Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

Unataka kuleta ubishi kipumbavu sana, unauliza as if umemaliza maandiko yote na as if ni lazima kila kitu kiwe kimeandikwa.
Sina nia mbaya nataka kujua tu, nini chanzo cha kuwekana wakfu kifudifudi,?

Sijaona mtume wala nabii yoyote kwenye maandiko aliyewekwa wakfu kwa style hiyo,

Ndiyo sababu iliyofanya niulize nyie wenzetu mmeitoa wapi??

Maana shetani mjanja janja sana
 
Eti maandiko! Nitajie mahali kwenye Biblia ilipoandikwa "rozari" na " kumuomba Bikira Maria"
Aisee..!! Uzuri wa sisi wakatoliki, mkitutukana au kutusema, tunakusikiliza, dominika ikifika tunakwenda kanisani kusali, halafu baada ya hapo kwenye kitimoto na bia. Hatuna muda wa kukuaminisha kuhamia ukatoliki. Ukiona unautaka, ni juu yako kutafuta kanisa lilipo na wewe mwenyewe kujieleza unachokitaka then unaendelea na utaratibu. Hivyo wewe tuseme, tu usiku wote tutalala..!!
 
Sijaona sehemu yoyote uliyotukanwa,
 
Kwani wewe kunya kwenye choo cha shimo na kunya kwenye sink umetowa kwenye andiko gani?
Kunya kwenye choo cha shimo au sink sio ibada, hata wapagani hufanya hivyo,

ila kuwekana wakfu ni tendo la kiimani hasa kwa sisi wa Kristo

Na ndio maana nikapenda kujua ni wapi mlikotoa hilo andiko?

Au ni mtume gani na nabii waliowekwa wakfu kifudifudi
 
Umeshajibiwa vizuri Mwanzo 17:2,3. Mimi siyo Mkatoliki lakini lakini katika ukiristo kuwekwa Wakfu Mtumishi anaanguka pomoni.

Umeshajibiwa vizuri Mwanzo 17:2,3. Mimi siyo Mkatoliki lakini lakini katika ukiristo kuwekwa Wakfu Mtumishi anaanguka pomoni.
Hakuna jibu kwenye huo mstari wala haina maana hiyo; wakatoliki wanachofanya ni kuokota okota maandiko na kuchanganya na ibada zao za kipagani
 
Eti maandiko! Nitajie mahali kwenye Biblia ilipoandikwa "rozari" na " kumuomba Bikira Maria"
Biblia siyo mwongozo wa ibada. Ibada ni makubaliano ya viongozi wa Kanisa. Biblia ina vitabu 66+ huwezi kuniambia unasoma kila mstari ili ufanye ibada.

Yenyewe ni historia ya mambo yaliyotokea kuanzia kuumbwa kwa dunia hadi ujio wa Yesu Kristu na mitume walipo eneza Injili
 
Back
Top Bottom