Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

wakitoa hiyo press release kuweka sawa kadili tunavyoona bado hatutakosa neno la kuongea..
Wakikaa kimya bado pia tutaongea..huwa hatuna jema sisi..
Bora watoe ili ukweli ujulikane.

Mama katupiga kitu kizito kichwani.
 
Kuna kitabu unaweza kusoma kimefanyiwa review na maprofesa zaidi ya 100, tena wa vyuo vikubwa kabisa duniani, lakini bado utabaini makosa mtu uliyesoma saint Augustine. Seuse hotuba inayopitiwa na watu watatu waliosoma Tumaini? Au hujawahi kukutana na vitabu vya namna hiyo.


Weka kitabu kimoja chenye hayo makosa ili kudhibitisha huu utetezi wako dhaifu. Taja page na kosa ndani ya kitabu hicho utakachotaja.
 
Lakini je, ni kweli, pamoja na sekta binafsi, nchi ina akiba ya$ +6,000 bilioni?

Tusubiri wadai kuja kwa nguvu.

UPUUZI wa kiwango cha kutisha
Kiwango kilichopo sina uhakika lakini kilichosemwa ni dola billio 6. Au 6,000 million. Sasa kama mama alikosea sijui maana dont have the figure to compare with. Ikitoka quarter bulletin ya BoT tutajua
 
Aandike USD6.253,00 kwenye hotuba? Kama kwenye cheki, sawa. Kwenye hotuba hizo 00 za nini? Katika akili yako USD6.253 na USD6.253,00 zinatofautiana kwa kiasi gani cha pesa?
Bro hizo ni millions au bilions ambazo mwandishi alizilenga, hivyo kuna digits kadhaa ziko mbele ya mwisho wa 53. Inawezekana ikawa ni 00, 11, 99, 75, na namba zozote zile kwa sababu hizo ni billions au millions. Unless hapa tunaisoma hiyo namba elfu sita na hamsini na tatu kamili tu. Lakini nayo kama ni French itaandika 6.253,00 na kiingereza 6,253.00. Pia tukumbuke hizi figures zinatamkwa sawa.

 
Nilidhani sijasikia vyema ikabidi nimfuate kule tube kusikiliza Tena nikajirithisha kuwa masikio yangu ni mazima!

Huenda ni kweli BoT wanazo hizo dollar bilioni elfu sita. Basi walipe deni lote la taifa ili nchi isidaiwe Tena. Au mnasemaje ndugu zangu?

Kama hicho kiwango alichotaja hakipo basi huu ni mkwaju au bakora nyingine Tena tumechapwa nayo wananchi!

Hivi inawezekana kufanya editing kwenye hotuba iliyokwisha ruka hewani?
Nimshauri bi mkubwa kuwa, kabla ya kuisogelea mimbari yoyote asome alichokabidhiwa kwanza ajiridhishe vinginevyo Kuna siku atawekewa barua ya posa ya bintiye naye atatusomea Kama hotuba!

Bi mkubwa ajiri waandishi na wanahabari wazalendo na watiifu kwako achana na hao waandishi michongo unaoletewa watakuangushia gari bovu!
Halafu hata Mkurugenzi wa Ikulu Mawasiliano Gerson Msigwa hana habari hata na Msemaji mkuu wa serikali.
Ndo maana Mwinyi kamchukua Charles Hillary kwenda kuhudumu mawasiliano Zenji
 
Kama una issue yako nyingine ianzishie uzi wake. Argument iliyoko mezani ni je ni USD 6.253 bilion ama USD6,253 billion kama Rais alivyosema? Argument ya 00 and 71 or whatever is irrelevant here na ni kupotezeana muda.

Acha kutetea umbumbumbu. I was trying to be sarcastic nilivyosema labda ni Francophone. Hauwezi kuandika Kifaransa kwa audience ya Watanzania. Wewe haujui kuwa Tanzania ni Anglophone? Mfumo wetu ni wa Kiingereza. Hilo ni kosa kubwa limefanywa na wasaidizi wa Rais na Rais mwenyewe. Kama unafuatilia habari za uchumi na siasa Tanzania utajua kuwa reserve ya pesa za kigeni ni approximately USD 6 billion ambazo zina uwezo wa kuagiza mahitaji ya nchi kwa miezi 6-7. Jielimishe. Magufuli alikuwa akilisema hili mara nyingi sana katika hotuba zake. Acha kubishania vitu ambavyo havina maana. Tunazungumzia billions hapa. Senti hazibadilishi chochote.

Ungekuwa wewe ndiye mwandishi wa hotuba za Rais wa Tanzania, ungeandika kwa format ya Kifaransa. Kama jibu lako ni ndiyo basi unafanana na huyo aliyemwandikia Samia. Na of course Samia mwenyewe kwa sababu alitakiwa kuipitia kwanza kabla ya kuisoma. Na alitakiwa kujua kuwa tangu kuwepo kwa Tanzania hakuna mwaka ambao reserve yet iliwahi kuwa USD zaidi ya bilioni elfu 6.
Bro hizo ni millions au bilions ambazo mwandishi alizilenga, hivyo kuna digits kadhaa ziko mbele ya mwisho wa 53. Inawezekana ikawa ni 00, 11, 99, 75, na namba zozote zile kwa sababu hizo ni billions au millions. Unless hapa tunaisoma hiyo namba elfu sita na hamsini na tatu kamili tu. Wewe mwandishi wa hotuba ya Rais umempa THE BENEFIT OF THE DOUBT kwamba yamkini ameandika kwa format ya french currency. Kumbuka huyo Mwandishi kaandika, hasomi yeye. Mimi sijasoma Rais angesoma na zero nilizoweka. Kutokuweka comma ambayo ina namna kama desimali kumemchanganya msomaji wa hotuba, na ili kuondoa mchanganyo huo mwandishi wa hotuba, alipaswa aweke figures nyingine za french format ili msomaji asiweze kukosea. Tunaweza jikumbusha hapo chini, jinsi french format ilivyo.

 
Leo Rais Samia wakati akitoa hotuba ya kufunga mwaka 2021 ameitaja akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 6,253. Nikajua labda lafudhi ya kizanzibari imenichanganya au kosa la usomaji.

Kumbe ndivyo alivyoandikiwa kwenye hotuba yake, najiuliza mchakato wote wa maandalizi ya hotuba na kwenye mikono iliyopita wameshindwa kung'amua tofauti kubwa hivi ya fedha.

Hizi hela ni zaidi ya trilioni 14,000 za kitanzania, yaani lile deni la trilioni 70 wanalogombania na Ndugai ingekuwa hela ya peremende na sio mboga.

View attachment 2064430
View attachment 2065790

======
UPDATES
======

Ufafanuzi umetolewa
 
FB_IMG_1641191217471.jpg
 
Utaanzaje kutoa hotuba bila kupitia utakayosoma mbele ya Taifa?
Tatizo ni kuamini kila kinacholetwa mbele yako,
Hapa kuna tatizo kwa mwandishi na msomaji wake.

Mama ajitegemee kwa akili zake bila kuamini kila jambo.

Nilikatishwa tamaa sana siku aliposema wakuu wa mikoa ndio jicho lake maana hana uwezo wa kuhesabu mbao, matofali na cement. Na akawaambia watu wazima si vizuri kufatiliana!

Kwa nchi yetu hii watu wazima ndio wezi, na ndio wazoefu ktk wizi.
Akiwaamishi basi tumekwisha.
 
Maisha yamekuwa mbio sana,,,nafikiri wameweka rekodi sawa
 
Back
Top Bottom