa.
 
Binadamu zaidi ya mmoja, kisha wasione hilo kosa ambalo huku mitandaoni imetuchukua dakika chache kugundua huo uhuni!
Kuna kitabu unaweza kusoma kimefanyiwa review na maprofesa zaidi ya 100, tena wa vyuo vikubwa kabisa duniani, lakini bado utabaini makosa mtu uliyesoma saint Augustine. Seuse hotuba inayopitiwa na watu watatu waliosoma Tumaini? Au hujawahi kukutana na vitabu vya namna hiyo.
 
Matatizo makuu ya watanzania kwa mwaka 2022 na kuendelea:-
1. Katiba ya mwaka 1977
2. CCM
3. Muungano
4
 
Back
Top Bottom