Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

Ni ngumu sana kuelewa lengo la ukatoliki katika imani ya Kikristo
Ukiongea Ukristo unamaanisha Ukatoliki kwa kuwa ndiyo Wakristu wa kwanza kabla ya kugawanyika kanisa la mashariki na la magharibi Karne ya 11 na kisha ujio wa Waluteri na Waanglikana karne ya 15.

Kama una question Ukatoliki basi una question Ukristu
 
Roma Catholic hawajawahi kuwa wa Kristo na hawatakuja kuwa wa Kristo na wala hawakuanzisha Ukristo

Ukristo haujawahi kugawanyika hata siku moja;

Ukristo ni lifestyle sio dini wala kanisa; utaitwa Mkristo ikiwa utaishi sawa sawa na mafundisho ya Yesu Kristo
 
Waulize wale wanaosujudu Allah hawezi kuwasikia wakimswalia wakiwa wamekaa kwenye viti?
Hilo la kusujudu ALLAH kawataka kufanya hivyo na sio wao tu hata huyo yesu alisujudu, kuna mtu kauliza hapo hiyo ya kulala ipo kwenye andiko lolote?
 
Ukiongea Ukristo unamaanisha Ukatoliki kwa kuwa ndiyo Wakristu wa kwanza kabla ya kugawanyika kanisa la mashariki na la magharibi Karne ya 11 na kisha ujio wa Waluteri na Waanglikana karne ya 15.

Kama una question Ukatoliki basi una question Ukristu
Walutheri, Anglican, Moravian, Orthodox, Coptic hao wote ni Wakatoliki lakini siyo Roman Catholic.

Orthodox ni kanisa katoliki la mashariki, hilo Roman Catholic ni kanisa Katoliki la magharibi.

Katoliki maana yake ni universe church.
 
Hilo la kusujudu ALLAH kawataka kufanya hivyo na sio wao tu hata huyo yesu alisujudu, kuna mtu kauliza hapo hiyo ya kulala ipo kwenye andiko lolote?
Lete sura ya quran.

Halafu uelewe Roman Catholic wana Apocrypha books ambazo hazipo kwenye bible lakini ni maandiko matakatifu ambayo makuhani wanachukuwa some refference kutoka vitabu hivyo, kama book of Enock, Sila and e.t.c
 
Aisee..!! Uzuri wa sisi wakatoliki, mkitutukana au kutusema, tunakusikiliza, dominika ikifika tunakwenda kanisani kusali, halafu baada ya hapo kwenye kitimoto na bia. Hatuna muda wa kukuaminisha kuhamia ukatoliki. Ukiona unautaka, ni juu yako kutafuta kanisa lilipo na wewe mwenyewe kujieleza unachokitaka then unaendelea na utaratibu. Hivyo wewe tuseme, tu usiku wote tutalala..!!
Ila yule padri wenu mliyejitahidi kumtetea kazingua sana, atauaje albino.
 
Tumalize hili la kulala kwanza, then hilo lako tutalifungulia uzi
Utamaliza vipi wakati hujui lolote? Kwenye quran huwezi kupata biography yoyote ya mtume Muhammad mpaka usome Sila na hadithi ambazo zipo kwenye Sunna.
 
Hawa wasanii kama wengine tu, pamoja na kufanana mpaka soli za viatu lakini hapo kila mmoja anawaza jambo lake moyoni
Kuna mmoja anawaza kwenda kwa waganga vyeo vipande haraka haraka
 
Hiyo style ya kuwekana wakfu kifudifudi mmeitoa kwenye andiko gani mtumishi??
Prostration is mentioned numerous times throughout the Bible, often as an act of humility during significant moments. In Genesis 17:2-3, for example, Abram falls face down upon being told by God that he will establish a covenant between them. In Matthew 17:6, the disciples fall prostrate in terror upon hearing God’s voice during Jesus’ transfiguration. And in Matthew 26:39, Jesus himself “advanced a little and fell prostrate in prayer” during his agony in the garden.
 
Ila yule padri wenu mliyejitahidi kumtetea kazingua sana, atauaje albino.
Is not guilty until court prove he is guilty.

Kanisa limemsimamisha kutowa huduma za kichungaji wameacha mahakama ifanye kazi yake.
 
Lete sura ya quran.

Halafu uelewe Roman Catholic wana Apocrypha books ambazo hazipo kwenye bible lakini ni maandiko matakatifu ambayo makuhani wanachukuwa some refference kutoka vitabu hivyo, kama book of Enock, Sila and e.t.c
Kwahiyo ni kama waislam walivyo na hadithi?
 
Back
Top Bottom