Hii chartGPT inatisha sana wakuu ni Next level

Hii chartGPT inatisha sana wakuu ni Next level

Nilimuuliza kuhusu komasava akasema no wimbo wa mapenzi halafu nesanesa akasema umeimbwa na mbosso akiwa na nandy
Huwa inategemea na info zilizoingizwa. Kwa hiyo ukitafuta kitu chochote ambacho hakijatimiza, mwaka mmoja majibu yake yanaweza yasiwe na ufasaha sana brother..

Japo kwa mambo serious mfano document simshauri mtu aitegemee sana
 
Screenshot_20250212-172443_DeepSeek.jpg
 
Huwa inategemea na info zilizoingizwa. Kwa hiyo ukitafuta kitu chochote ambacho hakijatimiza, mwaka mmoja majibu yake yanaweza yasiwe na ufasaha sana brother..

Japo kwa mambo serious mfano document simshauri mtu aitegemee sana
Ok
 
Aisee moja hapo hakuna cha ajabu sana ni information zilizopo (learning) na computing power..., Tukija kwenye issue ya wachina kwanini imetisha ni kwamba imefanya makubwa kwa muda mfupi na cost ndogo sana kulinganisha na ChatGpt na hapo ni baada ya kuwekewa vikwazo kibao...

Ni kama India katika Space Reasearch wameweza kufanya makubwa kwa wakati mfupi na pesa kidogo sana kulinganisha na NASA...,
 
Back
Top Bottom