Kweli kabisa !Labda mpaka tuandamane au tugome kama walivyofanya wafanyabiashara wa Kariakoo ndo serikali itusikilize Mkuu..
Yaani ndo maana mtu mmoja akasema kuishi kwenye nchi maskini kama ya kwetu ni ngumu mara kumi (10x harder) kulinganisha na kuishi kwenye nchi iliyoendelea.
Yaani unalazimika ku-struggle for almost everything!!
Hoja ya population haina mashiko ni defensive sana. Nadhani mtoa hoja alilenga uandaliwe utaratibu mzuri wa kutumia usafiri ule na sio 'randomly' kama ilivyo sasa.Sahihi, lakini sasa, wingi wa hao watu kwenye jiji unatokana na wingi wa wakazi wa jiji husika sio?
Nigeria ina eneo dogo kidogo kulinganisha na Tanganyika sio? Population yake ni zaidi ya watu 220m ilhali Tanganyika ni 62m.
Lagos pekee ina 16m, na ukubwa wa ardhi ni ndogo kuliko Dar. Huoni hapa kuwa ukifika Lagos lazima ujue mji umezidiwa ukilonganisha na Dar?
Vituo vitakuwa vinafurika kulingana na population ya mji!
Hapa Afrika Mashariki, hakuna nchi iliyotuzidi POPULATION wala LAND MASS.
Dar ni kubwa mara 2 na point kwa Nairobi.
Kwenye USTAARABU sasa, Dar bado ina wastaarabu wengi kuliko miji mingi ya nchi zilizotuzunguka, Zanzibar ikiwemo.
Nairobi nilipita na bus nikielekea Mwanza, enzi zile
Mrudi sasa mikoani kwenu mkaendelezeAsalaam Aleykum wana JF wenzangu.
Ama baada ya Salamu hizo za upendo, naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.
Kama Mtanzania Mzalendo kwa nchi yangu (na uzalendo ni pamoja na kuusema ukweli kama ulivyo), nimeona niongelee hii kero ya usafiri wa Mwendokasi (japo nina ukakasi na hilo jina maana kiukweli halisadifu kabisa), hasa hasa nyakati za jioni na asubuhi wakati wa watu kutoka au kwenda kazini, kumekuwa na mrundikano mkubwa sana wa abiria hasa hasa kwenye vitu vikuu vya Gerezani, Kivukoni, Kimara na Mbezi. Hali hii imekuwa ikiwapa tabu sana abiria na walinzi uchwara (mara nyingi wamekuwa wakizidiwa nguvu na abiria) ambao wamewekwa kuhakikisha utaratibu unafuatwa. Hali hii hupelekea abiria kugombania kuingia ndani huku wakisukumana hatari! Yaani jioni kama una Afya mgogoro, bora tu uangalie aina nyingine ya usafiri na wala usijiangaishe na huo unaoitwa Mwendokasi.
Hadi wakati mwingine unabaki unashangaa kwamba hivi vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ambavyo vinalipwa na kodi zetu havilioni hili au mpaka maafa matokeo ndo wachukue hatua?
Hivi ule utaratibu wa kwamba hadi abiria wawe wengi ndo basi liletwe uliwekwa na nani? Na kama yupo, nathubutu kumwita ni mpumbavu kwa sababu kwanza anahatarisha maisha ya Watanzania na pili, anawachelewesha watu aidha kwenda kujitafutia riziki zao na au kurudi nyumbani mapema kujumuika na familia zao wakiwamo watoto kabla hawajalala.
Maombi yangu kwa serikali pamoja na vyombo vyake:
1. Hebu leo jioni/usiku nendeni wenyewe mkashuhudie hili ninalolisema
2. Shughulikieni kero mtakazozishuhudia
Ahsanteni sana.
Nawapenda nyote.
DART MwendokasiAsalaam Aleykum wana JF wenzangu.

Mimi personally, nimeshagoma tayari!Labda mpaka tuandamane au tugome kama walivyofanya wafanyabiashara wa Kariakoo ndo serikali itusikilize Mkuu..
Yaani ndo maana mtu mmoja akasema kuishi kwenye nchi maskini kama ya kwetu ni ngumu mara kumi (10x harder) kulinganisha na kuishi kwenye nchi iliyoendelea.
Yaani unalazimika ku-struggle for almost everything!!
Watendaji kazi wa shirika hili wananufaika na matatizo hayo.Asalaam Aleykum wana JF wenzangu.
Ama baada ya Salamu hizo za upendo, naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.
Kama Mtanzania Mzalendo kwa nchi yangu (na uzalendo ni pamoja na kuusema ukweli kama ulivyo), nimeona niongelee hii kero ya usafiri wa Mwendokasi (japo nina ukakasi na hilo jina maana kiukweli halisadifu kabisa), hasa hasa nyakati za jioni na asubuhi wakati wa watu kutoka au kwenda kazini, kumekuwa na mrundikano mkubwa sana wa abiria hasa hasa kwenye vitu vikuu vya Gerezani, Kivukoni, Kimara na Mbezi. Hali hii imekuwa ikiwapa tabu sana abiria na walinzi uchwara (mara nyingi wamekuwa wakizidiwa nguvu na abiria) ambao wamewekwa kuhakikisha utaratibu unafuatwa. Hali hii hupelekea abiria kugombania kuingia ndani huku wakisukumana hatari! Yaani jioni kama una Afya mgogoro, bora tu uangalie aina nyingine ya usafiri na wala usijiangaishe na huo unaoitwa Mwendokasi.
Hadi wakati mwingine unabaki unashangaa kwamba hivi vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ambavyo vinalipwa na kodi zetu havilioni hili au mpaka maafa matokeo ndo wachukue hatua?
Hivi ule utaratibu wa kwamba hadi abiria wawe wengi ndo basi liletwe uliwekwa na nani? Na kama yupo, nathubutu kumwita ni mpumbavu kwa sababu kwanza anahatarisha maisha ya Watanzania na pili, anawachelewesha watu aidha kwenda kujitafutia riziki zao na au kurudi nyumbani mapema kujumuika na familia zao wakiwamo watoto kabla hawajalala.
Maombi yangu kwa serikali pamoja na vyombo vyake:
1. Hebu leo jioni/usiku nendeni wenyewe mkashuhudie hili ninalolisema
2. Shughulikieni kero mtakazozishuhudia
Ahsanteni sana.
Nawapenda nyote.
Ndo kilichobaki hicho mkuu kuna watu wameshauri hadi basi wameishiwa kuitwa mashetani na kuusifia hii serikali subiri ajali ikitokea ndo iundwe tumeMzee, ungejitahidi kuweka kwa kifupi sana ili kuepuka mfululizi wa sentensi zisizo na aya wala vituo sahihi.
Hamna unachoweza shauri kwa sasa kikasikika, masikii yao yamejaa NTA, midomo imejaa ASALI.
Pambana ujikwamue wewe binafsi, ndio tulipofika sasa! Ongea shida yako wewe!
Utasikia hayo mambo yalitokea awamu 5 jumba bovu wanarushiwa awamu 6 mama anafanya kazi nzurikama Abiria ni wengi maana yake biashara hiyo ni nzuri, kwanini wasiongeze mabasi ??!! Hiyo ni kuwadhalilisha watu na hakuna wa kuwasemea mpaka atokee msamaria mwema kwenye social media apaze sauti !! And yet nobody cares about it !!
Faid itapuguaHao mwendokasi wanatumia njia zao kwahiyo hawana foleni kama usafiri mwingine, kwanini wasiongeze mabasi kulingana na mahitaji ??
Kama kila taasisi ni ya kubinaafsishwa kwa kukosa weledi Nathani tungeanza na ikulu ndo ya kwanzaKutokuwajibika ipasavyo kwa watu fulani fulani, baadae tunaambiwa kubinafsisha ndio itakuwa suluhisho.
Tumepokea maoni yako ndugu mteja wetu, kama tulivyosisitiza awali ni kwamba serikali yenu sikivu ya Mama Samia Suluhu Hassan haijawaacha wala haijafumbia macho kero zenu, ni kweli huduma kwa sasa haiko sawa kutokana na uchache wa Mabasi , siku sio nyingi mtasikia kutoka kwetu hatua zilizofikiwa katika kuongeza idadi ya Mabasi, tunawasihi mvute subra wakati suala hili linafanyiwa kazi.
Ndugu yangu nashukuru kwa kutambua kuwa tatizo ni uchache wa Mabasi, hatua zinachukuliwa ili kuhakikisha Mabasi yakutosha yanapatikana ili wananchi waendelee kutumia na kufurahia usafiri wa umma kama lengo la kuanzishwa kwa mradi huu lilivyokusudia.Solution nzuri na ya haraka ni Kuongeza idadi ya mabasi.
Basi zikiwa nyingi, kila baada ya muda mchache basi inafika kituoni, kupakia na kuondoka.
Itapunguza au kuondoa kabisa mrundikano wa abiria kituoni.
Hii Mtendaji mkuu anaijua.
Sema ndio hivyo akifanya hivyo gharama za uendeshaji zitaongezeka.
Na wao wanataka pesa zaidi kuliko kutoa huduma.
Nashukuru sana kwa majibu yenye matumaini.Tumepokea maoni yako ndugu mteja wetu, kama tulivyosisitiza awali ni kwamba serikali yenu sikivu ya Mama Samia Suluhu Hassan haijawaacha wala haijafumbia macho kero zenu, ni kweli huduma kwa sasa haiko sawa kutokana na uchache wa Mabasi , siku sio nyingi mtasikia kutoka kwetu hatua zilizofikiwa katika kuongeza idadi ya Mabasi, tunawasihi mvute subra wakati suala hili linafanyiwa kazi.