Hii hapa ndio Sababu ya CCM kupiga marufuku mikutano ya hadhara. Umati wa Kahama ni kitisho kikuu

Yaani Lisu kuwa mwenyekiti na Heche kuwa Katbu mkuuu naunga mkono hoja.
 
Kamanda kakusanya mji mzima umekuja kumsikiliza. 2025 lazima patachimbika.
 
Lisu akipewa chama atakiuwa mapema. Bora abakie kuwa mbwataji, huku Mbowe akikaa pembeni na speed gavana yake ili maji yatapozidi unga ayapunguze.

I mean Lisu akizidisha kibwabwaja Mbowe amtulize.
Hatuna imani tena na Mbowe kwa sasa. Mbowe mtumieni CCM kwa faida yenu na sio CDM.
 
Labda wamewaleta kwa magari😎
 
Mimi niseme tu hivi: Mshindwe Wenyewe. Nchi ipo tayari sana.

Sidhani kuwa iliwahi kuwa tayari wakati wowote kushinda sasa.

Mkikubali kupotezewa lengo na ule mradi mwingine wa Mwenyekiti, mtasubiri hadi kiama. 'In fact' hilo ndilo litakalokuwa shimo la kuwazikia nyote.
 
..Samia asigombee.

..Nafasi ya Uraisi waachiwe Chadema na wamsimamishe Tundu Lissu.
Sijapata kuona hoja ya kichokonozi kama hiikwa siku za hivi karibuni!

Hili litatokea kwa mpango gani, ule ule wa "maridhiano"?

Muujiza ukijitokeza na kuwa hivyo, nami nitaungana nawe katika hili.
 
Lipi?
 
Sijapata kuona hoja ya kichokonozi kama hiikwa siku za hivi karibuni!

Hili litatokea kwa mpango gani, ule ule wa "maridhiano"?

Muujiza ukijitokeza na kuwa hivyo, nami nitaungana nawe katika hili.

..Ccm wanajiona ni " binadamu " kuliko Watz walioko vyama mbadala.

..Kwa mfano, tetesi kwamba kuna mpango wa Ccm kukigawia chama fulani wabunge. What kind of non-sense is that?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…