Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Kushughulikia magaidi hapo Middle EastHayo mazoezinya kikosi Cha anga Cha Israel wanayafanya kwa ajili ya nini!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kushughulikia magaidi hapo Middle EastHayo mazoezinya kikosi Cha anga Cha Israel wanayafanya kwa ajili ya nini!?
Haya!Hii mizinga hususan Jericho 3 inapiga popote na inabeba manyuklia na hamna mwenye uwezo wa kuidungua na ndio maana Israel wana jeuri ya kupiga ubalozi wa Iran na kusema anayeumwa ajaribu hata kujikuna.....
Kingine ifahamike wanajeshi wa Israel hupokea kiapo cha "Samson Option", kwamba kama Israel itafikishwa kwenye kona, basi dunia haitabaki salama maana wataachia mavitu na kufa na yeyote kama alivyofanya Samson.
Hiki walichokifanya Iran juzi kinahesabika kama DIRECT RETALIATORY STRIKE?Israeli Defense Sources are reporting that if Iran decides to launch a Direct Retaliatory Strike against the Territory of Israel, including Diplomatic Sites, then Israel will Respond with a Significant Wave of Strikes against Targets in Iran; another Source with links to the IDF has furthered this claim by stating to Saudi Media that the Israeli Air Force over the last 72-96 Hours has been conducted Intense Training with Various Combat Aircraft and Drones to Practice a Retaliatory Attack against a List of Targets in Iran which may include Nuclear Sites.
Mtumbwi umefika mlimani. Sasa tunasubiria tembo kupanda mti.Endelea kusubiri mtumbwi milimani huenda ukaja.
🤣🤣Si wayashushe hapo Ghaza vita iishe mapema?
Netanyahu bila support ya Marekani na Uingereza kamwe hawezi kutaka kuingia vitani na Iran, hata asukumizwe ili alipize kisasi hawezi kukubali 😂😂😂. Israel wanaijua vizuri Iran, ni ile tu Marekani, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zinampa kiburi. Ila mwenyewe bila hao wengine haiwezi kuingia vitani na Iran. NeverHiki walichokifanya Iran juzi kinahesabika kama DIRECT RETALIATORY STRIKE?
Eti mkongwe 6 Pack
Mashoga juzi usiku yamepumuliwa mgongoni mkuu 😂😂😂Kushughulikia magaidi hapo Middle East
Udini unamsumbua,unaharibu afya ya akiliHaya!
Tumeona, wafanye kweli sasa!
Iran amerusha mabom zaidi ya 70 + drone zaidi ya 300 ameishia kujeruhi mtoto mdogo aliekua anacheza kombolela usiku😁😁🤨Mashoga juzi usiku yamepumuliwa mgongoni mkuu 😂😂😂
Wewe ulikuwepo mkuu, au umelishwa tu matango pori na genge la Netanyahu?Iran amerusha mabom zaidi ya 70 + drone zaidi ya 300 ameishia kujeruhi mtoto mdogo aliekua anacheza kombolela usiku😁😁🤨