Bora watoe ili ukweli ujulikane.wakitoa hiyo press release kuweka sawa kadili tunavyoona bado hatutakosa neno la kuongea..
Wakikaa kimya bado pia tutaongea..huwa hatuna jema sisi..
Mimi Tomasodonor country kumbe tupo vizuri..
Kuna kitabu unaweza kusoma kimefanyiwa review na maprofesa zaidi ya 100, tena wa vyuo vikubwa kabisa duniani, lakini bado utabaini makosa mtu uliyesoma saint Augustine. Seuse hotuba inayopitiwa na watu watatu waliosoma Tumaini? Au hujawahi kukutana na vitabu vya namna hiyo.
Kiwango kilichopo sina uhakika lakini kilichosemwa ni dola billio 6. Au 6,000 million. Sasa kama mama alikosea sijui maana dont have the figure to compare with. Ikitoka quarter bulletin ya BoT tutajuaLakini je, ni kweli, pamoja na sekta binafsi, nchi ina akiba ya$ +6,000 bilioni?
Tusubiri wadai kuja kwa nguvu.
UPUUZI wa kiwango cha kutisha
Bro hizo ni millions au bilions ambazo mwandishi alizilenga, hivyo kuna digits kadhaa ziko mbele ya mwisho wa 53. Inawezekana ikawa ni 00, 11, 99, 75, na namba zozote zile kwa sababu hizo ni billions au millions. Unless hapa tunaisoma hiyo namba elfu sita na hamsini na tatu kamili tu. Lakini nayo kama ni French itaandika 6.253,00 na kiingereza 6,253.00. Pia tukumbuke hizi figures zinatamkwa sawa.Aandike USD6.253,00 kwenye hotuba? Kama kwenye cheki, sawa. Kwenye hotuba hizo 00 za nini? Katika akili yako USD6.253 na USD6.253,00 zinatofautiana kwa kiasi gani cha pesa?
Halafu hata Mkurugenzi wa Ikulu Mawasiliano Gerson Msigwa hana habari hata na Msemaji mkuu wa serikali.Nilidhani sijasikia vyema ikabidi nimfuate kule tube kusikiliza Tena nikajirithisha kuwa masikio yangu ni mazima!
Huenda ni kweli BoT wanazo hizo dollar bilioni elfu sita. Basi walipe deni lote la taifa ili nchi isidaiwe Tena. Au mnasemaje ndugu zangu?
Kama hicho kiwango alichotaja hakipo basi huu ni mkwaju au bakora nyingine Tena tumechapwa nayo wananchi!
Hivi inawezekana kufanya editing kwenye hotuba iliyokwisha ruka hewani?
Nimshauri bi mkubwa kuwa, kabla ya kuisogelea mimbari yoyote asome alichokabidhiwa kwanza ajiridhishe vinginevyo Kuna siku atawekewa barua ya posa ya bintiye naye atatusomea Kama hotuba!
Bi mkubwa ajiri waandishi na wanahabari wazalendo na watiifu kwako achana na hao waandishi michongo unaoletewa watakuangushia gari bovu!
Bro hizo ni millions au bilions ambazo mwandishi alizilenga, hivyo kuna digits kadhaa ziko mbele ya mwisho wa 53. Inawezekana ikawa ni 00, 11, 99, 75, na namba zozote zile kwa sababu hizo ni billions au millions. Unless hapa tunaisoma hiyo namba elfu sita na hamsini na tatu kamili tu. Wewe mwandishi wa hotuba ya Rais umempa THE BENEFIT OF THE DOUBT kwamba yamkini ameandika kwa format ya french currency. Kumbuka huyo Mwandishi kaandika, hasomi yeye. Mimi sijasoma Rais angesoma na zero nilizoweka. Kutokuweka comma ambayo ina namna kama desimali kumemchanganya msomaji wa hotuba, na ili kuondoa mchanganyo huo mwandishi wa hotuba, alipaswa aweke figures nyingine za french format ili msomaji asiweze kukosea. Tunaweza jikumbusha hapo chini, jinsi french format ilivyo.
English and French currency formats
Can the language settings for currency be set in Impromptu (on the application level) similar to the Regional Settings in the operating system? Example of different formats: English: $123,456.89 French: 123 456,89$ The language settings could then be applied as English for an English...www.ibm.com
Ufafanuzi umetolewaLeo Rais Samia wakati akitoa hotuba ya kufunga mwaka 2021 ameitaja akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 6,253. Nikajua labda lafudhi ya kizanzibari imenichanganya au kosa la usomaji.
Kumbe ndivyo alivyoandikiwa kwenye hotuba yake, najiuliza mchakato wote wa maandalizi ya hotuba na kwenye mikono iliyopita wameshindwa kung'amua tofauti kubwa hivi ya fedha.
Hizi hela ni zaidi ya trilioni 14,000 za kitanzania, yaani lile deni la trilioni 70 wanalogombania na Ndugai ingekuwa hela ya peremende na sio mboga.
View attachment 2064430
View attachment 2065790
======
UPDATES
======
Serikali yatoa ufafanuzi wa akiba ya Fedha za Kigeni, makosa yalifanyika
Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253. Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna...www.jamiiforums.com