Gerald1
Senior Member
- Jan 17, 2022
- 107
- 147
- Thread starter
- #41
Hi mashine ina chuja taka zote pamoja na chimvi na magadi na kutoa maji yaliyo baridi, Hiyo chest freezer inafanya tu maji kuwa barid lakina haitakasi inatoa maji Kama yalivyo .Kwenye hiyo 5m nikinunua CHEST FREEZER kwa 1m kuna tofauti gani na hiyo mashine yenu