Hii hapa mizinga ya Israel yenye uwezo wa kufuta ukanda wote huo, haipigiki, ndio maana Iran wameufyata

Haya!
Tumeona, wafanye kweli sasa!
 
Hiki walichokifanya Iran juzi kinahesabika kama DIRECT RETALIATORY STRIKE?
Eti mkongwe 6 Pack
 
Hiki walichokifanya Iran juzi kinahesabika kama DIRECT RETALIATORY STRIKE?
Eti mkongwe 6 Pack
Netanyahu bila support ya Marekani na Uingereza kamwe hawezi kutaka kuingia vitani na Iran, hata asukumizwe ili alipize kisasi hawezi kukubali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Israel wanaijua vizuri Iran, ni ile tu Marekani, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zinampa kiburi. Ila mwenyewe bila hao wengine haiwezi kuingia vitani na Iran. Never
 
Mashoga juzi usiku yamepumuliwa mgongoni mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Iran amerusha mabom zaidi ya 70 + drone zaidi ya 300 ameishia kujeruhi mtoto mdogo aliekua anacheza kombolela usiku😁😁🀨
 
Iran amerusha mabom zaidi ya 70 + drone zaidi ya 300 ameishia kujeruhi mtoto mdogo aliekua anacheza kombolela usiku😁😁🀨
Wewe ulikuwepo mkuu, au umelishwa tu matango pori na genge la Netanyahu?

Duniani hakuna nchi wala jeshi ambalo huongea ukweli kuhusu madhara inayopata katika shambulio.

Raisi Tshisekedi wa Congo aliomba wakongomani wamchague kuongoza muhula wa pili ili alisambaratishe Rwanda na kundi la waasi wa M23. Leo tunavyoongea M23 tu wenyewe bila Rwanda wameshadhibiti eneo kubwa la mapigano huku Tshisekedi akiwa zake kinshasa anaendelea kuwapa moyo wananchi wake wanaoshambuliwa kuwa anandaa operation kabambe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…