Hii hapa mizinga ya Israel yenye uwezo wa kufuta ukanda wote huo, haipigiki, ndio maana Iran wameufyata

Hii hapa mizinga ya Israel yenye uwezo wa kufuta ukanda wote huo, haipigiki, ndio maana Iran wameufyata

Hii mizinga hususan Jericho 3 inapiga popote na inabeba manyuklia na hamna mwenye uwezo wa kuidungua na ndio maana Israel wana jeuri ya kupiga ubalozi wa Iran na kusema anayeumwa ajaribu hata kujikuna.....

Kingine ifahamike wanajeshi wa Israel hupokea kiapo cha "Samson Option", kwamba kama Israel itafikishwa kwenye kona, basi dunia haitabaki salama maana wataachia mavitu na kufa na yeyote kama alivyofanya Samson.
Haya!
Tumeona, wafanye kweli sasa!
 
Israeli Defense Sources are reporting that if Iran decides to launch a Direct Retaliatory Strike against the Territory of Israel, including Diplomatic Sites, then Israel will Respond with a Significant Wave of Strikes against Targets in Iran; another Source with links to the IDF has furthered this claim by stating to Saudi Media that the Israeli Air Force over the last 72-96 Hours has been conducted Intense Training with Various Combat Aircraft and Drones to Practice a Retaliatory Attack against a List of Targets in Iran which may include Nuclear Sites.
Hiki walichokifanya Iran juzi kinahesabika kama DIRECT RETALIATORY STRIKE?
Eti mkongwe 6 Pack
 
Hiki walichokifanya Iran juzi kinahesabika kama DIRECT RETALIATORY STRIKE?
Eti mkongwe 6 Pack
Netanyahu bila support ya Marekani na Uingereza kamwe hawezi kutaka kuingia vitani na Iran, hata asukumizwe ili alipize kisasi hawezi kukubali 😂😂😂. Israel wanaijua vizuri Iran, ni ile tu Marekani, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zinampa kiburi. Ila mwenyewe bila hao wengine haiwezi kuingia vitani na Iran. Never
 
Iran amerusha mabom zaidi ya 70 + drone zaidi ya 300 ameishia kujeruhi mtoto mdogo aliekua anacheza kombolela usiku😁😁🤨
Wewe ulikuwepo mkuu, au umelishwa tu matango pori na genge la Netanyahu?

Duniani hakuna nchi wala jeshi ambalo huongea ukweli kuhusu madhara inayopata katika shambulio.

Raisi Tshisekedi wa Congo aliomba wakongomani wamchague kuongoza muhula wa pili ili alisambaratishe Rwanda na kundi la waasi wa M23. Leo tunavyoongea M23 tu wenyewe bila Rwanda wameshadhibiti eneo kubwa la mapigano huku Tshisekedi akiwa zake kinshasa anaendelea kuwapa moyo wananchi wake wanaoshambuliwa kuwa anandaa operation kabambe 😂😂😂.
 
Back
Top Bottom