Na kwa kukuongezea nimeongea na EWURA wanao husika na mambo yote hayo wamesema ada ya leseni ni milion1.000.000 na leseni yenyewe ni kuanzia elf 20 mpaka 150000 wamesema kwa pump moja mtaan unaweza anza na leseni ndogo tu ya elf 20 kamaunapenda uwe na kubwa ya laki na nusu ni wew mwenyewe sasa ila ada ni palepale milion1 kwa miaka mitano na wamesema kuhusu kutenga mtaani haina shida kikubwa jengea ki usalama Kama ujengeavyo kalo la haja.
Website ya kuombea maombi ya leseni ni
https://lois.ewura.go.tz/ewura/
hukaa ndani ya mwezi mmoja mpaka kukamilika kwa leseni yako.