Hii daladala iliyotaka kuleta ajali msafara wa CDF iadhibiwe, haina adabu

Misafara isiyo na tija, haki za wananchi zinapokwa kwa kuwaendekeza wanaoitwa viongozi. Kupotezeana muda tu.
 
kuheshimu misafara ya viongozi na hasa pale wanapopewa alama ya kusimama kupisha msafara.
Hivi hii ya kusimamishwa ili kupisha misafara ya wanakula kodi zetu ipo hadi huko kwa kibabu Joe Biden au ni huku bongo tu?
 
namuunga mkono huyo dereva daladala nchi yetu sio yakifalme huyo cdf angeamka saa kumi asubuhi awahi majukumu sio kusumbua watu wanao pambana mtu una mshahara huko unaharibu hesabu za watu kwenda huko mkapigane kongo.
Hata mimi naunga mguu
 
Hii daladala iliyotaka kuleta akali iadhibiwe haina adabu๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡.Daladala inakuwaje na adabu?
 
CDF ni ngaz kubwa hamkuona yule wa Kenya walomtanguliza siku za karibun
Usalama wake ni muhim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ