Hii idea naigawa kwa wenye kuhitaji. Kijana pambania fursa usiwaze kununua gari wekeza katika biashara

Hii idea naigawa kwa wenye kuhitaji. Kijana pambania fursa usiwaze kununua gari wekeza katika biashara

Gerald1

Senior Member
Joined
Jan 17, 2022
Posts
107
Reaction score
147
Karibu tupeane ya nayo pendekezwa mitaani kwetu
Hii ni IDEA naigawa kwa wale wenye kuitaji maana me sina uwezo wa kuiendesha .

Ni biashara ya huuzaji wa mafuta ya petrol ktk vyombo vya usafiri katika mitaa .
Hunaweza fungua SHELI ndogo katika mtaa na kuingiza kiasi kikubwa2 cha fedha.

Mfano ukakodi eneo na ukajengea hiyo biashara au ukakodisha frem yenye nafasi kwa mbele na ukajengea tenki la mafuta na ukatafuta pump ya kuvutia mafuta na kugawia katika vyombo, yaan kama zire za shili kubwa, Ila wewe nunua moja ya petrol.

Ni mradi unaogalimu kiasi kama million20 hadi milion 25 haipiti zaidi ya hapo kwa mradi mmoja yani hapo ni full pamoja na mafuta yake.
Na kuhusu faida yaana husiseme kabisa maana kwa mwaka1 tu, unaweza kuingiza milion70 mbaka milion100 yaan na zaidi kama kweli huo mtaa ni wenye mzunguko wa vyombo vya usafili...................yaan ni hatarisana ushindwe wewe tu kufanya ila ni uhakika sana.......

JE UNAWAZA KUHUSU UJENZI AU KUHUSU BEI YA HIYO PUMP NA TENK NA VIPI KUHUSU UTOAJI WA MAFUTA BANDALINI BILA USHURU MKUBWA NICHEK KAMA UNANIA YA DHATI KWELI NAMBA YANGU NI 0788317776 or 0672281230 mda wote napatikana.........✓✓✓.

mono-dispenser-500x500.png

stainless-steel-water-tank-500x500.jpg
 
Mwenyez mungu kanibariki kwa mengi sana nashukulu kwa hili.
 
Jamani huu ni mtandao wenye kuusisha mengi me sipo katika utani na ninapo toa wazo Kama alikupendizi acha wezio atakuja kuchangia wapate kuu jua nilicho nacho maana sijaomba hela hapa mimi ebu tueni wa ungwana wa wenyehofu ya mungu tusiwe kama watoto kwenyehoja za watu.
 
Niwachache sana mnao fukuza watu wa muhimu na kufanya Jforoms isiongezeke members .
 
Najua yote na nimesha fuatiria na kuhusu mtaa ata haijarishi kikubwa kuzingatia tenk kuzama au kulijengea kiusalama zaidi labda nikuelekeze mtaa ambapo ipo moja na inafanya kazi mpaka leo ....tokea kimara njo mbonyokwa kabla ya kuvuka daraja muulize dereva wa bajaji ni wapi kunapump ya petrol atakuonyesha arafu ichunguze afu utaniambia inashindikana wap.
 
Unajua gharama za vibali mpk uruhusiwe kufungua kitu Kama hicho?

Unajua kitu Kama hicho haufungui sehemu yoyote tu Ile huko mtaani mpk ufanyiwe Environmental Impact Assessment (EIA)?
Na kwa kukuongezea nimeongea na EWURA wanao husika na mambo yote hayo wamesema ada ya leseni ni milion1.000.000 na leseni yenyewe ni kuanzia elf 20 mpaka 150000 wamesema kwa pump moja mtaan unaweza anza na leseni ndogo tu ya elf 20 kamaunapenda uwe na kubwa ya laki na nusu ni wew mwenyewe sasa ila ada ni palepale milion1 kwa miaka mitano na wamesema kuhusu kutenga mtaani haina shida kikubwa jengea ki usalama Kama ujengeavyo kalo la haja.

Website ya kuombea maombi ya leseni ni https://lois.ewura.go.tz/ewura/
hukaa ndani ya mwezi mmoja mpaka kukamilika kwa leseni yako.
 
Na kwa kukuongezea nimeongea na EWURA wanao husika na mambo yote hayo wamesema ada ya leseni ni milion1.000.000 na leseni yenyewe ni kuanzia elf 20 mpaka 150000 wamesema kwa pump moja mtaan unaweza anza na leseni ndogo tu ya elf 20 kamaunapenda uwe na kubwa ya laki na nusu ni wew mwenyewe sasa ila ada ni palepale milion1 kwa miaka miako mitano na wamesema kuhusu kutenga mtaani haina shida kikubwa je ngea ki usalama Kama ujengeavyo kalo la haja.

Website ya kuombea maombi ya leseni ni https://lois.ewura.go.tz/ewura/
hukaa ndani ya mwezi mmoja mpaka kukamilika kwa leseni yako.
Shukrani boss.
 
Kuna kipindi tuliangaikaga kupeleka idea kwa maboss yaani full idea na wanangu fulani hivi.. na tuliambuliaga sifuri..sasa hivi watu wanazitupa tu jf.. maisha mabovu sana bongo
 
Mkuu unatumia njia nzuri kutangaza mashine zako za kupampu mafuta, changamoto huwezi tia sheli ndogo kwenye eneo ambalo teyari limejazwa na makazi ya watu.
 
Mkuu unatumia njia nzuri kutangaza mashine zako za kupampu mafuta, changamoto huwezi tia sheli ndogo kwenye eneo ambalo teyari limejazwa na makazi ya watu.
Usalama ndiyo muhimu nilicho erekezwa vibar ni kwa wale ambao wenye kujenga sheli kubwa wewe kitakacho kulinda ni leseni yako ya biashara kikubwa iwe hai mda wote nilicho wafahamu mim ni ikiwa sehemu inamakazi tafuta flem ambayo ipo na nafasi futi tano na Zaid mpaka kuikuta nyumba ya malazi na tenk lako waweza weka ndani ya flem na ukalizibia na tofar likiwa ndani pump ndio waiweka nje akuna shida ye yote wakija wao huitaji leseni kuona unafanya kisheria au
 
Kuna kipindi tuliangaikaga kupeleka idea kwa maboss yaani full idea na wanangu fulani hivi.. na tuliambuliaga sifuri..sasa hivi watu wanazitupa tu jf.. maisha mabovu sana bongo
Ukiwa unakijua na hauna pesa kubali tu kuwa achia watu mzee maana ujui utakufa lini.
 
Safi sana hii
Na ni yenyekulipa vizur sana unajua watanzania sisi tumekawa waoga sana kuuliza katika taasisi za kiserikali kuhusu idea utayo pata nakati ni rahisi tu.
 
Najua yote na nimesha fuatiria na kuhusu mtaa ata haijarishi kikubwa kuzingatia tenk kuzama au kulijengea kiusalama zaidi labda nikuelekeze mtaa ambapo ipo moja na inafanya kazi mpaka leo ....tokea kimara njo mbonyokwa kabla ya kuvuka daraja muulize dereva wa bajaji ni wapi kunapump ya petrol atakuonyesha arafu ichunguze afu utaniambia inashindikana wap.
Hii bonyokwa nimeiona sasa mkuu mchanganuo wa bei ya mafuta unaponunua bandarini ni sh ngapi? Na je kuna bei elekezi ya kuuza au unaweza kujipangia
 
Back
Top Bottom