Hii Button (Kitufe) kwenye hii gari hakuna anayejua kazi yake nini na wote wanaogopa ibonyeza

Hii Button (Kitufe) kwenye hii gari hakuna anayejua kazi yake nini na wote wanaogopa ibonyeza

Upo sahihi kwa maelezo yako ... ni kweli kabisa hakuna gari inayokwenda 100km ( ubungo - chalinze ) kwa sekunde 9 ..

ila sio hivyo kinachomaanishwa ( hujaelewa )

Kinaongelewa muda uliotumika kuanzia speed 0km/h mpka kufikia 100km/h

Zipo gari zina uwezo wa kutoka speed 0 to 100km/h in less than 10 seconds
Aaaaaaaah hapo sawa manake kuchanganya hapo sawa kabisa
Na nashukuru kwa maelezo hayo
 
Maelezo yako ya mwanzo(huna gari na sio mtaalam wa magari) yanathibitisha kabisa kuwa hujaelewa kilichomaanishwa.
Sasa ndo unifokee? Au ulitaka niseme ni magari
Na umeembiwa kabisa labda sijaelewa kinachokuwa kinamanishwa

Mbona viraza mnashida
 
Hivi unafahamu sekunde kweli?
Inawezekana eti tena ata ndani ya sekunde 6.....

Wenzetu huwa wanafanya majaribio ndani ya open space na kukanyaga mafuta hadi mshale ukasoma 100km/h ni suala la tairi kuitikia tu siyo kuondoka eneo husika....
 
Mkuu tuonane wapi unijaribie mafuta ntalipa
 
see..... kwa hiyo unapokimiliki kitu au kukiona for the first time kwako ni kipya. hata demu unaweza ukawa na demu mpya ila wenzako walishapiga.. wewe ambaye hujawahi piga mashine yake anakuwa mpya kwako. so jamaa yuko sahihi.
Kitu kipya ni kipya tuache tafsiri za wana Siasa sema umasikini wa Tanzania hatujui kipya ni kipi na used ni kipi umasikini wa Nchi umedumaza mpaka akili zetu..
 
huna gari au una kagari kadogo sana. Range Rover Sports zinatoka 0-100 speed kms kwa sekunde 6.6 we unashangaa hiyo 9? na zipo ambazo ni chini ya hapo.

unatakiwa uwe unafahamu magari usiwe tu unabisha sababu ni maskini. mara nyingi maskini wa mawazo huwa wanatafuta pa kubisha au kukosoa. hiyo kawaida kabisa. nenda kawaulize wenye magari ya ukweli. achana na usafiri maana pengine una babywalker inatumia sekunde 60+
[emoji1787][emoji1787]eti babywalker
 
Mimi sina gari na sio mtaalamu wa magari ila hakuna gari ya kwenda km 100 kwa sekunde 9 mniue ila kamwe sikubali

Labda itokee sijaelewa unamanisha nini

Hata gari ya rais haina uwezo huo
Sio kukimbia 100km kwa 9sec. Ni gari kufikisha speed 100km/hr ndani ya sec 9. Sasa hio mbona simple hata boxer inafanya hilo yaani kanyaga wese ndani ya sec 9 mshale wa speed uwe kwenye 100
 
Sio kukimbia 100km kwa 9sec. Ni gari kufikisha speed 100km/hr ndani ya sec 9. Sasa hio mbona simple hata boxer inafanya hilo yaani kanyaga wese ndani ya sec 9 mshale wa speed uwe kwenye 100
Aaaaah asante sana
 
huna gari au una kagari kadogo sana. Range Rover Sports zinatoka 0-100 speed kms kwa sekunde 6.6 we unashangaa hiyo 9? na zipo ambazo ni chini ya hapo.

unatakiwa uwe unafahamu magari usiwe tu unabisha sababu ni maskini. mara nyingi maskini wa mawazo huwa wanatafuta pa kubisha au kukosoa. hiyo kawaida kabisa. nenda kawaulize wenye magari ya ukweli. achana na usafiri maana pengine una babywalker inatumia sekunde 60+
Acha shobo mtoto wa kiume utapakatwa
 
Mnataka kutuambia kwamba kuna magari 'super car' yana speed inayokaribiana na umeme?

Yaani li-accelerate umbali wa KM 100 kwa sekunde 2.5?

Hivi unajua sekunde 2.5 ni almost sawa na kufumba na kufumbua macho mara 3 kasoro

Yaani hata lisipoanzia initial velocity "0" haliwezi kusafiri umbali wa KM 100 kwa sekunde 2.5

Fastest jet kuliko zote ulimwenguni ina-accelerate kwa muda gani umbali wa KM 100?

Kwa heshima na taadhima naomba nirekebishwe kama nimekosea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rudi shule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo 100km/h yani inaweza safiri km100 kwa saa. Sasa wanasema accélération yake to attain hiyo speed ya 100km/h ni 2 sec. So ukibadilisha hapo kujua how much it can travel kwa hizo 2sec utapata few meters
 
2008 iyo ni gar nzee tena ata kwenye mzunguki japan ishatirewa ebu wabongo tujifunze kutofautisha gari mpya kimuonekano na mpya kimuundo sasa kwel unasema gar ya 2008 ni mpya je ya 2023 tutaiitaje

Au hamjui gar ya mwaka 2024 ishatoka na gar ya 2023 imetoka mwaka jana sa sjui iyo yako ya 2008
 
Kumbe hujui maana ya neno mpya... Ungeanza kwanza kuuliza wenye akili wakueleze. Kitu kipya ni kile ambacho hakijawahi kutumika. Gari ya mwaka 2000 inakuwa mpya kama haijatumika. Haya mambo msiwe mnadandia bila kuuliza.
 
Back
Top Bottom