Hii hapa ndio Sababu ya CCM kupiga marufuku mikutano ya hadhara. Umati wa Kahama ni kitisho kikuu

Ushauri muruwaa sana.
 
Yaani MUNGU alivyofundi mwenye afya nzuri akafyekwa aliye na afya mbovu anazidi kuishi tu!!god akafyekwa na God!!!

..walikuwa wanamdhihaki Lowassa na afya yake.

..Na Magufuli akasema Lowassa anatembea kwa kunyata.

..siasa za chuki muasisi wake ni Magufuli.

..Ni uamuzi wetu kuendelea nazo au la.
 
Wakuu kwanza Poleni kwa Msiba mzito wa Kiongozi wetu Bernard Membe.
Asante
Bernard Camilus Membe,
Umepigana vita vilivyo vitakatifu,
Imani umeitunza,
Mwendo umeumaliza!.
Bwana alileta
Bwana ametwaa
Jina lake Lihimidiwe
RIP Bernard Cammilus Membe
Paskali
 
When you fight for regime downfall stand upright while naked
 
KATIBA MPYA kwanza halafu ndio UCHAGUZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…