Hii idea naigawa kwa wenye kuhitaji. Kijana pambania fursa usiwaze kununua gari wekeza katika biashara

Kwenye hiyo 5m nikinunua CHEST FREEZER kwa 1m kuna tofauti gani na hiyo mashine yenu
Hi mashine ina chuja taka zote pamoja na chimvi na magadi na kutoa maji yaliyo baridi, Hiyo chest freezer inafanya tu maji kuwa barid lakina haitakasi inatoa maji Kama yalivyo .
 
Mashine hizi ndio zile zinazo tengeneza maji ya kwenye makopo unayo yaona mitaan kwako Ila mi nimeleta wazo tofaut ili mtu asiangaike kutafuta soko .
 
Na pia Cha kukuongezea CHEST FREEZER haibebi maji yenyewe na kutoa na pili chest freezer hauwezi mimina maji tupu bila ya chombo na kingine haina koki ya kutorea maji.
 
Sasa huoni kama unatumia Nguvu nyingi na gharama kubwa ili uje uuze KANDORO ya sh 100..
 
Hiyo ni ya kisasa zaid pale ufungi Wala uweki watu huchukua chupa na kukinga na uzalishaji wake tofauti na muuza kandoro hiini kubwa zaid maana unaweka katka mikusanyiko na pia kwa mashine moja kufunga 50000 nimeweka hapo ndiyo Kama umekosa yaani biashara imekuwa mbaya lakini ni zaid lak 1,000.00 au laki 2,000,00 kwa siku Kama ikiwa jua kali najoto jingi
 
Je mfunga kandoro ana safisha maji au anatumia ya dawasko yalio mazito katika koo na yenye magadi yale ni maji ya kupikia na kuogea bado sio Safi kwa kunywa.
 
Kingine watu wengi wa Sasa wanapenda waone usalama kwa wanacho tumia ikipaki nyumbani na uwauzie yaan upati ki kabisa labda uwapate waushaz wezako wa5 au 10 lakini kwa anae jua na kiijari afya yake ukuti akitumia hiyo kandoro, je ulisha wahi jiuliza ni kwa nini ofis kubwa na mahospitar awatumii maji ya dawasko bila ya kuyasafisha na hizi mashine, ebu chunguza ujue umuhimu wa maji safi kwanza.
 
Na bora utumie nguvu ya pesa nyingi Ila biashara yako iwe Safi na salama kwa binadamu wenzako, na pia hukupa pesa ya kila siku ukifanya uchunguzi maduka menge ya nguo hua ayaingizi kabisa kiti bila kutangazwa, Ila hiki ujitangaz wenyewe huja na kujiudumia.
 
Hii ndo kama ile wanafanya pale mawasiliano?(jina nimesahau) Hongera mkuu kwa wazo hiko
 
Wazo zuri kwa maeneo ya uhaba wa maji safi.

Si ndio kusema Mtu waweza hata kutumia maji ya mfereji yakasafishwa Watu wakayatumia majumbani?.
 
Back
Top Bottom