EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Unajua sekunde9?Kuifikia 100kph ndani ya Sekunde9, hakuna ajabu hata kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua sekunde9?Kuifikia 100kph ndani ya Sekunde9, hakuna ajabu hata kidogo
Aaaaaaaah hapo sawa manake kuchanganya hapo sawa kabisaUpo sahihi kwa maelezo yako ... ni kweli kabisa hakuna gari inayokwenda 100km ( ubungo - chalinze ) kwa sekunde 9 ..
ila sio hivyo kinachomaanishwa ( hujaelewa )
Kinaongelewa muda uliotumika kuanzia speed 0km/h mpka kufikia 100km/h
Zipo gari zina uwezo wa kutoka speed 0 to 100km/h in less than 10 seconds
Hivi unafahamu sekunde kweli?Ni hiv akikanyaga mafuta mengi gar inauwez wakufik speed 100 kwa sekunde 9 tuu
Sasa ndo unifokee? Au ulitaka niseme ni magariMaelezo yako ya mwanzo(huna gari na sio mtaalam wa magari) yanathibitisha kabisa kuwa hujaelewa kilichomaanishwa.
Huyu amekufafanulia kinachojadiliwa tu, kazi yako wewe kufuatilia inawezekana au haiwezekana, maana hata ukibisha bisha kwa hoja.Hivi unafahamu sekunde kweli?
Inawezekana eti tena ata ndani ya sekunde 6.....Hivi unafahamu sekunde kweli?
Mkuu tuonane wapi unijaribie mafuta ntalipaInawezekana eti tena ata ndani ya sekunde 6.....
Wenzetu huwa wanafanya majaribio ndani ya open space na kukanyaga mafuta hadi mshale ukasoma 100km/h ni suala la tairi kuitikia tu siyo kuondoka eneo husika....
Kitu kipya ni kipya tuache tafsiri za wana Siasa sema umasikini wa Tanzania hatujui kipya ni kipi na used ni kipi umasikini wa Nchi umedumaza mpaka akili zetu..see..... kwa hiyo unapokimiliki kitu au kukiona for the first time kwako ni kipya. hata demu unaweza ukawa na demu mpya ila wenzako walishapiga.. wewe ambaye hujawahi piga mashine yake anakuwa mpya kwako. so jamaa yuko sahihi.
Kusoma kwenye dash board mkuu sio itoke kwa speed hiyo ya sekunde tisa itoke Mbeya mpaka Tunduma hapa ndio mnaposhindwa kuelewana..Hivi unafahamu sekunde kweli?
Nimecheka kifalaakanitaka nisikaguse kanaweza kuwa ni kajipu Uchungu.
[emoji1787][emoji1787]eti babywalkerhuna gari au una kagari kadogo sana. Range Rover Sports zinatoka 0-100 speed kms kwa sekunde 6.6 we unashangaa hiyo 9? na zipo ambazo ni chini ya hapo.
unatakiwa uwe unafahamu magari usiwe tu unabisha sababu ni maskini. mara nyingi maskini wa mawazo huwa wanatafuta pa kubisha au kukosoa. hiyo kawaida kabisa. nenda kawaulize wenye magari ya ukweli. achana na usafiri maana pengine una babywalker inatumia sekunde 60+
Sio kukimbia 100km kwa 9sec. Ni gari kufikisha speed 100km/hr ndani ya sec 9. Sasa hio mbona simple hata boxer inafanya hilo yaani kanyaga wese ndani ya sec 9 mshale wa speed uwe kwenye 100Mimi sina gari na sio mtaalamu wa magari ila hakuna gari ya kwenda km 100 kwa sekunde 9 mniue ila kamwe sikubali
Labda itokee sijaelewa unamanisha nini
Hata gari ya rais haina uwezo huo
Muachage uongo bhana, unazijua sekunde 9 wewe?
Lx enyewe na uzito wake na nguvu yake hafifu inatumia less than 15sec nadhani 12s Sasa unashangaa Nini kwenye rumion ambayo ina power to weight ratio nzuri kuliko hio cruiserHizi ni super car sio hizi za kijapan
Aaaaah asante sanaSio kukimbia 100km kwa 9sec. Ni gari kufikisha speed 100km/hr ndani ya sec 9. Sasa hio mbona simple hata boxer inafanya hilo yaani kanyaga wese ndani ya sec 9 mshale wa speed uwe kwenye 100
Acha shobo mtoto wa kiume utapakatwahuna gari au una kagari kadogo sana. Range Rover Sports zinatoka 0-100 speed kms kwa sekunde 6.6 we unashangaa hiyo 9? na zipo ambazo ni chini ya hapo.
unatakiwa uwe unafahamu magari usiwe tu unabisha sababu ni maskini. mara nyingi maskini wa mawazo huwa wanatafuta pa kubisha au kukosoa. hiyo kawaida kabisa. nenda kawaulize wenye magari ya ukweli. achana na usafiri maana pengine una babywalker inatumia sekunde 60+
Alichokuambia ndo ukweli haya mambo madada wengi hamyajui. Jamaa kaongea fact nadhani ni mjuzi wa magariAcha shobo mtoto wa kiume utapakatwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rudi shule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo 100km/h yani inaweza safiri km100 kwa saa. Sasa wanasema accélération yake to attain hiyo speed ya 100km/h ni 2 sec. So ukibadilisha hapo kujua how much it can travel kwa hizo 2sec utapata few metersMnataka kutuambia kwamba kuna magari 'super car' yana speed inayokaribiana na umeme?
Yaani li-accelerate umbali wa KM 100 kwa sekunde 2.5?
Hivi unajua sekunde 2.5 ni almost sawa na kufumba na kufumbua macho mara 3 kasoro
Yaani hata lisipoanzia initial velocity "0" haliwezi kusafiri umbali wa KM 100 kwa sekunde 2.5
Fastest jet kuliko zote ulimwenguni ina-accelerate kwa muda gani umbali wa KM 100?
Kwa heshima na taadhima naomba nirekebishwe kama nimekosea
Kumbe hujui maana ya neno mpya... Ungeanza kwanza kuuliza wenye akili wakueleze. Kitu kipya ni kile ambacho hakijawahi kutumika. Gari ya mwaka 2000 inakuwa mpya kama haijatumika. Haya mambo msiwe mnadandia bila kuuliza.2008 iyo ni gar nzee tena ata kwenye mzunguki japan ishatirewa ebu wabongo tujifunze kutofautisha gari mpya kimuonekano na mpya kimuundo sasa kwel unasema gar ya 2008 ni mpya je ya 2023 tutaiitaje
Au hamjui gar ya mwaka 2024 ishatoka na gar ya 2023 imetoka mwaka jana sa sjui iyo yako ya 2008