Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

Eti maandiko! Nitajie mahali kwenye Biblia ilipoandikwa "rozari" na " kumuomba Bikira Maria"
Kaa Utulie ww.Eti Maandiko.Eti Biblia.Unaifahamu Biblia wewe?Unayafahamu Maandiko Wewe?Unaifahamu Rozari wewe?
 
Is not guilty until court prove he is guilty.

Kanisa limemsimamisha kutowa huduma za kichungaji wameacha mahakama ifanye kazi yake.
Kuna wakristo walisema yule sio padri ni mchizi wake padri ila laini alisajili kwa jina la padri, leo mchizi wa padri kasimamishwa na kanisa kutoa huduma
 
Prostration is mentioned numerous times throughout the Bible, often as an act of humility during significant moments. In Genesis 17:2-3, for example, Abram falls face down upon being told by God that he will establish a covenant between them. In Matthew 17:6, the disciples fall prostrate in terror upon hearing God’s voice during Jesus’ transfiguration. And in Matthew 26:39, Jesus himself “advanced a little and fell prostrate in prayer” during his agony in the garden.
Hivi mnajua maana ya kuwekana wakfu kweli??

Tatizo lenu wakatoliki mnakalilishwa vifungu bila kuvisoma na kuvielewa

Mi sijaona mahusiano yoyote ya ayo maandiko na kuwekwa wakfu
 
Hivi mnajua maana ya kuwekana wakfu kweli??

Tatizo lenu wakatoliki mnakalilishwa vifungu bila kuvisoma na kuvielewa

Mi sijaona mahusiano yoyote ya ayo maandiko na kuwekwa wakfu
Psalms 99:9 “Exalt Jehovah, our God, and prostrate yourselves to his holy hill, because holy is Jehovah, our God. Isaiah 27:13 “prostrate themselves to Jehovah in the holy mount at Jerusalem. ' Isaiah 66:23 “all flesh shall come to prostrate themselves before my face, says Jehovah.
 
Kwahiyo ni kama waislam walivyo na hadithi?
Aphocrypha books hazikuingizwa kwenye Biblia kwa sababu zao church fathers.

Mfano book of Enoch ina siri nyingi za ulimwengu wa giza mambo yote ya whichcraft yapo humu.

Sina jibu la moja kwa moja ni kwa nini hivyo vitabu havikuingizwa kwenye Biblia na church Fathers, kufanya comparison ni kama hadithi si sawa.

Hadithi ni story za maisha ya mtume ambayo waandishi wamefanya reseach na kuandika baada ya mtume kufa na kuzikwa Madina.

Lakini Apocrypha books Enock aliandika kitabu mwenyewe, huyu ni Ethiopian Jewish.
 
Hivi mnajua maana ya kuwekana wakfu kweli??

Tatizo lenu wakatoliki mnakalilishwa vifungu bila kuvisoma na kuvielewa

Mi sijaona mahusiano yoyote ya ayo maandiko na kuwekwa wakfu
Umeamua kutoona, lakini unafahamu maana ya "kuanguka kifudifudi?" Ni mara yako ya kwanza kulisikia?Umemezeshwa sumu vibaya na pasta wa kijita.
Soma hii link kwa utulivu ukawaambie wasabato wenzio kuwa Wakatoliki huwa hawakurupuki
 
Ishara kubwa ya kujitoa rasmi kumtumikia Mungu mazima,Kuna jambo kubwa Sana linaendelea apo
Kwa mfano, katika kitabu cha Mwanzo 17:2-3, Abramu anaanguka kifudifudi baada ya kuambiwa na Mungu kwamba ataweka agano kati yake na Mungu.
Abrahamu alimuangukia nani ?
Hao kwenye photo hapo juu wanamuangukia nani. ?
Huyo aliyepo hapo mbele ni nani ?
Anafanya nini hapo mbele. ?
 
Roma Catholic hawajawahi kuwa wa Kristo na hawatakuja kuwa wa Kristo na wala hawakuanzisha Ukristo

Ukristo haujawahi kugawanyika hata siku moja;

Ukristo ni lifestyle sio dini wala kanisa; utaitwa Mkristo ikiwa utaishi sawa sawa na mafundisho ya Yesu Kristo
Hakuna dhehebu la Kikristo kuanzia Orthodox, Lutheran, Anglican, SDA na hawa ma Pentecostal churches ambao historia yao haina Roman Catholic Church. Unabisha kwa vile huelewi na hutaki kuelewa.

Naamini katika Kanisa Katoliki la Mitume, period. Siyo nyie mnaamini kwa akina Mwingira, akifa Mwingira na lanisa linakufa kama alivyokufa Moses Kulola.

Nenda kamuulize aliyekuingiza kwenye dhehebu ulilopo akueleze vizuri wewe mwana hizaya mwana mtoka pabaya
 
Back
Top Bottom