Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

Ni utaratibu waliojiwekea katika jamii hiyo kwa tukio kama hilo
 
Sisi kama wana jamii,tulimchangia MJANE ambaye ni jirani yetu wakati alipofiwa mmewe na kuachiwa watoto watano,maajabu ni kwamba hizo fedha tulizochanga msibani zilichukuliwa na padre,kana kwamba haitoshi tukiwa makaburini tukifanya mazishi ilitangazwa kuwa fedha kwa ajiri ya kumuombea marehemu haitoshi achangiwe tena.

HAO NI WEZI.
Wewe ndiye hujielewi na umejiibia akili.Hiyo ilikuwa ni misa ya mazishi.Na katika misa ya mazishi sadaka ni za hiyo misa.Huo unafiki wako wa kujidai mlimchangia mjane ni uzwazwa kamili.Kwani hamkuambiwa kwamba hiyo ni misa ya mazishi?Kama ni jirani yenu kulikuwa na ulazima wa kumchangia hadharani?Kusubiri mpate faragha ya kwenda kumpa pole na kumchangia mlikatazwa na nani?Wanafiki hadi keshokutwa asubuhi ninyi!
 
Kwa asiye na bando la mawazo aiangalie hii video,hata masista huwa wanafanya hicho kitendo,nadhani vizuri kila mmoja azingatie alichofundishwa kwenye imani yake hatuwezi tukafanana na haitakaa tufanane binadamu tunachofanana kwa uhakika ni kule kuvuta pumzi na pumzi kuisha tukafa but mengine yote tutatofautiana milele.
 
Ukristo ni lifestyle sio madhehebu Yesu hakuacha dhehebu lolote duniani

ila alianzisha mtindo wa maisha ambao kwa huo tutazishinda dhambi na tamaa za kidunia na kuufikia uzima wa milele

Hakuna mafundisho yoyote ya Yesu yanayoendana na Hayo madhehebu uliyoyataja
Sisi tuna dhehebu letu la Roman Catholic, wewe una LIFE STYLE ya Ukristu. Shida iko wapi? Usitupangie, kila mmoja ashinde mechi zake
 
Mkuu Kila kitu tuijiuliza kilikotoka tutajikuta katika mzunguko mmoja tu wa chanzo.
 
Kwahiyo huo
Mathayo 16:18
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda
mstar ndio unasema vatican itajengwa kanisa na peter atakuwa papa ??

Kweli mnamacho lakini hamuoni mnamasikio lkn hamsikii
 
H
Sisi tuna dhehebu letu la Roman Catholic, wewe una LIFE STYLE ya Ukristu. Shida iko wapi? Usitupangie, kila mmoja ashinde mechi zake
Akuna anaye wapangia ila msitake kulazimisha Ukristo ufanane na ukatoliki ni Mbingu na aridhi
 
Ishara kubwa ya kujitoa rasmi kumtumikia Mungu mazima,Kuna jambo kubwa Sana linaendelea apo
Kwa mfano, katika kitabu cha Mwanzo 17:2-3, Abramu anaanguka kifudifudi baada ya kuambiwa na Mungu kwamba ataweka agano kati yake na Mungu.
 
Ukristo ni
Kwa asiye na bando la mawazo aiangalie hii video,hata masista huwa wanafanya hicho kitendo,nadhani vizuri kila mmoja azingatie alichofundishwa kwenye imani yake hatuwezi tukafanana na haitakaa tufanane binadamu tunachofanana kwa uhakika ni kule kuvuta pumzi na pumzi kuisha tukafa but mengine yote tutatofautiana milele.View attachment 3047876
Lazima ufanane kwa kuwa chanzo chake ni kimoja na msingi wake unajengwa kwa kupitia maandiko matakatifu;

Nnje ya Hapo ni ushetani na ibada za kipagani
 
Wewe ndiye hujielewi na umejiibia akili.Hiyo ilikuwa ni misa ya mazishi.Na katika misa ya mazishi sadaka ni za hiyo misa.Huo unafiki wako wa kujidai mlimchangia mjane ni uzwazwa kamili.Kwani hamkuambiwa kwamba hiyo ni misa ya mazishi?Kama ni jirani yenu kulikuwa na ulazima wa kumchangia hadharani?Kusubiri mpate faragha ya kwenda kumpa pole na kumchangia mlikatazwa na nani?Wanafiki hadi keshokutwa asubuhi ninyi!
Andiko la misa ya mazishi linapatikana kwenye kitabu gani
 
Wewe ndiye hujielewi na umejiibia akili.Hiyo ilikuwa ni misa ya mazishi.Na katika misa ya mazishi sadaka ni za hiyo misa.Huo unafiki wako wa kujidai mlimchangia mjane ni uzwazwa kamili.Kwani hamkuambiwa kwamba hiyo ni misa ya mazishi?Kama ni jirani yenu kulikuwa na ulazima wa kumchangia hadharani?Kusubiri mpate faragha ya kwenda kumpa pole na kumchangia mlikatazwa na nani?Wanafiki hadi keshokutwa asubuhi ninyi!
WEZI NI KAWAIDA MAPOVU KUWATOKA.
TUKAMCHANGIE FAGHANI KWANI SISI NI WEZI?
KWANI SADAKA ALIZOKUWA AKITOA KABLA HAJAFA HAZIKUWATOSHA HUKO KANISANI?
 
WEZI NI KAWAIDA MAPOVU KUWATOKA.
TUKAMCHANGIE FAGHANI KWANI SISI NI WEZI?
KWANI SADAKA ALIZOKUWA AKITOA KABLA HAJAFA HAZIKUWATOSHA HUKO KANISANI?
Mlikatazwa na nani msiende nyumbani kwa shemeji yenu shughuli ya mazishi ilipoisha?Na kwenye misa ya mazishi walichukua fedha zako kwa nguvu kutoka kwenye bukta?Acha ubabaishaji na chuki zako peleka machinjio ya paka huko.
 
Back
Top Bottom