Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

Umeamua kutoona, lakini unafahamu maana ya "kuanguka kifudifudi?" Ni mara yako ya kwanza kulisikia?Umemezeshwa sumu vibaya na pasta wa kijita.
Soma hii link kwa utulivu ukawaambie wasabato wenzio kuwa Wakatoliki huwa hawakurupuki
Maana ya kuanguka kifudifudi haina uhusiano wowote na kuwekwa wakfu;
 
Walutheri, Anglican, Moravian, Orthodox, Coptic hao wote ni Wakatoliki lakini siyo Roman Catholic.

Orthodox ni kanisa katoliki la mashariki, hilo Roman Catholic ni kanisa Katoliki la magharibi.

Katoliki maana yake ni universe church.
Orthodox hawawajibiki kwa Pope wa Vatican bali kwa Masskofu wao wa majimbo, kwahiyo wao siyo wakatoliki.

Catholic na Roman Catholic ni kitu kimoja. Cimeanza Karne ya kwanza na Kiongozi wa kanisa akiwa Mt Petro (Mathayo 16:18). Anahesabiwa kama first pope

Kulikuwa hakuna dhehebu jingine hadi mwaka 1054 wakati the Great schism ambapo kanisa la Mashariki (Orthodox) lilijitenga kutoka kwenye Ukatoliki. Roman Catholic ikabakia Vatican na Orthodox ikawa na makao yake makuu Constatinople (Istanbul ya sasa)

Then mwaka 1521 Martin Luther alijitenga na Ukatoliki.

Anglican ilitokea mwaka 1575 baada ya Mfalme Henry VIII naye akaanzisha Anglican church

Hellen White mwaka 1844 naye akaanzisha SDA

Nao mapentekoste wakatokea kipindi cha great depression mwanzoni mwa karne ya 19
 
Hakuna dhehebu la Kikristo kuanzia Orthodox, Lutheran, Anglican, SDA na hawa ma Pentecostal churches ambao historia yao haina Roman Catholic Church. Unabisha kwa vile huelewi na hutaki kuelewa.

Naamini katika Kanisa Katoliki la Mitume, period. Siyo nyie mnaamini kwa akina Mwingira, akifa Mwingira na lanisa linakufa kama alivyokufa Moses Kulola.

Nenda kamuulize aliyekuingiza kwenye dhehebu ulilopo akueleze vizuri wewe mwana hizaya mwana mtoka pabaya
Ukristo ni lifestyle sio madhehebu Yesu hakuacha dhehebu lolote duniani

ila alianzisha mtindo wa maisha ambao kwa huo tutazishinda dhambi na tamaa za kidunia na kuufikia uzima wa milele

Hakuna mafundisho yoyote ya Yesu yanayoendana na Hayo madhehebu uliyoyataja
 
Orthodox hawawajibiki kwa Pope wa Vatican bali kwa Masskofu wao wa majimbo, kwahiyo wao siyo wakatoliki.

Catholic na Roman Catholic ni kitu kimoja. Cimeanza Karne ya kwanza na Kiongozi wa kanisa akiwa Mt Petro (Mathayo 16:18). Anahesabiwa kama first pope

Kulikuwa hakuna dhehebu jingine hadi mwaka 1054 wakati the Great schism ambapo kanisa la Mashariki (Orthodox) lilijitenga kutoka kwenye Ukatoliki. Roman Catholic ikabakia Vatican na Orthodox ikawa na makao yake makuu Constatinople (Istanbul ya sasa)

Then mwaka 1521 Martin Luther alijitenga na Ukatoliki.

Anglican ilitokea mwaka 1575 baada ya Mfalme Henry VIII naye akaanzisha Anglican church

Hellen White mwaka 1844 naye akaanzisha SDA

Nao mapentekoste wakatokea kipindi cha great depression mwanzoni mwa karne ya 19
Unaweza kutudhibitishia kwa maandiko ni lini peter alikuwa papa wa roma?
 
Ishara kubwa ya kujitoa rasmi kumtumikia Mungu mazima,Kuna jambo kubwa Sana linaendelea apo
Kwa mfano, katika kitabu cha Mwanzo 17:2-3, Abramu anaanguka kifudifudi baada ya kuambiwa na Mungu kwamba ataweka agano kati yake na Mungu.
Mbona huko mitaani wanafanya vituko visivyoendana na viapo vyao na mamlaka zao haziwapi adhabu au kuwatenga badala yake wao ndiyo wa kwanza kuwatenga waumini
 
Walikuibia nini?Una uhusiano nao kiimani?Waamini wao wamesemaje kuhusu wao?Inakusumbuaje hiyo?
Sisi kama wana jamii,tulimchangia MJANE ambaye ni jirani yetu wakati alipofiwa mmewe na kuachiwa watoto watano,maajabu ni kwamba hizo fedha tulizochanga msibani zilichukuliwa na padre,kana kwamba haitoshi tukiwa makaburini tukifanya mazishi ilitangazwa kuwa fedha kwa ajiri ya kumuombea marehemu haitoshi achangiwe tena.

HAO NI WEZI.
 
Back
Top Bottom