Ukirudi tutakupokea mabegi . Jiwe pia alibeep tu. ‘
Tulikotoka ni balaa inawezekana mlikuwa bado wachanga sasa mifumo ipo katika muelekeo mzuri hachaguliwi mtu kwa mashinikizo ya watu binafsi vinginevyo Mh.Lowasa leo angekuwa Ccm na ndiye angekuwa mwenyekiti nk.
Acha watanzania waamue usiwaamulie.Unajua magufuli kafaidika kwa vita ya membe na lowassa nami niliona ni bora magufuli kuliko membe.membe is the disaster... Acheni kabisa.hii inch ingekongoroka hasa na ni mtu wa visasi sana. Na alishasema siku akiwa Rais ana watu wake ambao wangemwelewa vizur yeye ni nani.hata busara hana...ni mtu wa hovyo hovyo.huyu ambaye alitamba kipindi kile kuwa nchi ya libya haiwez kupinduliwa na land cruiser mkonga akimtetea ghadaf na baada ya mapinduzi akaungana na waliopindua...ni mtu hopeless kabisa.
Mkuu MTK, tatizo letu ni kuwa hatuna "Non partisan system or institutions". Wakati wa chaguzi au teuzi taasisi hizi zingeweza kusaidia upatikanaji wa "the best and clean candidates" kwenye kila nafasi na hivyo kuondokana na kuwa na watu kwenye nafasi hizo za uongozi wasiokuwa na sifa!Kaka una hoja nzuri lakini ni kama unaiparazapara hivi, maana blanket assessment ya watu wasiofaa haitoshi kujenga hoja yako; hebu tupe vigezo vyako vya watu wanaofaa kuwa Rais wetu na tutajie baadhi yao hapa nchini ni kina nani kwa mfano?! Inawezekana wewe unayemuita "Gaidi" wenzio wanamuona ni "Mpigania Uhuru"; na ndio maana unaona wazi hata hapa JF watu wamegawanyika sana kuhusu Tundu Lissu; tupo kina mimi ninayemuona kama "Super Hero" wakati wengine wanamuona kama "Public enemy No. 1";
Hebu funguka!
Nyerere alipimwa na nani, au Mwinyi alipimwa na nani?Miaka ya nyuma Mtu anayegombea Urais wa Tanzania alikuwa anaangaliwa kwa umakini na kupimwa kwa akili,uwezo,busara na weledi wake
Brother GuDume hebu tunaomba maelezo detailed kuhusu membe na January humu we dare to talk freely so ili mjadala uwe mzuri hebu tujikite katika kuwachambua watu hao badala tu ya kusema hawafaiBut membe hapana. Na haitatokea.bora Magufuli but si membe.na ikitokea mimi ntahama nchi siwezi ongozwa na membe nami ntakuwa mpuuzi sana
Umenena vema...Hata jiwe kabebwa tu, hana sifa ya kuwa rais. Bora hata January kuliko hili jiwe. Linafanya mambo kipuuzi, nchi yetu inapitia kwenye wakati mgumu sana.
Acha matusi weka hoja yako na uitetee, usimlazimishe kukipenda ukipendacho kwani yeye pia anazo sababu zake.Huna akil ww,,jf hawa watu mwenye mawazo finyu watoeni kwenye jf
...hata mimi sina imani kabisa na Membe na JanuaryNi bora Magufuli X 100 but si membe. Mimi ntakuwa wa kwanza kumpigia kampeni Magufuli kumpinga membe. Hii nchi itauzwa.membe hana akili hata kidogo za kuongoza nchi. Na hekima hana. Mla na mtoa rushwa.
Hiyo no 4 mbona haizingatiwi?1. AJUE KUSOMA NA KUANDIKA.
2. AWE NA MIAKA 45 na kuendelea.
3. AWE MTANZANIA.
4. AWE NA AKILI TIMAMU, asiwe milembe.
Dah....wanaoona nchi inapitia wakati mgumu..ni wale wezi...wapigaji...wavivu wanaopenda vitu vya bure...wazembe...na Wala rushwa.....na ndiyo hasa waliotuharibia nchi yetu....Hata jiwe kabebwa tu, hana sifa ya kuwa rais. Bora hata January kuliko hili jiwe. Linafanya mambo kipuuzi, nchi yetu inapitia kwenye wakati mgumu sana.
Mkuu ukiwaangalia wanao mwita Lisu public enemy hawana sababu za msingi zaidi ya chuki.Kaka una hoja nzuri lakini ni kama unaiparazapara hivi, maana blanket assessment ya watu wasiofaa haitoshi kujenga hoja yako; hebu tupe vigezo vyako vya watu wanaofaa kuwa Rais wetu na tutajie baadhi yao hapa nchini ni kina nani kwa mfano?! Inawezekana wewe unayemuita "Gaidi" wenzio wanamuona ni "Mpigania Uhuru"; na ndio maana unaona wazi hata hapa JF watu wamegawanyika sana kuhusu Tundu Lissu; tupo kina mimi ninayemuona kama "Super Hero" wakati wengine wanamuona kama "Public enemy No. 1";
Hebu funguka!