KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Tutazame pia upande wa pili. Niliwahi kukaa foleni kwa saa tatu tukisubiri Muheshimiwa sana apite. Sitakaa nisahau usumbufu nilioupata siku ile.Hakika, yani wao wanajiona wafalme sana
Kuna siku pale mwenge junction tumesimamishwa zaidi ya nusu saa ile mida ya jioni yenye folen, gari zaruhusiwa upande wa kutoka mjini tu. Kumbe wanasubiri askri mwenzao atoke muhimbili.
Ujinga sana
Waambie waache kupita wrong side. Unashtukia MPs tu wanakuja mbio na kurusha mikono upande wako kisa upande wa pili wamekuta foleni. Waache mambo ya ajabu.
Kuna wakati tulikwenda pale kwa issues fulani walikataa wakasema ni DodomaPale ngome upanga siyo hq!?
Pale ngome upanga siyo hq!?
Inafikirisha 🤔Aiseeee kunaaa mambo ambayoo yakifanyikaa mpaka unaogopa, nipo maeneo ya mbezi na askari wa mp wamewapigisha kwata dereva na konda wake.Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumesHAURIII wakampime dereva kilevii.
Msafara wa cdf ulikuwa unapita lakini kabla ya kupita walisimama ma MP kadhaa kuzuia magari na kusafisha njia.
Sasa ndugu yetu huyu wa daladala ametokea goba na speed anaenda mbeza, Askari wa MP wakamsimamisha jamaa akahisi utan akawa anampelekea MPgari.
Jamaa kulinda pumzi akasogea pemben huku anamsimamisha, yaan gari ya mwisho inapita kaipelekea juhudi za drevaaa wa msafara kuikwepa ilikuwa ajali ya kiajabu kabisaa.
Naamini wameleekea mahali stahili baada ya kushusha abiria na adhabu watakayopata aisee iwe fundisho kwa magari yote kuheshimu misafara ya viongozi na hasa pale wanapopewa alama ya kusimama kupisha msafara.
Polen sana wote mliohusika Mungu azidi kulinda misafara yenu
Amen.
So far imepigwa simu dreva na mp wameelekea kurudi njia ya gob bado na googlre wanapoelekea ila nawatakia pole huko waendakoo naamini mp watamfikiria zaidi konda ambae kihualisia ahusiki na yaliyotokea
Mungu endelea kuwatunza viongozi wetu wape heri na uhai wako kututumikia daima amen
Hivi hii ya kusimamishwa ili kupisha misafara ya wanakula kodi zetu ipo hadi huko kwa kibabu Joe Biden au ni huku bongo tu?
Mkuu wanasafisha njia mapema tu na msafara waoo hauna dk 5 ushapita unaona wale mp kama kuna emergency watawajuza mapema wanajipanga wakati huo kuna gari inapita hutoijua kusafisha njia so anapopita njia inakuwa shwari na atoki mpaka kuwe smoothHili nishawahi kukutana nalo mara mbili
Wanapenda kutumia wrong site na mara nyingi unakuja kuwashtukizia mbele yako na mwendo wao unakua si mdogo
UmeadimikaWatu wanachoka jamani mtu mnasimamishwa saa nzima kumngojea mtu apite hii si haki.
Mkuu ungeonyesha ka clip , ingepata Grammy Awards!Aiseeee kunaaa mambo ambayoo yakifanyikaa mpaka unaogopa, nipo maeneo ya mbezi na askari wa mp wamewapigisha kwata dereva na konda wake.Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumesHAURIII wakampime dereva kilevii.
Msafara wa cdf ulikuwa unapita lakini kabla ya kupita walisimama ma MP kadhaa kuzuia magari na kusafisha njia.
Sasa ndugu yetu huyu wa daladala ametokea goba na speed anaenda mbeza, Askari wa MP wakamsimamisha jamaa akahisi utan akawa anampelekea MPgari.
Jamaa kulinda pumzi akasogea pemben huku anamsimamisha, yaan gari ya mwisho inapita kaipelekea juhudi za drevaaa wa msafara kuikwepa ilikuwa ajali ya kiajabu kabisaa.
Naamini wameleekea mahali stahili baada ya kushusha abiria na adhabu watakayopata aisee iwe fundisho kwa magari yote kuheshimu misafara ya viongozi na hasa pale wanapopewa alama ya kusimama kupisha msafara.
Polen sana wote mliohusika Mungu azidi kulinda misafara yenu
Amen.
So far imepigwa simu dreva na mp wameelekea kurudi njia ya gob bado na googlre wanapoelekea ila nawatakia pole huko waendakoo naamini mp watamfikiria zaidi konda ambae kihualisia ahusiki na yaliyotokea
Mungu endelea kuwatunza viongozi wetu wape heri na uhai wako kututumikia daima amen
Kwahio hawa tunaokutanq nao wanakimbiakimbia hovyo barabarani ni wa mchongo? Wiki iliopita barabara ya Ali Mwinyi maeneo ya Palm Beach hiki ninachokwambia kilinitokea jioni saa moja hivi.Mkuu wanasafisha njia mapema tu na msafara waoo hauna dk 5 ushapita unaona wale mp kama kuna emergency watawajuza mapema wanajipanga wakati huo kuna gari inapita hutoijua kusafisha njia so anapopita njia inakuwa shwari na atoki mpaka kuwe smooth
Well, dereva kakosea kidogo tu wanataka apigwe....hawa wanaotuibia mali za umma hadi watoto na wamama wanafia mahospitali nao tuwafanye nini?Huyo jamaa leo atapigwa sana...
Lakini tujiulize, kipigo ni njia sahihi ya kurekebisha maadili ya mtu?
Kama jibu ni ndio, kwanini tusitumie njia hii kwa viongozi wetu wasio na maadili!
Mfano mtu amefanya ufisadi anapelekwa jeshini, anapigwa sana.
Aiseeee kunaaa mambo ambayoo yakifanyikaa mpaka unaogopa, nipo maeneo ya mbezi na askari wa mp wamewapigisha kwata dereva na konda wake.Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumesHAURIII wakampime dereva kilevii.
Msafara wa cdf ulikuwa unapita lakini kabla ya kupita walisimama ma MP kadhaa kuzuia magari na kusafisha njia.
Sasa ndugu yetu huyu wa daladala ametokea goba na speed anaenda mbeza, Askari wa MP wakamsimamisha jamaa akahisi utan akawa anampelekea MPgari.
Jamaa kulinda pumzi akasogea pemben huku anamsimamisha, yaan gari ya mwisho inapita kaipelekea juhudi za drevaaa wa msafara kuikwepa ilikuwa ajali ya kiajabu kabisaa.
Naamini wameleekea mahali stahili baada ya kushusha abiria na adhabu watakayopata aisee iwe fundisho kwa magari yote kuheshimu misafara ya viongozi na hasa pale wanapopewa alama ya kusimama kupisha msafara.
Polen sana wote mliohusika Mungu azidi kulinda misafara yenu
Amen.
So far imepigwa simu dreva na mp wameelekea kurudi njia ya gob bado na googlre wanapoelekea ila nawatakia pole huko waendakoo naamini mp watamfikiria zaidi konda ambae kihualisia ahusiki na yaliyotokea
Mungu endelea kuwatunza viongozi wetu wape heri na uhai wako kututumikia daima CDF alindwi na sheria na misafara ya viongozi wa umma
Comment ya nguvu sana hiiHuyo wanaempiga ndio anawatafutia hela ya hayo magari wanayotusumbua nayo.