Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
Ha ha ha!Nipe moja hilo dualis kwa mkopo ndugu yangu, niache kunuka shombo la daladala mkuu...am serious.
Hela yako yote ntarejesha, usiwe na wasi wasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona ni kama unafanya mzaha mkuu. Sidhani kama unakosa usafiri hata wa milioni 4. Gari ziko nyingi sana siku hizi halafu bei chee, tena sio za magumashi, ni gari halali kabisa.
Pambana kwanza, ukishindwa kabisa tuwasiliane nione ninachoweza kufanya.