Hii akili ya kitanzania ya kumiliki gari kuona wenzako ni mbwa inatesa vijana

Hii akili ya kitanzania ya kumiliki gari kuona wenzako ni mbwa inatesa vijana

Nipe moja hilo dualis kwa mkopo ndugu yangu, niache kunuka shombo la daladala mkuu...am serious.

Hela yako yote ntarejesha, usiwe na wasi wasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha!

Naona ni kama unafanya mzaha mkuu. Sidhani kama unakosa usafiri hata wa milioni 4. Gari ziko nyingi sana siku hizi halafu bei chee, tena sio za magumashi, ni gari halali kabisa.

Pambana kwanza, ukishindwa kabisa tuwasiliane nione ninachoweza kufanya.
 
Bro sina gari, ukiangalia muandiko wangu tu unaona kabisa na comment ninayoyaishi.

Sitanii, ila natamani mtu anikopeshe gari, hata carina TI isiyo na kipengele, sio anipe anikopeshe.

Yaani nimechoka kinoma kupanda daladala, sema ku make ndio kipengele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umaskini Ni mbaya sana.
Public transport dar es salaam ni kero kubwa mno na ni wa kada ya chini sana, tuache kuremba remba.

Hata kama gari sio kipimo cha utajiri ila kutokua na gari dar ni kipimo cha umaskini .

Shida gari zinapatikana kwa cash, hata kama una kipato kumake tumilion kadhaa ndio kipengele.. Hapo ndio gari linakua sio kitu cha kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni shoga
Wacheni watoto wazuri wapende wanaume wenye magari, kwa maana jua huko nje ni kali.

Wewe unamtembeza mtoto wa kike kwenye bodaboda mishkaki tena anapanda na jua kali halafu anakuja kwako anachoka na jua kabla ya kumchosha halafu bado unataka akupende the way jinsi ulivyo.

Hakuna mwanamke atakupenda the way ulivyo mhudumie mtoto wa watu hata kama huna hela uwe hata na gari anavokuja mtoto wa watu asichoke akae hata kwenye ma AC.

Video hapo chini kaongea mengi
View attachment 2717759
 
Public transport dar es salaam ni kero kubwa mno na ni wa kada ya chini sana, tuache kuremba remba.

Hata kama gari sio kipimo cha utajiri ila kutokua na gari dar ni kipimo cha umaskini .

Shida gari zinapatikana kwa cash, hata kama una kipato kumake tumilion kadhaa ndio kipengele.. Hapo ndio gari linakua sio kitu cha kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hayupo mtu ambaye hapendi gari, kinacholeta shida ni huyo jamaa anavosema kama huna hela nunua gari ili watoto wazuri wasipate jua sasa hapo utanunua gari kwa matakwa ya kumfurahisha mtu au kwa kuangalia umuhimu wa kazi zako
 
Off course binafsi siwezi kuwa na gari kwa sababu ya mademu, ila kunitatulia matatizo yangu mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Range ya Kutembelea Mjini
2.Benz kwa ajili ya kwenda mikoani kwenye mishe.
3.Crown kwa ajili ya Mbwa wake.
4.Anamalizia Ghorofa lake Mbweni kwa Matajiri.
5.Ana Clothing Line - Nguo zake wanavaa matajiri kama masikini usivae.
6.Tajiri Mtoto - Miaka 27 tu as of Now 2023.

Chief Godlove anaongea sense sema ndiyo hivyo wabongo hatujazoea kuambiwa black and white ,tumezoea kudanganyana na kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa.

Vitu anavyoongelea mara nyingi ni kutafuta pesa ,kuacha kukaa vijiweni na kupiga majungu,unatafuta pesa kwa nguvu kisha unaenda kuzitumbua na malaya na mapombe na ndiyo maana kwa kuonyesha pombe hazina maana alinunua Hennessy akaoshea tyres za range.
 
Jina lako na unayoandika ni watu wawili tofauti siku wakikutana watapigana sana
Naomba nikushauri hyo 20M kama haina kazi ipeleke UTT Amis
Sisi wazee wa mjini bana! Tunakwenda na upepo... Nasikia siku hizi vijana wakitaka nyota zao zing'ae wa-shine ni mpaka wapigwe mashine kwanza na Wanamume wenzao ndo mambo yawe Mukidee! Nasi tunaenda na Flow! Wao si wanataka waishi vizuri mjini bana! Sisi hatuna hiyana... tulipambana, tukaenda shule na matunda tunayaona wao wanataka vya dezo. Mwambieni asione haya!
 
1. Range ya Kutembelea Mjini
2.Benz kwa ajili ya kwenda mikoani kwenye mishe.
3.Crown kwa ajili ya Mbwa wake.
4.Anamalizia Ghorofa lake Mbweni kwa Matajiri.
5.Ana Clothing Line - Nguo zake wanavaa matajiri kama masikini usivae.
6.Tajiri Mtoto - Miaka 27 tu as of Now 2023.

Chief Godlove anaongea sense sema ndiyo hivyo wabongo hatujazoea kuambiwa black and white ,tumezoea kudanganyana na kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa.

Vitu anavyoongelea mara nyingi ni kutafuta pesa ,kuacha kukaa vijiweni na kupiga majungu,unatafuta pesa kwa nguvu kisha unaenda kuzitumbua na malaya na mapombe na ndiyo maana kwa kuonyesha pombe hazina maana alinunua Hennessy akaoshea tyres za range.
Matajiri hawapigi kelele hovyo bana na kufanya vimbwenga vya namna hiyo... itoshe kusema huyo ni MSHAMBA!

MATAJIRI waache kwenda kuvaa nguo Woolworth wakavae Za kutoka Thailand mitumbani yeye anajitamba ana clothing line ya kisasa! Tajiri ana range bovu hilo?! We unaijua BMW X7 WEWE?! ni sawa na hiyo Takataka yake huyo kwale hapo?! Hii nchi ina matajiri tele wapo kimya... hata hapa JF wapo wamekula kimya tu! Hebu mods wafute huu uzi wa kipumbavu
 
Nlimuona huyu mbuzi juzi insta. Hapa nae ana gari. Wenye magari wametulia tulii. Asiwapanikishe kaka zetu
Muulize huyo mbuzi vizuri anaijua BMW X7?! tena ya 2020! Anakaa anapigapiga kelele eti ooh! Najenga mbweni, nna Clothing line nawauzia matajiri... Nyokoooo!
 
Alisema yaye ana crown kwa ajili ya mbwa wake
Sasa ukitaka kungundua huyo kijana ana tatizo la akili nenda ukasome historia ya Toyota crown vizuri... na hadhi yake huko Japan, alafu yeye anatafuta sifa mitandaoni eti crown kanunulia mbwa.... kijana MsengeMsenge mmoja kutoka Afrika tena Afrika Mashariki, nchi inaitwa Tanzania, hawajielewi kuanzia mjumbe wa nyumba kumi "10"... raia mpaka Rais wao! Masifa mengine bana, hapo ana ndugu zake hawana kazi wala ada zimewashinda huyo Msenge, kutwa kutafuta sifa mitandaoni, Eti...

"Nyinya nyonyonya crown nyimenyunyulia mbwa wangu"

Nyoko wahed! Apimwe akili huyo...
 
Huyo mtembelelea Tako la kuazima ana mbweembwe!!!

Watembelea matako wote wangekua hivyo... Dahh!!! Tungepata tabu saana mjini hapa
 
Huyo mtembelelea Tako la kuazima ana mbweembwe!!!

Watembelea matako wote wagekua hivyo... Dahh!!!
Dawa ya vijana wa namna hiyo ni kuwawekea kidau tu mezani (15M haina kazi, afukuliwe mtaro na arekodiwe) kisha itunzwe kumbukumbu! Akianza mashauzi tunamtuliza kwa kuvujisha.

Kama ana mafanikio a-design namna ya kuwakwamua vijana wenzie jobless, sio kutafuta sifa hovyohovyo mitandaoni huyo!
 
Ongeeni yote ila msijifariji sana pesa inanafasi yake maishani pesa inaheshimisha japo hutakiwi kuwa na pesa utu ukakutoka ukaona wengine hawana maana ni jambo baya. Ila usije jidanganya kisa huna hela ukahisi hayo ni maisha mazuri unatakiwa uyapende kataa sana umaskini.

Gari siku hizi ki kitu cha muhimu kuwa nacho kitakusaidia kuepuka karaha nyingi sana kwenye jamii na itakufanya uwe na usiri kwenye mambo yako.

Siwezi mpinga mtu anaehamasisha watu watafute hela na jamaa kaongea ukweli jamii zetu kibongo tunathamini vitu. Wenye nazo wanathamini utu wao.
Na usipokuwa na gari gharama za usafiri zinakuwa kubwa, gari linarahisisha maisha.
 
Back
Top Bottom