Hii fluoride ina kitu gani mpaka Trump anataka kuipiga marufuku?

Tumeanza kupewa na nani wakati sehemu nyingi tu Flouride iko kwenye maji ambayo hayajaguswa kabisa na serikali??
Mbona Arusha wenye meno yaliyooza wanafauli kuliko sehemu nyingi sana za nchi zenye wanafunzi wenye meno meupe??
Bila shaka utakuwa ni mtu wa Arusha (Prejudice).
Weka utafiti Wako hapa [Thesis] ili tuusome.
 
Al habib hii ni useless conspiracy theory,tumeishi kipindi kirefu bila fluoride na watu walikua na imani zao,walitawaliwa nk
 
Hakika DR Mambo Jambo hii ina ukweli asilimia zote, japo kwa Tanzania hapa kila kukicha watu wanazidi kupoteza thamani zao kwa kuendekeza uchawa
Binadamu Akijitambua yeye Ni nani hataweza kunyenyekea Binadamu mwingine wala kukubali Kuongozwa na Mwingine na Pia hata Kubali Kuongozwa na Idea ya Watu wengine Kuhusu Dini au Idea za Kisiasa..
 
Al habib hii ni useless conspiracy theory,tumeishi kipindi kirefu bila fluoride na watu walikua na imani zao,walitawaliwa nk
Soma Mpaka Mwisho Mkuu Usisome Kistari cha kwanza Ukatoa Conclusion maana Kati yangu na Wewe Wewe Ndo unayecompire sasa hivi kwa Kutengeneza Ulichohisi Nimeandika Soma mpaka Mwisho utoe Conlusion uliyosema
 
Kwa nini jambo la mkoa mmoja ndio iwe "mass" Instability lakini jambo la mikoa mitano iwe utamaduni?
Watu wa Tanga wanvyodaiwa kupenda mapenzi kuliko kazi ni Mass Instability ?
 
Kwa nini jambo la mkoa mmoja ndio iwe "mass" Instability lakini jambo la mikoa mitano iwe utamaduni?
Nimekupa.maana Ya Utamaduni na Nguzo zake Ili uitwe Utamaduni..
Watu wa Tanga wanvyodaiwa kupenda mapenzi kuliko kazi ni Mass Instability ?
Hakika Ni Mass Instability Mimi Ni mzanzibar ambae Nusu ya Maisha yangu nimeishi Tanga baada ya Sisi Kuamia Tanga Miaka ya 80s..

Hakina Tanga Ni wagonjwa wa Akili na Kweli wanajiona Wanapenda na Kujua mapenzi na wamejirithisha Ujinga huo na ndo maana Ukina Dar Vijana wengi wa Kisambaa ndo wanatudhalilisha kwa Kulelewa na Kusababisha Viben 10 kuzidi Mjini..
Mass Instability Yes, Ukiishi Tanga Utajua Kuna Mass Instabjlity
 
Kwa hiyo inayodaiwa kuwa Instability ya aina hiyo huko Tanga imesabibishwa na Flouride??
 
Kwa hiyo inayodaiwa kuwa Instability ya aina hiyo huko Tanga imesabibishwa na Flouride??
Hakuna Mahali nimekuambia Kuhusu Uwepo wa Fluoride Kwenye Mkoa wa Tanga..
Tanga Ina aprpximately kuwa na 1mg/L ya Fluoride In Drinking water..
Ambayo Iko chini kabisa ya Kiwango ambacho WHO imerecomend cha 1.5Mg/L na Chini kabisa ya Kiwango walichoweka TBS Cha 4mg/L

So Huwezi kuihusisha Tanga na Fluoride wakati ina kiwango kidogo sana..
Ukilinganisha na Arusha concentration ambayo inafika mpama 30mg/L
 
Uliyosema yote mkuu yanaonyesha kwambo ipo conspiracy inayoendelea against humanity na organizations kama TBS ni collaborators au kwa kujua au kutokujua.And may be I should repeat this ili i-sink in,hakuna level yeyote ya Fluoride ambayo ni salama,ni dangerous at any concentration.Na kuhusu WHO?Well, to me it is a terrorist organization which should not have a place in human health anywhere around the World.
 
Kabisa Na nakubaliana na wewe Kabisa Japo ni Nguvu nyingi inatumika Kutetea ila Fluoride hairuhusiwi kufanyiwa Matumizi au Kuwa kwenye matumizi kwa Watu
 
Dokta mi naogopa 🧐
 
Soma Mpaka Mwisho Mkuu Usisome Kistari cha kwanza Ukatoa Conclusion maana Kati yangu na Wewe Wewe Ndo unayecompire sasa hivi kwa Kutengeneza Ulichohisi Nimeandika Soma mpaka Mwisho utoe Conlusion uliyosema
Nimesoma mpaka mwisho,hilo la kuathiri ukuaji huenda kweli,lakini bibi yangu aliolewa akiwa na miaka 14,1947,maana yake alionesha dalili zote za kuwa kapevuka,mwaka mmoja baadae alijifungua,hakuwa mtumiaji wa dawa za meno zenye fluoride
 
Kuna Factor Nyingi sana Zinaongeza Ukuaji wa Mtu au Kupevuka kwa Mtu.sio tu Fluoride..

Ila kwa Zamani Msichana mwenye Miaka 13 Ni mkubwa sana na anakuwa Meshapevuka Kuolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…