Bei ya jumla ni kwa lita1 elf 1951.95 hiyo ni Bei ya kuninulia mafuta ya wew kuuza ni 2500 kwa hiyo wew kama wa itaj kupunguza iwe chini ya hapo ni wewe Sasa Ila sijaona mtu akipanda kuiacha Bei erekezHii bonyokwa nimeiona sasa mkuu mchanganuo wa bei ya mafuta unaponunua bandarini ni sh ngapi? Na je kuna bei elekezi ya kuuza au unaweza kujipangia
Kwa nin nduguvipi ile biashara yako ya mbuzi,ushamrudishia yule dada hela zake?
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
Me ni mtu ambae nimebarikiwa kujua mengi ya kuhusu biashara tofaut tofaut za kuingiza kipato kikubwa katika mitaa na sio hii tu nilio sema naigawa ninazo tatu kubwa ambazo Sina uwezo nazo..... Pia nazo nitaziposti niwapatie fursa watanzania maana maan maandiko husema usingoje kuombwa ndipo utoe wew toa tu kawa kwa iman Kisha nawe utabarkiwa .vipi ile biashara yako ya mbuzi,ushamrudishia yule dada hela zake?
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
Tupe na ndogo mkuu 10M-2MMe ni mtu ambae nimebarikiwa kujua mengi ya kuhusu biashara tofaut tofaut za kuingiza kipato kikubwa katika mitaa na sio hii tu nilio sema naigawa ninazo tatu kubwa ambazo Sina uwezo nazo..... Pia nazo nitaziposti niwapatie fursa watanzania maana maan maandiko husema usingoje kuombwa ndipo utoe wew toa tu kawa kwa iman Kisha nawe utabarkiwa .
Dar, lolJe upo dar au mkoan
Mkoani mzeeJe upo dar au mkoan
Hii ni nzuri mkuu nitakucheki kwa hizo nambaNa kwa kukuongezea nimeongea na EWURA wanao husika na mambo yote hayo wamesema ada ya leseni ni milion1.000.000 na leseni yenyewe ni kuanzia elf 20 mpaka 150000 wamesema kwa pump moja mtaan unaweza anza na leseni ndogo tu ya elf 20 kamaunapenda uwe na kubwa ya laki na nusu ni wew mwenyewe sasa ila ada ni palepale milion1 kwa miaka mitano na wamesema kuhusu kutenga mtaani haina shida kikubwa jengea ki usalama Kama ujengeavyo kalo la haja.
Website ya kuombea maombi ya leseni ni https://lois.ewura.go.tz/ewura/
hukaa ndani ya mwezi mmoja mpaka kukamilika kwa leseni yako.
Miez 10 kama unaingiza kila mashine elf 50000 ikawa kwa siku unafunga hesabu na laki 100000 na ukawa kwa mwezi una milion 3,000,000 ndani ya miezi 10 tu, unakuwa umerudusha kiasi chako na faida, na huo ni mzunguko wa kawaida sana...Acha nikushauli sasa, Ununue mashine mbili za milion 9.500,000 kwa kila mashine moja na kuziweka sehemu mbili tofauti na milion 6,000,000 ilio baki toa milioni 4,000,000 kwa ajiri ya kuandaa mazingira ya mashine zako zitakapo kalia namaanisha kodi na kujengea nakama kuna flem tayar lipia kodi na kuvutia maji Ila mita iwe yako binafsi hisiwe ya kushea umeme funga mita yako pia isiwe ya kushea na hiyo milion 2,000,000 nenda kiwandan au agiza uletewe makopo ya milion 1,000,000 unagawa nusu kwa nusu katika mashine zako zote mbili na milion 1,000,000 chukua tank mbili kubwa, hapo utakua mwenye kutengeneza kiasi kizur sana cha fedhaNikiwekeza hiyo 25M itarudi baada ya muda gani?