Hi mashine ina chuja taka zote pamoja na chimvi na magadi na kutoa maji yaliyo baridi, Hiyo chest freezer inafanya tu maji kuwa barid lakina haitakasi inatoa maji Kama yalivyo .Kwenye hiyo 5m nikinunua CHEST FREEZER kwa 1m kuna tofauti gani na hiyo mashine yenu
Mashine hizi ndio zile zinazo tengeneza maji ya kwenye makopo unayo yaona mitaan kwako Ila mi nimeleta wazo tofaut ili mtu asiangaike kutafuta soko .Hi mashine ina chuja taka zote pamoja na chimvi na magadi na kutoa maji yaliyo baridi, Hiyo chest freezer inafanya tu maji kuwa barid lakina haitakasi inatoa maji Kama yalivyo .
Na pia Cha kukuongezea CHEST FREEZER haibebi maji yenyewe na kutoa na pili chest freezer hauwezi mimina maji tupu bila ya chombo na kingine haina koki ya kutorea maji.Mashine hizi ndio zile zinazo tengeneza maji ya kwenye makopo unayo yaona mitaan kwako Ila mi nimeleta wazo tofaut ili mtu asiangaike kutafuta soko .
Sasa huoni kama unatumia Nguvu nyingi na gharama kubwa ili uje uuze KANDORO ya sh 100..Na pia Cha kukuongezea CHEST FREEZER haibebi maji yenyewe na kutoa na pili chest freezer hauwezi mimina maji tupu bila ya chombo na kingine haina koki ya kutorea maji.
Hiyo ni ya kisasa zaid pale ufungi Wala uweki watu huchukua chupa na kukinga na uzalishaji wake tofauti na muuza kandoro hiini kubwa zaid maana unaweka katka mikusanyiko na pia kwa mashine moja kufunga 50000 nimeweka hapo ndiyo Kama umekosa yaani biashara imekuwa mbaya lakini ni zaid lak 1,000.00 au laki 2,000,00 kwa siku Kama ikiwa jua kali najoto jingiSasa huoni kama unatumia Nguvu nyingi na gharama kubwa ili uje uuze KANDORO ya sh 100..
Je mfunga kandoro ana safisha maji au anatumia ya dawasko yalio mazito katika koo na yenye magadi yale ni maji ya kupikia na kuogea bado sio Safi kwa kunywa.Hiyo ni ya kisasa zaid pale ufungi Wala uweki watu huchukua chupa na kukinga na uzalishaji wake tofauti na muuza kandoro hiini kubwa zaid maana unaweka katka mikusanyiko na pia kwa mashine moja kufunga 50000 nimeweka hapo ndiyo Kama umekosa yaani biashara imekuwa mbaya lakini ni zaid lak 1,000.00 au laki 2,000,00 kwa siku Kama ikiwa jua kali najoto jingi
Kingine watu wengi wa Sasa wanapenda waone usalama kwa wanacho tumia ikipaki nyumbani na uwauzie yaan upati ki kabisa labda uwapate waushaz wezako wa5 au 10 lakini kwa anae jua na kiijari afya yake ukuti akitumia hiyo kandoro, je ulisha wahi jiuliza ni kwa nini ofis kubwa na mahospitar awatumii maji ya dawasko bila ya kuyasafisha na hizi mashine, ebu chunguza ujue umuhimu wa maji safi kwanza.Je mfunga kandoro ana safisha maji au anatumia ya dawasko yalio mazito katika koo na yenye magadi yale ni maji ya kupikia na kuogea bado sio Safi kwa kunywa.
Na bora utumie nguvu ya pesa nyingi Ila biashara yako iwe Safi na salama kwa binadamu wenzako, na pia hukupa pesa ya kila siku ukifanya uchunguzi maduka menge ya nguo hua ayaingizi kabisa kiti bila kutangazwa, Ila hiki ujitangaz wenyewe huja na kujiudumia.Kingine watu wengi wa Sasa wanapenda waone usalama kwa wanacho tumia ikipaki nyumbani na uwauzie yaan upati ki kabisa labda uwapate waushaz wezako wa5 au 10 lakini kwa anae jua na kiijari afya yake ukuti akitumia hiyo kandoro, je ulisha wahi jiuliza ni kwa nini ofis kubwa na mahospitar awatumii maji ya dawasko bila ya kuyasafisha na hizi mashine, ebu chunguza ujue umuhimu wa maji safi kwanza.